Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais Samia salaam! Ni furaha kuona umekuja kutembelea mkoa wetu wa Katavi. Furaha imetuelemea tuliposikia kwamba safari yako ni ya kichama zaidi na sio kiserikali ingawa ni vigumu kutofautisha...
2 Reactions
16 Replies
975 Views
Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini mh Godbless Lema ameonya 2025 hatakubali kuibiwa kura Lema amesema yeye atamuiba mwizi wa kura zake Angalizo limetolewa ukurasani X Nawatakia Dominica Njema 😄
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Kutoka Ukurasa wa Boniface Jacob Mtandao wa X: SIKU 280 TANGU APOTEE ADINANI HUSSEIN MBEZI MIKONONI MWA POLISI Maarufu kama (ADAM),umri wa miaka 32,mkazi wa Kinyerezi,mtaa wa Faru,Jimbo la...
8 Reactions
103 Replies
15K Views
Salaam, Shalom!! Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi. Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha...
4 Reactions
60 Replies
784 Views
Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni...
4 Reactions
49 Replies
954 Views
Mheshimiwa Rais ya JMT pole na majukumu ya ujenzi wa taifa letu pendwa. Kazi unayofanya wenye akili timamu wanaiona na tunakuhakikishia kuwa mwaka 2025 utakuwa wa neema kubwa sana kwa chama na...
3 Reactions
46 Replies
1K Views
Daraja la J.P.Magufuli (Kigongo-Busisi) ni la 1 kwa urefu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na Kati. Litaondoa tabu ya wananchi kutumia dakika 120 (masaa mawili) kusubiri kivuko hadi DAKIKA 4 tu...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka. Mwanahabari Ansbert Ngurumo...
46 Reactions
332 Replies
43K Views
Nauliza swali hili very technically Niko Tiyari niendelee kukaa uhamishoni huku lakin na on a waandishi wa habari na watu wanaopaswa kuuliza ni waoga kupitiliza Saa Nane kwa Maneno yake Mwenyewe...
29 Reactions
118 Replies
10K Views
Fatuma KArume: Jana kwenye mdahalo wa TLS nimewasikiliza wagombea wa Urais wote na nimewauliza: *Mnaelewa mnataka URAIS wa TLS ya Serikali lakini inayolipiwa na mawakili? *TLS haiwezi kutunga...
2 Reactions
13 Replies
958 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa mifuko ya saruji 300 akianza kutanguliza mifuko 150 kwa ajili ya ujenzi wa bweni (hosteli) litakalotumika kwa ajili ya Watoto wanaopata mafunzo ya...
9 Reactions
66 Replies
7K Views
Nafuatilia msiba wa Rais Ali Hassan Mwinyi. Watu wengi wamemzungumzia. Mengi yamesemwa juu yake. Lakini moja ambalo nimeliona limekosekana ni ule utambulisho wa Dkt.! Katika maisha yake yote ya...
13 Reactions
54 Replies
4K Views
Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri, Pili Nawasalimu Kwa jina la CCM , Tatu karibu sana Brother, nakutaja mara tatu Makonda, Makonda, Makonda. Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid...
12 Reactions
131 Replies
11K Views
"Nawapongeza jeshi la , polisi wanatekeleza mapendekezo ya tume, lakini wanatekeleza maelekezo yangu na kama mnavyoona pilikapilika za kisiasa zinaendelea, nchi imetulia kabisa. Polisi hongereni...
1 Reactions
1 Replies
310 Views
Ukiangalia kitu kinachoitwa Baraza la mawaziri watu ambao hadi Leo Kazi wangefutwa kuna Ile namba chafu ipo kwenye mshiko iliyoambia watu wahamie Burundi kuna namba nyingine inaitwa Nape hii...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Najivunia sana kijana Petro Magoti aliyeteuliwa siku za karibuni kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe. Natamani wakuu wote wa wilaya wangeiga namna na jinsi anavyotenda na kuwajibika katika nafasi...
2 Reactions
13 Replies
875 Views
Askofu mkuu wa Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amewatangazia Baraka Watoto, Chipukizi na Vijana wote wa Tanzania Askofu Dr Mtokambali amewatangazia Baraka za za Mungu Baba...
2 Reactions
5 Replies
351 Views
Chadema mnakwama wapi? Naangalia Channel Ten, ni habari za CCM tu! Tunakumbushana tu! Jamani publicity ni muhimu sana katika propaganda za Siasa. Piga ua chadema mnahitaji TV na Radio...
17 Reactions
66 Replies
2K Views
Naona taarifa la Jeshi la Police la Kenya likisema litashirikiana hadi na taasisi zingine za kiraia katika kuchunguza miili 11 ilio kutwa. Watashirikiana na Law Society of Kenya(LSK) hawa LSK ni...
3 Reactions
8 Replies
562 Views
Ninayasubiri maandamano ya chadema katika Mji wa Moshi na viunga vyake. Makamanda mtupe taarifa ili tuwe tayari.... Mandla.
2 Reactions
49 Replies
4K Views
Back
Top Bottom