Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Katika miezi ya hivi karibuni kumekuwepo na mijadala mbalimbali inayohusu idara ya usalama Tanzania ijulikanayo kama TISS. Mijadala hiyo imeelekezwa zaidi kwenye kuishutumu idara hiyo kwa...
10 Reactions
135 Replies
21K Views
Mawaziri wengi wa Tanzania wana uwezi mdogo sana wa kufanya kazi, Ila wanabebwa kwa sababu za kisiasa tu. Kule Kenya, Ruto kavunja Balaza la Mawaziri na anatarajia kutangaza Baraza jipya siku...
10 Reactions
29 Replies
11K Views
Wakuu nipo nafanya individual assessment hapa. Wakati wa uwasilishaji wa bajeti ya mwaka huu wa fedha 2024/2025 waziri wa fedha alisema kuwa deni la taifa limeongezeka kwa sababu shilingi yetu...
1 Reactions
20 Replies
741 Views
Kiongozi Msafi katika Taifa loloe lile kamwe na Daima haijawahi tokea akaongoza Taifa liliojaaa wapigaji wa mali za Umma. Kule Nigeria inaaminika Gen Sani Abacha kwenye utawala wake kulikuwa na...
2 Reactions
4 Replies
389 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amefika na kusikiliza kero za Wananchi wanaoishi maeneo ya Viwanja vya Mtaa wa Barafu Kata ya Mburahati Wilayani Ubungo wakati wa ziara ya...
0 Reactions
3 Replies
324 Views
Sijui hata jina lake ila ndani ya siku chache ametoa pasi mkaa au boko za kutilia shaka uwezo wake. Alianza na kamata kamata ya machangudoa pale riverside, kesi iko mahakamani, anaitia Serikali...
9 Reactions
28 Replies
1K Views
Mmoja ni msafara wa nchi wapokea misaada, misfara mingine miwili ni wagawa msaada Netherlands na Uingereza.
17 Reactions
31 Replies
11K Views
Viongozi wa dini. Hili eneo wengi wanaliogopa ila ni eneo hatari sana linaloathiri ustawi wa watu wetu. Lina uhusiano mkubwa sana na politicians. Eneo la dini limekuwa hatarishi sana kukwamisha...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Mada kuu ya siku hii tukufu ya leo, ni jinsi gani, tutawalinda wale wanaofichua ufisadi Afrika. Tanzania kimya kabisa au haiitambui siku hii. 😈😈😈 Siku ya Kupambana na Rushwa Afrika huadhimishwa...
1 Reactions
9 Replies
436 Views
Wanawake 36 wa Ubungo waliokamatwa na Mkuu wa wilaya hiyo wakidaiwa Kuwa ni makahaba na kuwekwa lupango siku 5 sasa watamfikisha mahakamani Mkuu huyo wa Wilaya Wakili Madeleka amesema Wateja wake...
49 Reactions
227 Replies
15K Views
My Take: Ujumbe huu uwafikie Chadema https://www.instagram.com/p/C9R-rfeMaA1/?igsh=emlkMXp3Nm9yYzh3
0 Reactions
2 Replies
246 Views
Ndugu wadau wa jf mi nimesikitishwa na baadhi ya wabunge wetu WANAOTETEA MASLAHI YA MTU BINAFSI(MENGI) NA KUACHA Kuacha kuzungumzia hoja za kimaendeleo, wafuatao ni baadhi yao: David Kafulila...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Dar es Salaam. Kwamba Wale waliokuwa wafanyabiashara wa soko hilo kabla halijaungua na ambao majina yao hayapo kwenye mkeka mpya, wameandamana kuelekea CCM...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Kati ya wizara inayonikosha kwa mama samia n wizara ya ardhi Hii wizara ilijawa na wahunj kila anaeingia anataka kujaza na ardhi mkononi mwake na kusahau majukumu yaliomteua Kati ya wizara bora...
4 Reactions
20 Replies
683 Views
Umeenda Kihonda, umetaka wananchi waeleze kero zao za ardhi. Mwananchi anakueleza wewe unamuinterrupt kwa kejeli na dharau kuwa "Hutaki kuhutubiwa". Huyo mwananchi pengine ana watoto, ana mke...
7 Reactions
31 Replies
11K Views
Ukweli mchungu kwa Rais Samia, Serikali na chama-tawala CCM ni kwamba wananchi wamechoshwa mno na janga la ufisadi uliobadilika na kuwa utamaduni wa watendaji wa Serikali ya CCM. Kitendo cha...
2 Reactions
2 Replies
308 Views
Salaam Wakuu, Naishukuru Serikali kwa kupitia Shirika la reli Tanzania TRC kwa kuendelea na jitihada za kuboresha miundombinu yetu la reli. Ila kinachonisitikisha, ni uamuzi wa kupachika jina la...
7 Reactions
19 Replies
10K Views
Wakuu, Haya maelezo yanatishia mashaka, kwamba wanafunzi hawakai chini ila walikuwa wanafanya masahihisho ya mitihani, tena chini ya mti, kama vyumba vinawatosha kwanini wasifanyie hayo darasani...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wakuu kwema!??? Ndani ya week hii kumeibuka jambo moja la kupigiwa mfano na Watanzania wote wanaopenda mabadiliko. Kuna kijana Machachari sana anaitwa anaitwa Mussa Ndile(Kama sijakosea)...
3 Reactions
10 Replies
515 Views
Wasaam, Leo nilikua mitaa ya Vingunguti nilienda salamia jamaa zangu nikashangazwa na viongozi wa CCM kupita nyumba hadi nyumba kuandikisha wapiga kura kwa kuwapa ahadi za kuja kuwagawia pesa na...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Back
Top Bottom