Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Bahati haiji mara mbili. Wananchi wako busy kujadili usajili wa Simba na Yanga please huu muda muutumie ipasavyo kukusanya fedha za uchaguzi ili muhakikishe mnaendelea kula mema ya nchi.
5 Reactions
17 Replies
512 Views
Kila nikikumbuka maneno haya ya mzee Lowassa huwa namuona alikuwa Mwanasiasa aliyekomaa sana Baada ya Lowassa kuhamia Chadema mwanaharakati Humphrey Polepole alisema atazunguka Tanzania nzima...
2 Reactions
13 Replies
493 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Chadema sasa imeingia Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya mpango wake kabambe wa kuwaelimisha wananchi kuhusu haki zao, Hii ni baada ya mikutano yao mingi yenye...
11 Reactions
27 Replies
697 Views
Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu. Mwaka 2021/22- Trillions 22.2. Mwaka 2022/23- Trillions 24.1. Mwaka 2023/24- Trillions 27.6 ==== Pia soma: Mgogoro wa Kariakoo vs TRA; Tatizo Siyo...
19 Reactions
212 Replies
5K Views
Katika siasa lazima uwe makini sana na matendo na mwenendo wa wanachama chako lakini pia uwe mwepesi kujisafisha na kuweka kumbukumbu sawa pale ambapo jambo lillilotokea lina uhalifu au sifa chafu...
1 Reactions
18 Replies
651 Views
Wengi walishangaa Shujaa Magufuli kuwavalisha Kofia za CCM Diamond na Kiba Wengine wakashangaa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuhudhuria Birthday party ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh...
3 Reactions
12 Replies
341 Views
Ministers to use RAV 4s as state shuns posh cars New Ministers cars A newcomer to the Parliament building in Dodoma when the National Assembly is in session might easily mistake its parking...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr Samia Hassan amebainisha jambo hilo zito na pia kuelezea sababu za kumuondoa kigogo wa TRA Kigogo aliyeondolewa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Mtu mmoja aliwahi kuniambia usemi unaosema tujifunze kwa makosa hauko sahihi kwani kuna makosa hayatakupa muda wa kurekebisha chochote. Ni kwa sababu ya hiyo dhana namuona Ruto alikuwa na nafasi...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Balozi Ami Mpungwe ni moja ya makuwadi maarufu wa soko huria akianza awamu ya Mwinyi, Mkapa, Kikwete. Ni mtu ambaye anajihisi ana ukubwa wa tembo, na kuna watu wenye akili kama zake wanamuona...
7 Reactions
19 Replies
750 Views
Mwenezi wa CCM komredi Makalla amewataka UVCCM kukaa mkao wa kupokea maelfu ya Wanachama kutoka vyama vya Upinzani hasa Chadema na ACT Wazalendo Mlale Unono 😀
2 Reactions
30 Replies
838 Views
LUHAGA MPINA amewasilisha kwa umma hoja zenye kurasa 95 kuhusu suala la vibali vya sukari lakini nimesikiliza press ya bosi wa bodi ya sukari sijaona akijibu hoja badala yake kuruka ruka. Hoja za...
3 Reactions
16 Replies
535 Views
Alianza na Kikwete, akaja tenguliwa kipindi fulani. Dkt. Magufuli akamrudisha. Jana akatenguliwa leo Mh. Samia kamrudisha. Najiuliza huyu Bwana ni nani? Utendaji wake ukoje? Napata mawazo huyu...
5 Reactions
60 Replies
8K Views
Mnashindwa vipi kukaa na kujadili masuala ya msingi kama kuboresha huduma afya, elimu na upatikanaji wa umeme? Mnabakia kila kona kushupalia juu ya takwimu za foreign reseve ambazo zimekosewa...
4 Reactions
92 Replies
3K Views
Katibu wa Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi wa TLS Wakili Nelson Frank ametaja orodha ya wagombea nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 02 Agosti...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Sijui kama wachambuzi wa siasa na chaguzi zetu wameangazia vya kutosha suala la FEDHA na RASILIMALI wanazokuwa nazo CCM wakati wa kampeni. Vyama vya Upinzani siku zote vimekuwa vikifanya kampeni...
7 Reactions
88 Replies
2K Views
Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia. Nchi ndogo za magharibi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na...
44 Reactions
149 Replies
3K Views
Hivi nyie watawala wa hii nchi ni mpaka watanzani nao siku moja wafanye maamuzi magumu kama vijana wa Kenya? Like kundi lote kwenye uapisho lina ulazima gani na ni kwa gharama ya nani? Watu...
27 Reactions
51 Replies
2K Views
Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya...
43 Reactions
169 Replies
7K Views
Back
Top Bottom