Huyu nabii amesikika kwenye Redio akifanya kazi kubwa ya kufufua na kuwaua waovu wanao katisha maisha na ndoto za walio wengi kwa manufaa yao binafsi.
Maoni yangu atusaidie Taifa letu la...
Ulipoingia wizara ya nishati Kwa mara ya kwanza, ulikuwa na MIKAKATI mingi, customer care ikajitegemea, service za mitambo na njia za umeme, pesa zikalipwa na tatizo liko pale pale, software ya...
Heshima kwenu wanajamvi,
Nimemfuatilia Mh. Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji, kwamba alikabidhiwa kijana wake amlee.
Ni wazi Manji alikwapua fedha nyingi za...
Wakuu Jana usiku nilikuwa Nasikiliza hotuba ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambayo aliitoa 16 AUGUST 1990 sehemu ya hotuba hiyo alisema kwamba mwaka 1962 wakati wa uchaguziTANU ilishindaviti...
Ni Salva Kiir Mayardit wa Sudan Kusini, Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia, Paul Kagame wa Rwanda, Felix Tshisekedi wa DRC, Yoweri Kaguta Mseveni wa Uganda, William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto wa...
Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameendeleza kampeni yake ya kutembelea shule mbalimbali za Sekondari zilizopo ndani ya Halmashauri ya Momba kwaajili ya kunadi sera yake ya...
Wanajamvi, huyu Mwamba John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa kimya sana hivi sasa!
Haonekani mara kwa mara kwenye mikutano ya chama mikoani akiwa na viongozi wengine, Je nini...
Mawakili na wanachama a TLS ni watu wajivuni sana; wanajiona sana kiasi kwamba na wao wenyewe wanajitambulisha kama wasomi. Lakini TLS hawakuianzisha wao; walianzishiwa na serikali.
Halafu...
Habari wana JF
Kama mtakuwa wafuatiliaji wa mambo ya siasa mtandaoni kuanzia Insta, x (zamani twitter) facebook na hapa Jamiiforums
Mtagundua kuna kundi kubwa limeibuka kumpinga Mwenyekiti wa...
Tulionya tangu awali kwamba Chadema ikishaingia mitaani ccm itafute pa kujificha, na hivyo ndivyo inavyotokea.
Leo Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, amefika Tukuyu kwenye eneo...
Bado hamjajifunza tu, mwanzo mlifosi mkaweka karakana pale Jangwani, kilichowapata kila mtu anajua.
Mwaka huu tena mmeamka na akili zenu finyu mnataka kwenda kuweka karakana pale Simu 2000 a.k.a...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Amos Makalla akiwa kwenye mkutano wa hadhara Segerea amesema kuwa kuna vyama vinaongozwa kwa misingi ya kikabila na kikanda
Chama cha...
Wizara nyingi wamepangwa marafiki ili kujichotea pesa za serikali, lakini nahisi sasa wa-TZ pia tunahitaji Gen-Z yetu ipambane na uchafu ndani ya wizara zetu.
Huyu anayejiita ni waziri wa maji...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesisitiza umuhimu wa kudumisha umoja, mshikamano na ushirikiano baina ya watanzania wote bila kujali dini...
Vyama vya upinzani kwa sasa vimekosa mvuto kabisa kwa sababu ya kukosa maarifa na kutotambua waongee lipi na waache lipi.
Fikiria, Rais Samia aliamua kuwafungulia kutoka kifungo cha kutofanya...
TAARIFA KWA VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa...
Nafanya utaratibu wa kuweka clip hapa uone huyo machinga anavyotiririka kwa takwimu huku DC Bomboko akiwa na hofu kuu na RC Chalamila akikubali kila hoja ya machinga huyo
Kama Wamachinga...
Easther Bulaya
Nimemsikiliza mara kadhaa Bulaya kuhusu hekima ya kuhama vyama wakati wa Lijualikali na pia kwa Msigwa, ana hoja na ukomavu wa siasa.
Ninamuunga mkono kuwa ukihama siyo lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.