Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tuanze kwanza kwa kupata maana ya jumla kuhusu haya maneno. chuki tabia ya kutopenda, hasa watu au ya kuwa na roho mbaya ubaguzi mfumo wa kijamii wa kutoa huduma kwa upendeleo kwa misingi ya...
4 Reactions
14 Replies
664 Views
Juni 9, mwaka 1979 Kamanda aliyeongoza Vita vya Uganda dhidi ya Iddi Amin alitamka kuikamata Ngome ya mwisho ya adui. Haikupita muda Amiti Jeshi Mkuu, Julius Kambarage Nyerere akatangazia Taifa na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, leo 12/07/2024, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa ameongoza Vikao vya Mashauriano vya Mkoa wa Iringa, ambapo ameshirikiana na Mwenyekiti wa Mkoa huo Bilionea...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Kuna kauli moja hutolewa na mawaziri wa wizara husika tangu tu alipoanza kutawala Magufuli mpaka leo katika utawala wa Rais Samia. Lazima wamsifu Rais kaboresha sekta ya kilimo, sekta ya elimu...
2 Reactions
5 Replies
301 Views
NILIWAHI KUMWAMBIA HAYATTI MAGUFULI, LEO NARUDIA KWA RAIS SAMIA, ILI ASIJEPOTEZA MUDA WAKE. Na, Robert Heriel Niliwahi kuandika hapa miaka mitatu iliyopita, niliipa makala ile kichwa kisemacho...
89 Reactions
157 Replies
15K Views
ZIARA YA MBUNGE MAVUNDE YALETA MATUMAINI MAPYA KATA YA HOMBOLO MAKULU - Kuanzisha ujenzi wa Zahanati Mtaa wa Maseya - Shule Mpya kujengwa Kitongoji cha Mgona ngholongo - Atoa vifaa vya ujenzi...
0 Reactions
2 Replies
204 Views
SHULE MPYA YA SEKONDARI KUJENGWA KATA YA CHIHANGA-MAVUNDE Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amewahakikishia wananchi wa kata ya Chihanga kwamba Serikali ya awamu ya sita chini...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
MBUNGE MAVUNDE ALITAKA JIJI LA DODOMA KUKAMILISHA UPIMAJI NZUGUNI B Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh.Anthony Mavunde amelitaka Jiji la Dodoma Idara ya Ardhi kusimamia ukamilishaji wa zoezi la...
0 Reactions
1 Replies
273 Views
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike...
21 Reactions
71 Replies
3K Views
Labda sasa tumepata chimbo cha habari chenye uthubutu wa kuhoji mambo ya Msingi Nimemsikia Salim Kikeke wa Crown Radio akimhoji boss wa Polisi mkoa wa DSM afande Muliro kwa kweli ameanza vizuri...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi kwenye mkutano wa Hadhara katika viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mkoani Katavi, ikiwa ni sehemu ya...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Luhuga Mpina ameyasema hayo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jana tar 29 kuelekea 30, ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza baada ya kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya...
62 Reactions
170 Replies
5K Views
The minister is materially wrong to put the case of the soldiers who were killed by the assailants and Azory Gwanda who was kidnapped treacherously by the people who presented themselves so...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimeskikitishwa sana na kitendo cha mbunge wa CCM kutoonesha nidhamu kwa upande wa pili ambao ndo mrekebishaji wa mabaya yetu sisi chama Tawala, Tulio wengi hatuna busara lakin angalau tu act...
13 Reactions
30 Replies
3K Views
Leo Freeman Aikael Mbowe akiongozana na Godbless Lema Mwenyekiti anayemaliza muda wake kanda ya Kaskazini pamoja na Catherine Ruge walikuwa na mkutano wa hadhara Kijiji cha Nshara nyumbani kwao...
2 Reactions
8 Replies
453 Views
Kumekucha Muwe na weekend njema Pia soma Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya Spika Tulia amburuza Luhaga...
10 Reactions
43 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi...
7 Reactions
92 Replies
3K Views
Watu wamekata tamaa,hakuna Tena kuhoji na kuibana serikali katika masuala ya msingi Tena! Vijana wamemaliza vyuo tangu 2015, hakuna ajira !! Hata zile za walimu hasa wa Sanaa,vijana hatuhoji Tena...
5 Reactions
14 Replies
489 Views
Kutoka viunga vya ufipa gazeti la Mwangaza limedokeza kuwa Kada machachari wa Chadema anaweza kuuondoka chama hicho muda wowote kuanzia hivi sasa. Tundu Lissu aliondoka nchi mwisho mwa mwezi Juni...
4 Reactions
36 Replies
12K Views
mwananchi.co.tz Moshi kujenga bweni la watoto wa kiume kukabiliana na ukatili Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo akizungumzia ujenzi wa bweni la wavulana linalojengwa katika shule ya kutwa...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom