Tundu Lissu aliposhambuliwa na blankons alitoka kifua mbele akailaani Sserikali akamlaani Hayati Magufuli bila kujua kuwa waliojifanya kuwa karibu naye ndio waliratibu hayo mashambulizi ya...
Kabla ya kuingia kwa kina kwenye uchambuzi huu, ni muhimu kueleza bayana kwamba japo maana, mbinu na ufanisi wa uchambuzi wa kiintelijensia ('intelligence analysis' kwa kimombo) kati ya mie...
Wataalam wa Masuala ya Ulinzi na Usalama pia wale Wanasheria nguli akina Pascal Mayalla na Jasusi Yeriko Nyerere naomba kuelimishwa
Nimekaa pale, ahsante 🐼
Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana
Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ?
Je ni kwamba alikuwa anawatunzia...
Ruzuku ya Chadema inaeleweka hata kulipa Mishahara ya Watumishi wa Makao makuu haitoshelezi
Sasa Fedha za kukaa na Chopa mwezi mzima wamezipata Wapi?
Ufafanuzi tafadhali 🐼
Wanabodi,
Angalizo: Great Minds hawadiscuss watu, wana discuss ideas na kutafuta solutions to the problems.
Hili sio bandiko la kumsema mtu, bali ni bandiko la somo linaloitwa psychoanalysis...
Serikali ya Tanzania imekuwa ikichukua mikopo tangu enzi katika kutimiza majukumu yake ya kimaendeleo na kila siku. Deni la Taifa limekuwa likikua huku Serikali ya awamu ya sita ikilifikisha...
Marais karibia wote waliopita majina yao yamepewa miondombinu mikubwa na vitu vingine muhimu katika nchi kasoro Rais Ali Hassan Mwinyi tu ndio amesahaulika. Huwa nasikia uwanja mmoja tu wa mpira...
Donald Trump ni Rais mstaafu wa USA
Bila shaka kuwa kwake bench kwa miaka hii minne amejifunza mengi kama observer na anajutia mengi ambayo aliyafanya au hakuyafanya.
Trust me akipita atakuwa...
Unajua hata KANU ya Kenya ilipokuwa inakufa, Daniel Arap Moi na Mamluki wake hawakujua, Lakini mpaka tunaandika hapa hata kaburi lake halijulikani lilipo (Nothing lasts longer), Bwana alitoa na...
Zikiwa zimepita siku 29 tangu kada wa Chadema, wilayani Handeni mkoani Tanga, Kombo Mbwana (29) adaiwe kupotea, hatimaye leo Julai 14, 2024 Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Zacharia Bernard...
Ukiangalia nchi ya Rwanda pamoja na udogo wake Mwaka 1994 ilipigana vita vya wenyewe kwa wenyewe nchi Kila kitu kiliharibika miundo mbinu yote iliharibiwa lakini ni miaka 30 sasa Rwanda ni nchi...
Kichwa Cha thread ndio Taarifa inayojadiliwa zaidi Africa Mashariki Kwa sasa
Gen Z wamejigawa kulingana na taaluma zao Ili kuilinda nchi yao ya asili waliyopewa na Mungu wa Mbinguni
Ahsanteni 🐼
Makonda ni very ambitious, ni ngumu sana kutosheka na cheo cha RC, ili kuwa na vyeo venye power kubwa zaidi kama Uwaziri njia ya uhakika ni kuwa mbunge.
2020 alikurupuka ila round hii itakuwa...
Recent research confirms manufacturing has been immensely important to the prosperity of nations, with over 70% of the income variations of 128 nations explained by differences in manufactured...
Ndugu wananchi wenzangu!
Kulipa kodi ni suala la kisheria. Lazima kila mwenye kipato alipe kodi.
Tusiishie hapo. Twende mbali zaidi. Tujitolee bure kwa ajili ya Taifa letu wenyewe. Kujitolea sio...
Salaam,Shalom!!
Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika.
Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc...
Umasikini sio sifa, umasikini sio jambo la kujivunia.
Siku zote tunapaswa kuwaongoza wananchi wetu ili wauchukie umasikini na wapende kuwa na maendeleo.
Nimesikitishwa sana na maneno aliyosema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.