Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu kuna swali Moja la Msingi sana, kila inaposemwa Vita ya Kagera utasikia. Mayunga, Msuguli,Tumainiel Kihwelu ,Nyilenda, hata kwa wale ambao walikuwa na kazi za kuratibu Kama Makamba, Kikwete...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Nilikuwa na Majukum huku North Korea nikapata Furaha Kupitia YouTube video mama amefafanua leo kuhusu 1.3T tulizokopa binafsi nimeona Kuna jambo ambalo watz tunaumizwa pasi...
27 Reactions
56 Replies
4K Views
SEKTA YA MAJI YABAINISHA DHAMIRA YA KUTUMIA MAJI YA ZIWA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI Mpwimbe-Katavi Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amesema Serikali imeshatangaza tenda kwa ajili ya kumpata...
1 Reactions
2 Replies
400 Views
Kodi kubwa na nyingi ndiyo zitatuzindua usingizini na kutufanya tufuatilie mipango na maendeleo ya nchi hatua kwa hatua. Hizo ndiyo zitawainua wananchi kupaza sauti na kuwa wakali kwa watendaji...
14 Reactions
70 Replies
5K Views
Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini? Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba? Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
  • Closed
Bila kupepesa macho na kupindisha maneno Mimi ni CCM damu damu ambaye nimeanza kuwa Mwana chama wengi wenu hamjazaliwa, tokea Niko Pugu Mwaka 1979 na baadae tukasoma kupewa kadi ya CCM siyo...
61 Reactions
107 Replies
11K Views
  • Closed
Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa...
12 Reactions
51 Replies
2K Views
Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni? Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Tuliopitwa na tukio hili pitia hapa ambapo mke alisimulia kupitia gazeti la Mwananchi mume wake Kombo alivyotekwa na watu wasiyojulikana - Jumanne Julai 2, 2024 ==== Handeni. “Niliamka asubuhi...
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Hawa Bakwata, wanaikomoa CCM au CUF? BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza rasmi kutoshiriki sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika nchi nzima Agosti, hadi ombi lao la...
2 Reactions
1K Replies
82K Views
Miongoni mwa majeshi ninayo ya heshima ni JWTZ lakini mbona baadhi ya askari wenu wanadhalilisha jeshi? wanazinguwa bar na sare za kazi ama unamwona mtu kalewa chakari ndani ya sare.Askari kama...
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Nilimsikia mkuu wa Wilaya huko akilalamika kuwa alipita kuangalia ujenzi wa chuo wakati kinajengwa akahoji mafundi mbalimbali waliokuwepo site kuanzia wa ujenzi, umeme, kuezeka, mafundi bomba...
5 Reactions
54 Replies
1K Views
Hizi ni za ndaaani sana waziri wa sukari amewambia watu wake wa karibu waziri wa zamani wa mambo ya misitu mapori na wanyama ndie mchawi mkuu anaepita huko na huko kutafuta nyaraka na kumkabidhi...
18 Reactions
83 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na...
0 Reactions
4 Replies
372 Views
PIA SOMA - Wakili Mwabukusi kumsindikiza mh Mpina atakapoenda Kuhojiwa na Kamati ya Bunge ya Maadili
2 Reactions
2 Replies
428 Views
Hii ndio Taarifa Muhimu kwa leo , kwamba ndugu Luqman Maloto tayari amefungua kesi dhidi ya Jamhuri ya Tanzania inayohusu kutekwa kwa watu , kuumizwa na kuuawa . Ametaja majina ya wahanga kadhaa...
45 Reactions
168 Replies
9K Views
Naendelea pia kutafakari
4 Reactions
5 Replies
328 Views
Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea...
3 Reactions
12 Replies
326 Views
Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika. Hawa wamachinga na...
10 Reactions
18 Replies
760 Views
Changamoto ya Elimu Bure huko Zambia imepelekea maelfu ya Watoto kuongezeka shule huku miundombinu ya kuwahudumia ikiwa kidogo na duni na kupelekea Msongamano mkubwa kwenye vyumba vya madarasa na...
2 Reactions
63 Replies
11K Views
Back
Top Bottom