Ni Nuru, Faraja na Tumaini la ndoto za Watanzania wengi.
Ni kichocheo cha mshikamano na maelewano ya waTanzania bila kujali mirengo ya kisiasa, kanda atokayo, rangi, dini au kabila.
Ni kielelezo...
IMF wamekuwa na Sera ya kutaka Serikali hasa za Afrika zinazokopa IMF kupunguza gharama za kuendesha Serikali ili waweze kuwa na unafuu wa kukopa Madeni yao.
Hii shinikizo iko kwenye nchi nyingi...
Record yake kiuchumi kijamii na kisiasa inambeba juu juu zaidi.
weledi, uadilifu na umadhubuti wa serikali yake ndio msingi wa yote hayo.
Kwenye Demokrasia, Haki, Usawa, Uhuru, Uwazi...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ametatua mgogoro kati ya Jeshi la Magereza na Wananchi wa Kijiji cha Dondwe wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani baada ya wananchi hao kuzuiwa...
Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa amekua akipambana sana kuuliza Bungeni kuhusu uboreshaji wa huduma za afya kwenye Wilaya ya Mkalama mkoani Singida na sasa Serikali...
Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ameweka bayana kuwa Wizara ya Maji haina deni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na uwekezaji mkubwa wa miradi ya Majisafi Nchini hususani...
Kwa wale mlio wakazi wa Arusha na Manyara huko, nadhani mmeona kwamba hivi karibuni kumekuwa na shughuli nyingi zinazohusu wale wanaosemwa kuwa wawekezaji nchini toka mataifa ya Uarabuni.
Mara...
Kwa siku kadhaa sasa Tanzania imekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa mkoani Arusha katika Hotel wa "NGURDOTO"
Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameongoza kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa tarehe 05...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.
Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani...
Hali ilivyo sasa ndani ya Chadem ni mbaya haijawahi kutokea..........kutoaminiana miongoni mwa viongozi wa juu kumetamalaki......
Lisu amekuwa akisikika kwenye mikutano yake ya siasa akiwatuhumu...
Salaam wakuu,
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka tabia hii mbaya ya kutumia wananchi wanaokumbwa na matatizo mbalimbali hasa wanaokumbana na mkono wa sheria.
Imefika wakati hadi wanamgombania kama...
Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF
Me naona nimeseme neno moja tu
Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi
Serikali ishasema inashughulikia Jambo...
There are things that happen in society involving any leader, they always have the appearance of bringing laughter to the heart and not being angry and condemning people to jail!
Kuna mfano...
Msigwa kwa muda mrefu sana amekuwa na msimamo mkali dhidi ya CCM, msimamo ambao ulitokana na orodha ndefu ya mambo ambayo hakuyapenda sana ndani ya CCM, pamoja na watu wenyewe wa CCM. Lakini sasa...
Mheshimiwa Askofu Dr. Josephat Mathias Gwajima ni moja kati ya watu wachache sana kuwahi kutokea Duniani. Mheshimiwa huyu ambaye pia ni mbunge wa Kawe jimbo lilipo jijini Dar es Salaam, amekuwa...
Wakuu kwema,
Huu mtindo mpya wa CHADEMA kuchangia hela watu wenye kesi mbalimbali unaenda kuota mizizi
Huyu kijana kwa mfano aliyechoma picha ya Raisi, , awali huyu dogo me nilikuwa nifatilia...
Baada ya Mchungaji Peter Msigwa kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa alisema yeye hakufuata uongozi CHADEMA bali kuwatumikia wananchi hata akiitwa sehemu yoyote atafanyakazi ya kutumikia...
Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh na Wanahabari, hoja za mh. Mbunge Mpina kuhusu harufu ya rushwa katika mchakato wa uagizaji sukari mmezielewa?
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba, katika Nchi za Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.