They have the Numbers.....; Ukichukulia generations tofauti na kuziweka katika miaka waliyozaliwa utapata generations zifuatazo
The Greatest Generation – born 1901-1927. ...
The Silent Generation...
Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA .
Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri .
Muwe na siku njema
"Uadui wa Uislamu na Chadema unatokea wapi? na watu bila kuangalia na kufikiria chochote wanaipokea propaganda hii. Chadema siyo chama cha kikristo wala kiislaamu, Chadema ni chama cha kisiasa."...
Maifa yote duniani yanatakiwa kujifunza kutoka nchini kenya. Zile fursa zote pamoja na ukabila, shida kubwa ni ukosefu wa ajira na ufisadi uliokubuhu.
Unapoacha vijana wanamaliza shule hawana...
Ndugu Zangu Namba hazidanganyi, wanachama wameikacha hii channel yao.
Kunahitajika utafitu wa kina kujua kwanjni tunaanbiwa idadi ya wanachama wa ccm na hata wasio wanachama lakini wafuasi ni...
Jeshi la polisi limemkamata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Yahaya Nawanda (46) kwa tuhuma za kumwingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa chuo ambaye jina lake limehifadhiwa.
Akizungumza na...
Yaani nipo natafakari uzalendo wa huyo mtu aliyevujisha huo mkataba.
Nadhani serikali inamuwinda hatari, lakini ata mvujishaji inaonekana alikuwa big brain.
By the way huyu mvujishaji wa huu...
Rais kasema hakuna chanzo kingine Cha Fedha kuiwezesha Nchi kufanya maendeleo tofauti na tozo au kodi.
My Take: Naked truth na ujumbe umefika,kazi iendelee 👇👇...
Ni wapumbavu, hawana demokrasia, wanatudanganya sisi mazuzu TU. Trump walitaka kumuua kama vile Lissu walivyotaka kumuua hapa. Akili kichwani
https://youtu.be/PvyYcx0YKLo?si=c35U2vk62XKMcN1k
Kipindi Nyerere anachukua nchi kulikuwa na sheria ya kuweka watu kizuizini,sikumbuki ilifutwalini.
Yaani ni ile hali unachukuliwa ubatupwa selo hakuna kupelekwa mahakamani mpaka waone umekoma au...
Mfano mzuri ni kwa Paul Kagame wa Rwanda..
Hii ni awamu yake ya nne anashinda kwa kishindo cha kura za Wanyarwanda. katika chaguzi za awamu tatu mfulilizo zilizopita, Paul Kagame amekua akipata...
Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k
Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
HABARI ZA MUDA HUU WATANZANIA WENZANGU
NIMEKAA NA KUTAFAKARI SANA JUU YA MSATAKABARI WA HII NCHI YETU LAKINI SIONI MATUMAINI YEYOTE.
TUNAVYO VYOMBO VYA SERIKALI KAMA VILIVYO AINISHWA KATIKA...
Nakubaliana na Lema kwamba ipo siku yaja watoto wetu watayatandika fimbo makaburi yetu kwa sababu ya ujinga tulionao na ushabiki wa kijinga wakati tunawatengenezea watoto wetu hali mbaya sana...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Udumavu wa kifikra wa Vijana wa Tanzania umesababishwa na kutojua kiingereza
Mbowe amesema Ili Vijana wetu waendane na Dunia ya Leo ni lazima wafundishwe...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN amezungumzia utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kusisitiza kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye Kilimo mpe jukumu hilo Msomali.
Pia soma:Kamati kuu CCM...
MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI YATAJWA
MABADILIKO makubwa ya Baraza la Mawaziri yanatabiriwa kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wowote baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Bunge...
Sio maneno yangu. Ni mazungumzo ya raia wema waliokuwa wakijadili kuhusu utendaji kazi wa mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Paul Makonda.
Mmoja wa wananzengo hao alisema, "wenzetu wamepata mkuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.