Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Zaidi ya vijana 10 miongoni mwa mamia waliotelekezwa Uwanja wa Mkapa baada ya Tamasha la UVCCM lililotumbuizwa na Msanii mpya, ambaye pia ni afisa habari wa Simba Ahmed Ally, wamepita Mbozi Road...
14 Reactions
31 Replies
1K Views
Wanabodi, Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni...
2 Reactions
4 Replies
577 Views
Naungana na Wapenzi wa Lugha adhimu ya Kiswahili kusherehekea siku ya Kiswahili Duniani Leo tarehe 7/7 siku ambayo Umoja wa Mataifa uliitambua rasmi. Kama Samia alivyosema Kiswahili ni Lugha ya...
0 Reactions
2 Replies
282 Views
Mkuu Chipukizi ameweka kwenye thread nyingine link yenye habari muhimu na sensitive sana ambazo bado hazijadhibitishwa kuhusiana na biashara ya madawa ya kulevya hapa nchini, lakini naona kama...
99 Reactions
904 Replies
149K Views
Suala la kuhamia Dodoma sio gumu kama watu wanavyofikiri, pamoja na changamoto zake lakini litafanya tuwe na mji mwingine mkubwa angalau wenye watu hata milioni mbili siyo mbaya ili kuleta uwiano...
11 Reactions
25 Replies
4K Views
MAPISHI, BURUDANI NA MIJADALA VYANOGESHA SIKU YA KISWAHILI COMORO Watanzania waishio nchini Comoro na wananchi wa Kisiwa cha Ngazija na wanadiplomasia wameshiriki katika Maadhimisho ya Siku ya...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Kwa unavyoona mambo yalivyo pale BAWACHA au hata BAVICHA, nani unadhani anaweza kuwa Mwanamke wa nguvu wa kwanza kushika wadhifa wa juu wa chama hicho Kikuu cha upinzani ukiachilia mbali uongozi...
0 Reactions
9 Replies
477 Views
Bila ya kuwapotezea muda, mwenye uelewa wa Political right to petition. Haki ya kutoa maoni kwa njia ya kusaini kusudio, mahitaji au matakwa. Je kwa Tanzania hili inaruhusiwa. Kipengele gani cha...
0 Reactions
1 Replies
159 Views
Jinamizi linalosumbua TRA na wafanya biashara sio Kamshna bali ni sheria zetu kandamizi za Kodi. Pale TRA hata tuamue kuajiri Malaika Gabrieli akae pale hapatakua na mabadiliko na migogoro...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Igweeeee wana kidoni wazee wakunusa mbali tuna kuja na hii mpya kuliko zote. Kwanza tuanze kwanini Bashe ameingia kwenye vita kali na Mpina? Je, chanzo ni kitu gani na siri nikitu gani. Awali ya...
37 Reactions
150 Replies
10K Views
Kibao mbele ya jengo kinasema: Proposed Building of Parrot Hotel... Client: Hassan Hussein Mshana... Jengo la katikati linaitwa "Arusha Consultants House" limefunguliwa hivi karibuni. Jengo la...
11 Reactions
104 Replies
29K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe ametangaza kujiuzulu kufanya siasa endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo ndani...
11 Reactions
82 Replies
4K Views
Mwabukusi akitema cheche Baada ya wakili Boniface Mwabukusi kukatwa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kwa madai ya kuwa na doa la kimaadili...
2 Reactions
5 Replies
483 Views
BASHUNGWA AKEMEA TABIA YA VIONGOZI KATIKA KATA KUCHONGANISHANA. Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa amekemea tabia ya viongozi wa kisiasa katika kata ya Kituntu...
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Mwabukusi anasema aliadhibiwa kwa kwenda kinyume na maadili sababu ya kuwakosoa viongozi wa juu kwenye mkataba wa DP World, kuwa mkataba unaoiba rasilimali za tanganyika kiyume cha sheria...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli? Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka...
74 Reactions
791 Replies
87K Views
Wakuu, Jana tar 6/7/2024 CCM walikuwa wanazindua Kampeni kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Ushiriki wa Vijana katika Chaguzi hizo katika Uwanja wa Mkapa, ambapo ilihitaji ushiriki wa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ninachowakubalia Wakurya ni wananchi wasema ukweli ni wawazi. Hakuna kabila lenye upendo kama Wakurya na wachache tunawaelewa vibaya. Ni wananchi waungwana sana. Ninachokiona kwenye Jimbo la...
1 Reactions
2 Replies
475 Views
P01 MABADILIKO YA MFUMO WA UCHAGUZI WA WABUNGE NA MADIWANI A. MADIWANI 1. Diwani atakuwa na Elimu kuanzia walao shahada ya kwanza. 2. Diwani atachaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura 3. Mgombea...
3 Reactions
8 Replies
809 Views
Moja ya mambo huwa watu hawaelewi hasa wananchi wanoishi katika nchi za Giza Kuna kiongozi na kuna mwanasiasa Afrika hamna viongozi Ila kuna wanasiasa . Mwanasiasa huwa anapambania nafasi yake...
3 Reactions
4 Replies
277 Views
Back
Top Bottom