Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ruto pamoja na jana kupewa makavu kule Space ila amesema ataendelea kuwepo Space ili kusikiliza raia zaidi. Kule watu wamemchana live kiasi kwamba ingekuwa ni kiongozi hata Mkuu wa wilaya...
10 Reactions
37 Replies
654 Views
Serikali ya Tanzania inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha kutengeneza matairi kilichopo jijini Arusha cha General Tyre kuhudumia soko la ndani na kanda. Uhuishaji wa General Tyre East...
1 Reactions
24 Replies
663 Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mko wapi kwenye hii kashfa ya Sukari? mmeshamsikia Waziri Bashe, Mmeshamsikia Mpina, mmeshamsikia Tulia, mmeshaisikia Kamati ya Bunge...
2 Reactions
7 Replies
274 Views
Kikao cha halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ambureni Leo Tarehe 6/7/2024. Imemvua Uongozi katibu wa tawi la Ambureni Ndugu. Chales Tarimo, pamoja na nafasi zake zote za...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
CPA Amos GABRIEL makalla amsikilize sahivi yupo Dar Es Salaam anamwaga mavitu. Namfahamu Makalla ni mwanasiasa hodari aliyekulia na kulelewa kisiasa. Hana mambo ya siasa za kishamba, amezaliwa...
1 Reactions
2 Replies
362 Views
https://youtu.be/-WPw_tmfqzA?si=WYOA5kDW7mb6FLQg
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Nimekutana na post muda si mrefu kuhusu Mwijaku, nimefikiria tuanzishe kampeni hii ya kumaliza uchawa nchini na kuondoa viongozi wote ambao hawatufai. kama mtoa mada yule alivyoelekeza; Kusoma...
26 Reactions
83 Replies
3K Views
Nchi hii imeshakuwa na majemedari mahiri na nguli, lakini wote hawakuwa na ujasiri wa kutoa amri ya kuruhusu mabasi yatembee usiku kucha. Imagine chuma kama Nyerere hakikutoa amri hiyo, chuma kama...
6 Reactions
33 Replies
801 Views
Sisi wabobezi wa Masuala ya Kodi tunaiona hii ni hatua ya kijasiri sana na inastahili kupongezwa Mosi, Masuala ya Usuluhishi wa Kodi kufanyika TRA kwa kuundiwa Idara maalumu hili ni jambo muhimu...
0 Reactions
2 Replies
202 Views
Ambassador of the United Republic of Tanzania in the Union of the Comoros, Saidi Yakubu recently welcomed Dr. George Roberts, a Lecturer at Sheffield University and Author of the book...
0 Reactions
0 Replies
218 Views
MSIKILIZE MKURUGENZI WA BODI YA SUKARI ALAFU MSIKILIZE ALIVYOZUNGUMZA JANA NA PRESS LINGANISHANISHA TAKWIMU ANAZOSEMA HAPA NA ALIZOSEMA JANA KWENYE PRESS ALAFU LINGANISHA UTAJUA KUNA JAMBO KUBWA...
4 Reactions
7 Replies
338 Views
Kuna Kashfa kubwa ya Kampuni 4 ambazo zimepewa vibali vya kuagiza sukari huku zikiwa hazina sifa wala uzoefu wa biashara ya Sukari Je ni nani wamiliki wa makampuni haya yenye nguvu kubwa hadi...
12 Reactions
75 Replies
4K Views
Wabunge wanatuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya sukari ambapo inadaiwa baadhi yao wamepewa vibali vya kuagiza sukari na Waziri Bashe kama mkakati wa kuwanyamazisha na kufanikisha azma yake ya...
0 Reactions
3 Replies
225 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tuna Rais wa nguvu, Rais wa viwango vya nyota tano, Rais mzalendo, msema kweli, wa kujivunia, mwenye misimamo, kujiamini, na ufahamu wa masuala mbalimbali...
4 Reactions
47 Replies
951 Views
Habarini za wakati huu. Pasi na shaka wapo washauri wa viongozi wetu, na viongozi ndyo huwachagua watu hao. Napata mashaka kuona baadhi ya viongozi kuwa na hoja hafifu na uwezo mdogo wa...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Jana nimekusikiliza vizuri wakati ukihutubia Baraza la Wanawake Waislamu. Dhambi iliyokukera zaidi na kuikemea katika kusanyiko Hilo la Dini ni "Kutukana" (matusi). Dhambi hii ukiigeuza katika...
5 Reactions
17 Replies
441 Views
Hakuna kitu kinaumiza kama kusubiria malimbikizo ambayo ni jasho la mtu kulitumikia taifa hili! Watu ni kama wanalazimishwa kukopwa bila kujua watalipwa lini! Serikali mbona mnaonea hivyo...
2 Reactions
14 Replies
412 Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA TAARIFA YA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE KUHUSU:- 1. MAONI YA KAMATI KUHUSU USHAHIDI WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB)...
0 Reactions
7 Replies
667 Views
Nimegundua kuna utofauti mkubwa wa kati ya mtu alieisoma katiba ya nchi na ambaye hajaisoma . Wengi wetu ambao tunaangukia kundi la pili hatuna utofauti na mnyama wa kufungwa aitwae punda.
4 Reactions
7 Replies
301 Views
Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini. Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika...
2 Reactions
33 Replies
826 Views
Back
Top Bottom