Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana lumumba mpogo? Kazi nyingi asifiwazo Rais mtukufu wetu mama Samia, mmezipima mkaona hazitoshi kuwashawishi wananchi kumrudisha Ikulu siyo? Hizo pikipiki mamia kwa mamia zilizoandikwa kwa...
10 Reactions
53 Replies
1K Views
Watoto na wajukuu wa viongozi wakuu wa umma (Rais, Marais wastaafu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, wakurugenzi wa wilaya, wakuu wa mashirika ya umma, wakuu wa chama tawala, nk)...
11 Reactions
67 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Saklaam UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umetembelea maeneo ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam uliofanywa na kampuni ya DP World na kusema...
0 Reactions
2 Replies
443 Views
TANZANIA, QATAR KUSHIRIKIANA SEKTA YA UTALII Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Qatar ziko mbioni kusaini Hati ya Makubaliano (Memorandum of...
6 Reactions
13 Replies
594 Views
Waziri Mchengerwa akiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam, wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa madereva Bodaboda na bajaji wa Jiji la Dar...
1 Reactions
2 Replies
315 Views
OFISI ya Rais, Mipango na Uwekezaji imetofautiana mtizamo na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kampeni yake ya kuhamasisha utoaji wa vibali vya kluagiza sukari kutoka nje. Waziri wa Nchi...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Watanzania, SALAAM! Ifahamike kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Niliowataja hapo nafahamu uwezo wao wa kisiasa. Ni dhahili kuwa huko waliko hawathaminiwi hata kidogo - nguvu...
1 Reactions
31 Replies
888 Views
Nchi za Afrika Mashariki zimewasilisha Bajeti zao Kwa siku Moja kama ambavyo protokali ya EAC inataka. Uwiano wa Ukubwa uko tofauti kwa Nchi mbalimbali.Kenya ndio Nchi yenye Bajeti kubwa zaidi na...
6 Reactions
77 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki kongamano la Wanawake wa Kislamu Zanzibar, leo tarehe 05 Julai, 2024. Rais Samia ndie Mgeni Rasmi katika Kongamano hilo...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa uelewa wangu ni kwamba chama kinachotawala kimeomba na kupewa ridhaa ya kuisimamia Serikali ili itoe huduma stahiki kwa niaba ya wananchi walioichagua. Kwa maelezo ya waziri inaonekana...
1 Reactions
3 Replies
316 Views
Viongozi wa dini acheni kupenda fedha kutoka mifukoni mwa watawala, wenzenu wameshashtukiwa huko Kenya sasa vijana wameamua kujisimamia Siku ikitokea madai na maandamano ya vijana nchini...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo? Je Lissu bado hajajua...
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Akisoma taarifa ya Hali ya Uchumi wa Nchi kwa mwaka 2023/24 na matarajio ya 2024/25 Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amesema, hadi mwezi machine deni la Serikali limefikia...
7 Reactions
66 Replies
2K Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
25 Reactions
252 Replies
11K Views
CCM inazidi KUVUNA. Hali tete Chadema. Ukitafakari sana unaweza kudhani mpinzani halisi ni Luhaga Mpina kumbe Peter Msigwa ndiye CCM kindakindaki. Najua hujaelewa. Iko hivi; ndani ya CCM...
3 Reactions
8 Replies
538 Views
Mwigulu Nchemba amelaumu suala la watu kutumia deni la taifa kisiasa, hivyo ametaja baadhi ya sababu za deni la taifa kuongezeka. Mwigulu amesema Tsh trilioni 5 zilizoongezeka kwenye deni la...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Inaelezwa kwamba kwa sasa Chadema ndio Chama ambacho kinazungumzwa Tanga nzima, Wakazi karibu wote wa Mkoa huo wameamua kuachana na vyama vingine vyote na kuunga mkono Chadema, Ajabu kabisa! Bali...
1 Reactions
5 Replies
389 Views
Nashangaa kuona deni la taifa likiongezeka tu na nasikia tumekopa pale mara kule hadi sasa deni lipo 90+trilion, cha ajabu sjawahi kusikia deni limepungua. Labda mi sijui kusoma au masikio mabovu...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Wakati fulani Mwigulu Nchemba alikana kumiliki timu ya soka na kusema yeye hamiliki hata bajaji. Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amemuumbua na kusema alikuwa anaimiliki Singida BS na...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Huu utaratibu wa kuwachangisha watu kwa sababu mbalimbali unamapungufu mengi sana tunaomba serikali iingilie Kati kuna ufisadi mkubwa sana Wananchi wanafanyiwa kupitia hii michango ambayo wafuasi...
2 Reactions
6 Replies
276 Views
Back
Top Bottom