Hakimu akielezea namna viongozi wa CCM walivyokuwa wakimpigia sim kumshinikiza kutumia mahakama kupambana vita vyao vya kisiasa.
---
Akifafanua jambo hilo Hakimu anasema:
Mimi nikiwa Ardhi pale...
Hali imewaendea vibaya vijana wawili Nape na January Makamba baada ya matokeo ya uchaguzi kuonyesha kumbe Askofu Gwajima na darasa la saba Musukuma wana nguvu na uungwaji mkono mkubwa ndani ya ccm...
Kuna matindo wa kitoto, woga, kibabe na kijinga sana sasa hivi unafanywa na ma DC, RC na Mawaziri wakati wakiongea na wananchi wanapozidiwa hoja au wanapotaka wananchi waogope utasikia...
Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa.
Prof. Elifas Tozo...
Kamati kuu ya chama cha mapinduzi imemtosa kijana mahili na chipukizi kwenye siasa Bwana Husein Bashe ambaye aligombea kura za maoni ccm kupitia jimbo la nzega na kumbwaga aliyekuwa mbunge wa...
Unaweza sema ni mapinduzi ya kiuchumi ama rekodi za kipekee za Rais Samia.
Kwa kipindi Cha miaka 4 ya mama,Samia ameweza kuongeza Bajeti ya Nchi kutoka Shilingi Trilioni 36 mwaka 2021/2022 Hadi...
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera kuwapeleka walimu 10 wa shule za msingi na sekondari Dubai kwa watakaofanikisha ufaulu mwakani, imeonekana kuwaamsha walimu kila mmoja akiahidi...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi wa vijijini waliofikishiwa huduma za mawasiliano kuipa thamani miradi hiyo kwa kuitumia vinginevyo...
Salaam, Shalom!!
I declare interest, Mimi ni mwalimu wa watoto. Sasa Huwa tunakaa tunajiuliza, walimu Hasa tunakosea wapi?
Tuseme kwamba labda Kuna watoto wengine hawapiti mikononi mwetu, hili...
Wewe uliyepata Cheo leo jiangalie sana, CCM wakiamua kukuhujumu hawashindwi, Unaambiwa Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania aliundiwa zengwe na wanaccm wenzake na kusingiziwa kwamba...
Mara nyingi Watu wanaohamia CCM kutoka Chadema huwaga na mbwembwe sana lakini kwa Mchungaji Msigwa imekuwa tofauti Kabisa
Yuko wapi Pastor?
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa...
Hawa wagombea sijui kama watatoboa! Wanagusa maslahi ya wakubwa wa dunia! Walikuwa wanaongea wenyewe ,kumbe hawajui kuna msikilizaji mwingine! Hatimaya zimevuja! Tumepona??
US presidential...
Walimu wamekua waaminifu Kwa serikali awamu zote,kila mwaka impact yake inaonekana Kwa matokeo mazuri yanayowabeba wanasiasa majukwaani kisiasa hasa Rais na waziri wa elim,Motisha ya kuwapeleka...
Tunaandaana kisaikolojia tu 2025 hautakuwa mwepesi kwa Wagombea Ubunge wa CCM
Nakumbuka kwenye mazishi ya Laigwanani Lowassa CCM iliwakilishwa na Hussein Bashe na Rostam Aziz waliotokea Vatican...
Kenya kwa mfano Chaguzi nyingi za kitaasisi zinasimamiwa na Chama Cha Wanasheria yaani LSK
Fikiria Chaguzi za Ndani za Chadema kwa mfano zinasimamiwa na Viongozi wa Chama, Kura wanahesabu hao hao...
Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA
Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu
hana...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu akiangalia mgawanyo wa majimbo yenye watu wengi zaidi anagundua kuwa haiwakilishi na idadi inayostahili ya wabunge. Wilaya ya Temeke mkoa wa...
Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, amesema katika jitihada za kuboresha uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi benki ya NMB imekubali kutoa mkopo kwa Serikali ambayo inamiliki kampuni ya UDART kwa 85%...
Wana Jf, Ukijiuliza haya maswali utapata picha wa nini kinachotokea na nini kitazidi kutokea kwa upande wa siasa za Tanzania
Ukiangalia makundi matatu kwenye jamii yenye umri wa kupiga kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.