Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mzee wetu amefichua kuwa wanaosema Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na kumshutumu basi wao ndiyo wachumia tumbo na wasiyo Itakia mema CHADEMA.
Wengi wao wanao msema...
Dtk. Wilbroad Slaa akihojiwa na Clouds TV amedai kuwa mmoja wa waanzilishi wa CCM na alikuwa kiongozi. Amesema kwa wakati ule kulikuwa hakuna namna ya kutokuwa TANU.
Nimekuwa katbu waTANU tangu...
Salaam, shalom!!
Nimesikiliza hotuba ya kiongozi wetu mkuu akisema kuwa, waliamua kuongeza Kasi ya kuchukua mikopo Kwa kuwa walijua wananchi wengi ni wakwepa Kodi hawalipi Kodi ipasavyo.
Kwamba...
Hasa kwenye nafasi ya Urais..
wanasubiri mistakes za serikali ndipo wareact...
Hawana na hawafanyi maandalizi yoyote ya maana, ya uchaguzi wa serikali za mitaa ndani ya vyama vyao wala nje ya...
Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe.
Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena
Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama...
Kwako mheshimiwa Samia Hassan Rais wa Tanzania, Tunahitaji maswala yafuatayo yatatatuliwe kwa faida yetu sote, hii nchi ni ya Watanzania wote, kama kuna kuteseka tuteseke wote na tufurahie maisha...
-Ataka kutekelezwa haraka kwa maelekezo yake ili kufikia adhima ya serikali kufanya biashara saa 24
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 10,2024 amefanya kikao na...
Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu...
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AGAWA MASHUKA NA NETI ZAHANATI YA KATUNDA, WILAYA YA UYUI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Tarehe 09/07/2024 nimefanya mkutano wa hadhara...
Kuna tetesi zimezagaa mkoani Kilimanjaro zikidai kuwa Jeshi la Polisi wilaya ya Mwanga limetoa taarifa isiyo sahihi kuhusu kufukuzwa kazi kwa askari wanne wa barabarani waliohusishwa na tukio la...
Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na uongozi wa Chama cha Urafiki baina ya Tanzania na Comoro - AMICAL waliofika kujitambulisha kwake. Ujumbe huo uliowajumuisha Katibu Mkuu...
Makamu wa Rais, Dkt Philip Isdor Mpango ambaye yupo katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani Kigoma, ameiagiza Wizara ya Nishati kuhakikisha kuwa inatoa msukumo wa upatikanaji umeme...
Wizara imetulia, mambo yanafanyika vizuri kwa maneno na matendo. diaspora na wafanya biashara kimataifa kwa ujumla wao, wanakubali kazi na jitihada za wizara kupitia Waziri huyu kijana na mbunge...
Wizara ndizo husimamia sera na mipango husika kwa ajili ya maendeleo.
Uteuzi wa mawaziri kwa sasa umejikita sana kuzingatia mikoa, makundi maalaumu kama vijana, wazee ,akina mama na walemavu na...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewataka watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Tabora na Katavi kuwa na ushirikiano kati yao, Serikali, Vyama vya Siasa na wadau...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika operesheni ya siku 21 ya kukijenga chama hicho kanda ya Kaskazini inayoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Ndugu Freeman Mbowe imekutana na...
NI aibu kwa Mkuu wa mkoa Iringa kutetea wabadhirifu wa fedha za umma mkoani Iringa, jengo la bwalo tayari zimeshatafunwa sh milioni 431 ujenzi hauleweki Mkuu wa Mkoa yupo tu anapunga kiyoyozi...
Utazingatia chama cha siasa na itikadi yake tu,
Utazingatia ilani, sera, mipango, dira, mbinu, uelekeo na mikakati ya chama husika, katika kutatua changamoto mbalimbali na kuleta maendeleo kwa...
Katika miezi ya hivi karibuni kumekuwepo na hali ya sintofahamu pale ambapo watu wapotea tu mitaani na vitongojini na baadae kuja kupatikana wakiwa hoi na taabani.
Wananchi hawa hukutwa maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.