Wadau Wasalaam,
Nimetafakari nguvu iliyoonyeshwa na Vijana wa Gen-Z huko Kenya na kisha nimepitia video ya Fidias Panayiotou, YouTuber na Influencer sasa Mbunge wa EU bila uzoefu! Nimebaini kuwa...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo Julai 9, 2024 ameanza rasmi ziara katika jimbo hilo kusikiliza na kutatua kero za wananchi...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuyafunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024 yanayofanyika viwanja vya Sabasaba, Temeke...
Ikumbukwe kuwa nchi huendeshwa kwa kodi. Bila kulipa kodi hakuna maendeleo na huduma za jamii. Pia, ili biashara iweze kukua sharti ilipe kodi kulingana na ukubwa wake. Iwapo utalipa kodi kubwa...
Naitwa Clement Nkwabi mkazi wa Geita. Napenda kukushirikisha suala la mdogo wangu Joel Raphael Nkwabi. Tarehe 15/12/2023 majira ya saa 2 usiku alienda kuangalia mpira lakini hakurudi. Tar.16...
OPEN LETTER TO MADAM PRESIDENT
Your excellency, President @SuluhuSamia, I hope this letter reaches you in good health.
I intended to share with you these wise words from Ali Mufuruki, a...
Zaweza ibuka fyoko fyoko kadhaa je yaweza kusababishwa marais wanaotoka upande wa pili? Maana wanajambo lao kifuani japo hawasemi hadharani ila nadhani there is a day zenji wataamua kukaa pembeni...
Yester Night i wrote on the nincompoops of our youths from the above mentioned universities. The big problem is lacking technical know hows about some critical issues and analysis.
The fact that...
Natoa ushauri kwa Mamlaka ya Uteuzi kwamba, ipo haja ya dharula ya kumuondoa Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila baada ya Kushindwa kutumia Ushawishi kumaliza mgomo wa Wafanyabiasha wa Dar es Salaam na...
Wasalaam,
Nimefatilia ziara ya Rais huko Katavi na Musoma kilio kikubwa cha wananchi ni maji safi na Salama. Kama taifa tumeongozwa na CCM kwa miaka 60+ na bado na hakuna uhakika wa kutatua...
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mh Dr Slaa amesema waliondoa Ukomo wa Uongozi kwenye Katiba Ili kuwatia Moyo Viongozi Wenye Ujasiri wa Kuongoza na kupambania Chama na Wananchi bila Uwoga
Dkt...
Leo tarehe 11, July 2024. Umealikwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika.
Hongera Dr. Hussein Mwinyi, kwa nia yako thabiti ya kuzuia na kupambana na rushwa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Nchimbi akikemea na kuonya vikali viongozi wa vyama vya upinzani ambavyo baada ya kukosa hoja, agenda, kuishiwa ushawishi na uwezo wa...
Hivi ile kauli mbiu ya awamu ya Tano hapa kazi tu ilienda wapi ilifia wapi? Mbona siku hizi siisikii popote?
Hii kauli mbiu hapa kazi tu iliasisiwa na kipenzi cha wa Tanzania JPM ili kuwa kauli...
Tutegeni masikio tusikilize!
---
Wananchi wa Mkoa wa Mara wamejitokeza kutoa malalamiko yako kuhusu shida ya maji katika Mkoa wao.
Wakazi hao wanadai maji yanayopatikana ni mabaya...
IGP Sirro kazi imemshinda au yuko compromised. Haiwezekani.
Miaka ya nyuma hatukuwahi kuzoea matukio ya utekaji kama tunavyoshuhudia kipindi hiki, hata kama yalikuwepo lkn yalikuwa ya kuhesabu...
Siyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili.
Hebu jiulize:
Vyuo...
Viongozi wawili yani RC na DED makosa yao yanafanana kabisa. Miezi mitatu imepita sasa tangu DED Mafia kutuhumiwa. Hatua hazijachukuliwa mpaka leo zaidi ya kutumbuliwa.
RC jana katumbuliwa, ndiyo...
Paul Makonda akiwa kwenye mkutano jijini Arusha ameongelea mambo kadhaa ikiwemo kumkumbuka Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli jinsi alivyokuwa makini na mkali inapofika suala la uongozi...
Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM.
Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.