Kuna tofauti kubwa kati ya Uadilifu na Uchapa kazi. Hayo ni mambo mawili tofauti. Viongozi wengi wako katika makundi mawili
1. Viongozi waadilifu lakini hawana maarifa ya kuchapa kazi na kuleta...
Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza.
Mganga hawezi na wala hana uwezo wa...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wa Manispaa ya Songea Mjini...
P02: MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI
Lina wizara 14, Mawaziri 14, hakuna Manaibu Mawaziri
Wizara hizo ni:
1. Ofisi ya Rais (menejimenti ya utumishi wa umma, katiba sheria na utawala bora)
2...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024.
Rais amesema
"Ndugu...
My Take
Kwa moto huu wa Dk.Mollel Hapa Chadema Hamna Chenu 😂😂👇👇
Wananchi wa kijiji cha Roseline, kilichopo kata ya Ndumeti, wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro wakionesha furaha na bashasha kubwa...
Baada ya Wafanyabiashara wa Simu 2000 kumfukuza mkuu wa wilaya ya Ubungo hatimaye Mkuu wa mkoa mh Albert Chalamila alifika eneo hilo na kufanikiwa kuwatuliza Wamachinga
Chalamila ameahidi...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa kuhakikisha anasimamia ujenzi wa barabara ya Malagarasi - Ilunde - Uvinza (km...
Akiwa amezungukwa na Waandishi wa Habari DC Bomboko aliwauliza mgomo wa Wafanyabiashara umesababishwa na nini?
Waandishi: Wanadai eneo hili kauziwa Mwarabu na mchina Ili wajenge karakana
DC...
Baada ya tukio la hivi karibuni la timu za Simba, Yanga na Azama kushiriki kikamilifu katika siasa za kuiunga mkono CCM katika mkutana mkubwa wa UVCCM kupitia wasemaji wao rasmi wa timu , Je...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
Ni jambo la kusikitisha kwa CCM na Dola kushindwa kumshauri Mwenyekiti kuzunguka nchi nzima eti kumsema au kumzodoa Mbowe kuwa anaongoza kidkteta Chadema. Nadhani hii ni kukosa Agenda au kututoa...
Salaam Wakuu,
Mwezi wa nane chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) wanafanya Uchaguzi wa kumchagua raisi wao na Viongozi wengine.
Kitu ambacho kimewashangaza wengi, ni...
Nafanya Utafiti kujua kwanini Vatican inafanyaga Uchaguzi mmoja tu yaani ule wa kumchagua Papa kwa Njia ya Moshi Mweupe
So nataka nijifunze kwanza Uchaguzi Huru na Haki huwa unafananaje!
Naomba...
Kama tulivyosema awali ni kwamba, leo ilikuwa siku ya kumaliza matanga Nyamongo, Baada ya Shughulili ya "Kuizika ccm" Tarime.
Ushahidi huu hapa
Mtu akithubutu kuwapora ushindi watu hawa...
📌📌 MWENYEKITI WA CCM MKOA WA CCM AMESHIRIKI KATIKA TAMASHA LA UTAMADUNI NA UTALII.
🗓️ 07, July, 2024
📌 Bariadi - Simiyu
Mwenyekiti wa CCM Mkoa Simiyu, Ndugu Shamsa Mohammed ameongoza kwa mfano...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameibuka, baada ya Tumsime Ngemela kumtaja alipozungumzia tuhuma za kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dk Yahya Nawanda.
Tumsime akizungumza na...
Nimejaribu kutafakari zaidi na zaidi na zaidi, kuna gharama gani kwa kiongozi wa Serikali kutoka ofisini na kwenda kutatua shida za wananchi?
Tumekuwa tukiona baadhi ya wakuu wa wilaya au mikoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.