Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kupitia ukurasa wake wa X Mwijaku ameweka picha ikionesha Polisi wa Kenya akiwa amenyooshea mtutu raia, ambapo ameandika; "Huu ndio ujinga nisio utaka, Hakuna alie shindana na serikali...
20 Reactions
59 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu jana alikaribishwa nyumbani kwa Balozi wa Marekani mh Battles Sugu anasema alijisikia furaha alipofanya show ya pamoja na Band ya...
2 Reactions
11 Replies
492 Views
Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa...
7 Reactions
63 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024 https://www.youtube.com/live/MSSEPF3ioMs?si=gBRTSs5sSflxcq9D...
8 Reactions
138 Replies
8K Views
Hivi ndivyo unavyopaswa kufahamu ili usipitwe na wakati, hakuna tena ccm Tarime, hii ni baada ya John Heche kuiteketeza kabisa, Wamebaki Polisi tu. Naomba nifupishe mada, Maana kwa sheria za...
5 Reactions
10 Replies
430 Views
Mzee anadai tulikua kwenye Crisis, wakati Ushahidi unaonyesha Wamiliki wa Viwanda wanaozalisha Sukari, na ambao ndio Sheria imewapa Nguvu ya kuagiza Sukari nje, waliomba Kibali, Bashe...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo UVCCM hawajuhi mbegu ambazo wanapanda zitakuja kuwagarimu baadae? Leo UVCCM hawajuhi miaka inayoenda au miaka ya mbele vijana wanaenda badilika? Je uovu, mateso ya watanzania hawayaoni...
4 Reactions
3 Replies
232 Views
Mtoto wa Mbowe, James Mbowe amefanikiwa kupata michango ya m 5 kwenda kumnusuru yule mtoto fala aliyekuwa akidhani serikali ina mchezo mchezo, huyo huyo Mbowe ameshindwa kuhamasisha wenzake...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kugusa maisha ya watu, ni kuleta tabasamu, furaha, na matumaini kwenye maisha ya watu. Ni kufanikisha na kuwezesha kutimizwa kwa ndoto za watu, ni kukidhi...
7 Reactions
154 Replies
2K Views
Prof Keneth Bengesi ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania, leo Julai 5, 2024 amezungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es salaam, kutoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja zilizoibuliwa...
1 Reactions
35 Replies
1K Views
Tanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa. Je, ni kipi kwa maoni yako...
3 Reactions
63 Replies
2K Views
Msigwa yule CHADEMA pyuaaa kahamia CCM! MTUKANE Msigwa, mlaani Msigwa, mwombee dua mbaya Msigwa , lakini naye kwa mazingira aliyokuwemo kaamua kutumia utashi na Demokrasia yake kuendeleza matakwa...
4 Reactions
29 Replies
593 Views
Ndio, Kama Taifa litashindwa ku anticipate mabadiliko yajayo ya Kidunia na ambayo yameanza hivi Sasa, basi tutakua Taifa la kijinga kuzidi ujinga wenyewe !!. Hivi Hawa Vitu maalumu Wana kazi...
1 Reactions
2 Replies
313 Views
Kuna taarifa za kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo ambae pia ni mmiliki wa Dima Online aliyechapisha kwa mara ya kwanza taarifa ya tuhuma za aliyekuwa RC Simiyu kulawiti, mwandishi...
22 Reactions
174 Replies
9K Views
  • Closed
WanaJF! Hapa nchini Tanzania kuna sekta fulani fulani ambazo ni nyeti na zinapaswa kupewa uangalizi wa kina ili ziweze kuleta tija kwa taifa. Mfano tu wa sekta hizo ni sekta ya maliasili na...
4 Reactions
210 Replies
42K Views
Hii kauli hawezi sema Rais. Mtoto wangu wa miaka 13 anajua why Kariakoo waligoma. Ila Rais hajui why waligoma. Huenda waliotumwa na Rais kuuliza au kuchunguza waliporudi akawauliza Rais: Enheeeh...
0 Reactions
2 Replies
227 Views
Habari zenu wakuu Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mara Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea. Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo...
2 Reactions
6 Replies
305 Views
Mashirika haya NSSF na PSSF wanadai michango kutoka kwa waajiri kwa nguvu ya sheria. Tena michango hii ni kama kodi, usipolipa kwa wakati kampuni, tena wakurugenzi wa kampuni. Hili limekaa upande...
2 Reactions
4 Replies
308 Views
Rais Samia amesema Mtu aliyepitishwa kwenye mafunzo ya Dini hawezi kuinua mdomo wake na kumtusi au kumkashifu Kiongozi wake Kwahiyo wale wanafanya hivyo ni kwa vile hawajapita kwenye malezi ya...
12 Reactions
95 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza, Ningependa kujua CV ya mteule wa Mh. Rais Dkt. John Magufuli, ndugu Hudson Kamoga ambaye leo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi. Ni hayo tu. ========= Biography...
10 Reactions
128 Replies
41K Views
Back
Top Bottom