Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano...
Hii michezo ya kisiasa ya kupotezana ina mizizi mirefu toka kwa founder wa nchi.
Yeye mwenyewe marafiki, wanachama na wale waliojaribu kumpinga walikiona cha moto.
Watu kukimbia nchi hawajaanza...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeitahadharisha Jamhuri kutokana na kukwamisha usikilizwaji wa awali wa kesi inayomkabili mfanyabiashara na mwanasiasa, Boniface Jacob na...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kisutu, Kwamba Serikali imeomba kuongezewa muda ili kujipanga kwa PH, na Mahakama hiyo bila ajizi imesogeza kesi hiyo hadi July 30, awali kesi hiyo ilipangwa...
Ile laana ya kuwaona watu wa Tanga kama mtaji wa kibwege wa ccm hatimaye imemalizika rasmi baada ya Mungu kuingilia kati, kuanzia sasa hakuna Mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu...
Kwa mara ya Kwanza ninashuhudia Wakazi wa Tanga wakidhamiria kabisa sasa kuiondoa ccm madarakani, sijawahi kuona hamasa kama hii tangu niijue Tanga.
Taarifa Zinaeleza kwamba kumbe hata hii...
Hivi chama cha siasa kuwa cha mrengo wa kushoto au kulia tafsiri yake ni nini hasa?
Vipi, mrengo wa Kati ndo upi?
Kuna uhusiano gani sasa na mifumo hii ubeberu, ubepari na kijamii(na hiyo...
Prof. Kitila amesema aliwahi shiriki maandamano mara 3 hapo Arusha tena maandamano ambayo yalikuwa yanazuiwa hivyo walikuwa wanalazimisha.
Kwamba ukilazimisha inavuta attention ya Umma hasa...
Kwa mujibu wa Kanuni ya Bunge #84 (3) (a) ya mwaka 2023 amekutwa na hatia na Kamati ya Hadhi na Madaraka ya Bunge.
Tuendelee kufuatilia bunge
≈=====================
"Mheshimiwa Luhaga Mpina...
Habarini za humu ndani ndugu zangu
Mimi kama ni mwana Jamii Forom, tena mwenyeji wa muda mrefu sana humu ndani, naomba nami nichangie mawazo yangu hasa kwenye Tanzania tuitakayo kwa ajiri ya...
BASHUNGWA AGAWA MITUNGI YA GESI 300 KWA WANAWAKE NA WENYE MAHITAJI MAALUM
📌 Kuunga mkono Agenda ya Rais Samia ya nishati safi ya kupikia.
📌 Karagwe kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia.
📌 Zoezi...
🛑ZIARA YA UVCCM SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC)
Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakiongoza Mwenyekiti Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamefika kituo Cha reli ya kisasa (SGR)...
AWESO ABAINI UZEMBE NA MAKUSUDI KWA BAADHI YA WATENDAJI DAWASA
Waziri wa maji Jumaa Aweso amesema amebaini uzembe na hujuma ya makusudi kutokana na watendaji wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa...
Wanajamvi.
Kwa mujibu wa katiba Mbunge ni mwakilishi wa wananchi wote wa Jimbo lake bungeni.
Mbunge yupo bungeni Kwa niaba ya wananchi wake wa Jimbo zima. NI msemaji wa wananchi bungeni...
Kuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka.
Lakini lazima tukubaliane kuwa sote kama watanzania tunao ujinga wa kihalaiki...
Nina mashaka makubwa sana na uelewa wa Dr. Ananelia Nkya kuhusu serikali- muundo na jinsi inavyofanya kazi. Sijui alipataje PhD.
Anajenga hoja kuhusu ukubwa wa bunge na baraza la mawaziri...
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM (UVCCM) umeandaa Kampeni maalum ya kitaifa itakayo fanyika Julai 6,2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa (LUPASO)jijini Dar es Salaam Yenye lengo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.