Habari waungwana!
Leo katika pitapita zangu mitaa ya jimbo la Ukonga, nimekutana na mjadala unaohusu ardhi na utoaji hati miliki za ardhi kwa urasimu.
Nilipotaka kujua kulikoni tena nyumbani kwa...
Nimekuona ukifanya kazi nzuri kila ulikopita, japo wahusika kwenye ofisi yako hujawagusa, lakini kwa hatua angalau ya kuwarejeshea mali zao waliodhulumiwa si haba
Bali, wako wale waliodhulumiwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni historia,ni furaha na tabasamu,ni heka heka na chereko,ni shauku na kiu kubwa sana iliyojaa katika mioyo ya wana Katavi ambao wameripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo...
Watanzania kinachowashinda kuongea hadharani, ni ule uoga wa kufungwa jela miaka kadhaa kama kilichompata kijana Shadrack wa Mbeya.
Wana CCM, nawatahadharisha, ni vyema muwe wakweli, maana hata...
Suala zima la migomo Kariakoo linahusu masuala mazima ya kodi, liliibuka mwaka jana likazimwa kisiasa likaibuka tena mwaka huu na linazimwa kwa mbinu zile zile za kisiasa.
Linaacha ukakasi kwa...
Katika karne ya sasa, ambapo dhana ya usawa wa kijinsia imepata msukumo mkubwa na kumekuwa na maendeleo makubwa katika kuhakikisha wanawake wanashiriki kikamilifu katika nyanja zote za maisha...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka kwenye kikosi kazi cha Uongozi mpya wa Kanda ya Nyasa, baada ya muendelezo wa Tathmini ya muda mrefu ya Chama hicho.
Chadema imesambaza kikosi kazi cha kuchambua...
Ile Kesi ya Uongo ya Mauaji aliyosingiziwa Kiongozi wa Bavicha Njombe, Ambaye alikataa kuunga mkono juhudi wakati wa enzi za Dikteta Magufuli inaendelea, ambapo sasa imefika patamu huku Wakili wa...
Kumekuwa na mashindano mengi ya mpira hasa mpira wa miguu kwenye majimbo na kata mbali mbali nchini.
Kwa jicho la kawaida ni jambo zuri lakini kama ukijiuliza ni kwanini ije kipindi hichi na sio...
IGUNGA: "UWT TAIFA YAENDELEA KUHAMASISHA MAENDELEO NA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA"
Mjumbe wa Kamati ya Utekekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Ghasia Amefanya...
Wizara ya Fedha imesema itafanya Utafiti kujua kwanini Watanzania hawapendi kulipa Kodi
Nikiwa Mzalendo wa Nchi hii nakukaribisha MwanaJf kutoa sababu/ maoni Ili kwa pamoja tuisaidie Wizara ya...
Naandika andiko hili nikiwa ndani ya Ofisi yangu ya mpya ya Centre for Strategic Intelligence and Clandestine Operation hapa ndani ya kijiji chetu hiki kdogo.
Rais wangu Samia Suluhu, najua kazi...
MBUNGE NGASSA: " WANA IGUNGA KWA SASA TAIFA LETU LINA UMEME WA KUTOSHA"
Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa Ameendelea na Ziara Jimboni kwenye ngazi ya chini ya Utawala ya...
Haya ni maneno yanayosemwa na mwana CCM, kwamba wao wakifanya kosa, watashughulikiwa tofauti na CHADEMA, hata ikiwa polisi ataonywa tu asirudie basi, ila kwa wengine kama CHADEMA ni tofauti...
Habari zenu.
Mimi sio mwanasiasa lakini leo kama mtanzania mpenda maendeleo nilidownload ilani ya CCM 2020-2025. Ili walau nipate hope na serikali ya Sasa na kama kweli wanatimiza walichoahidi...
Alama za Nyakati ni taarifa za Maono ya Mambo yanayokuja, kuna kila dalili kwamba Joseph Mbilinyi anaandaliwa Jambo kubwa zaidi na Mungu
Huyu kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, ni...
Jambazi ni jambazi, fisadi ni fisadi, tapeli ni tapeli tu. Madhara ya vitendo vya watu hawa kwa jamii ni yale yale bila kujali kuwa wanatoka
chama tawala au upinzani. Madhara ya vitendo hivi...
Hawa bongo movie na comedians wa bongo kwa nini kwa muda mrefu sasa wamekuwa wakihitaji pesa za walipakodi wa Tanzania ziwahudumie katika mambo yao binafsi?
Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June.
TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.