Nimepita mahali! Nimekutana na hilo neno.
Kuna wachache watakaokataa kauli hiii, ila sikio lakufa halisikii dawa.
===========
Dar es Salaam. Kero nne za barabara, ardhi, umeme na huduma za...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe. Daniel Sillo amewataka Wananchi kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kupiga vita dhidi ya ukatili wa...
Heshima, Upendo, Matumaini na Kuaminika, kwa Chama Cha Mapinduzi kwa wanainchi wa Tanzania, kuna tokana pamoja na mambo mengine, ni utekelezaji wa wa mafanikio makubwa sana, wa ilani ya uchaguzi...
---
Mdude Nyagali ambaye ni Mwanaharaati wa CHADEMA ameonekana kukerwa na kitendo cha Ahmed Ally Meneja mawasiliano wa Simba kuwataka wananchi kuipigia kura CCM. Kupitia ukurasa wake Rasmi wa X...
Mh. Chalamila- Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, pole na majukumu ya kujenga Dar Es Salaam na Taifa kwa ujumla.
Mkoa wa Dar Es Salaam kwa hivi karibuni umekuwa ukipata changamoto ya baadhi ya maeneo...
Wakuu,
Nimetembea sana Ubungo lakini sijaona hivyo vitu.
Je, ni wapi naweza ona hivyo vitu katika wilaya ya Ubungo.
Hivi hapo Ubungo mataa wameshindwa kudesign ili pawe na majengo ya ghorofa ya...
Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo amepewa,adhabu ya onyo iliyotolewa na kamati ya maadili na nidhamu
https://m.youtube.com/watch?v=gQKBmG0mSns
Wakili Boniface Mwabukusi...
Nimesikia wanasiasa wanasema kutekana na kupotea kulikwisha ila kumeanza kurudi tena, hivi ni lini yalikwisha?
Kwa kumbukumbu zangu kila baada ya muda tunasikia tukio la kupotea au kutekwa.
Au...
Kenya wanapeleka wachezaji 79 kwenye Olympic mwaka huu, na Olympic ndio imekuwa inaitangaza sana Kenya Kimataifa.
Timu ya Olyimpic ya Kenya ikiwa Ikulu sijaona Wamevaa ujinga ujinga sijui picha...
1:
Naandika hapa nikiwa na majonzi sana. Moyo umeumia sana kiukweli nimeghafirika sana. Mimi sina chama kabsa lakini ni mpiga kura mzuri sana. Leo moyo wangu umeumia sana na kiukweli nimekata...
Makamanda salamu katika Bwana.
Tunamshambulia sana..tunaponda sana najua ni haki yetu ya kikatiba lakini tunavuka mstari wa ustawi wa Nchi yetu.
Sisi ambao tupo humu jamii forum ni mfano wa...
Wakati ujenzi wa bwawa la Mwalimu Nyerere unaanza, watetezi wake walikuwa wanatoa mishipa ya shingo kuwa bwawa hilo likianza kazi umeme utashuka bei. Nikawa nasema miaka yote tumekuwa tukitumia...
Rais wa Jamhuri ya Kenya amekubali kushindwa....
Amekubali kuwa yeye ni kiongozi wa serikali lakini kubwa zaidi ni kiongozi wa wananchi wa Kenya...
Amekubali kuwa sauti ya umma ni sauti ya...
♻️ Kwa kuzingatia wigo mdogo wa walipa kodi ktk nchi yetu dhidi ya idadi kubwa ya wananchi..
♻️ Kufuatia deni la taifa kuongezeka kila leo..
Kufuatia mtikisiko wa thamani wa fedha yetu..
♻️...
Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi...
Mchezo huu muhimu baina ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa nilivyo pendekeza kwa kuanzia, uchezwe uwanja wa Benjamin Mkapa mchana, na kiingilio kiwe ni bure kabisaa ...
Na kwakua itakuwa...
Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe.
Deni hilo...
Hili ndilo naloliano kwa Mbowe kuachilia kitu ambacho umekipigania kwa jasho na Damu tangu ujana ni ngumu
Ni Bora aimiliki Kama kampuni yake BINAFSI ambayo mkurugenzi wake ni wa maisha
Kwa miaka...
Ila CCM imejaa viongozi wengi wajinga, badala mtilie mkazo kwenye uadilifu, kukemea uchawa na wizi, rushwa na ufisadi, mnakuja kujitia aibu kwa ujinga kama huu! kwani nani hajui kukosolewa kwenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.