MADAKTARI FANYENI KAZI KWA BIDII, UPENDO NA HURUMA: MBUNGE TAUHIDA
Madaktari wa Kituo cha Afya KVZ Mtoni wametakiwa kufanya kazi kwa bidii, upendo na huruma ili kujenga Imani na wateja wao...
Serikali katili kabisa ya CCM imechukua mkopo wa kibiashara (commercial loan) kutoka NMB ili kumnunulia mwekezaji (mwarabu kutoka U.A.E) mabasi 100 kwa ajili ya kuendesha mradi wa mwendokasi (BRT)...
Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa
Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa...
Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi.
Hata...
Wanabodi
Kati ya udhaifu mkubwa sana wa media zetu Tanzania, sii redio, TV na Magazeti, hatuna competent people wa kufanya news analysis, kazi kubwa media zetu ni kufanya reportage tuu ya...
My Take
Naunga mkono,Wabunge wa aina hii badala ya kuongea mambo ya msingi wao wanaongea mambo yasiyo na maana.
Samia ataitwa Kwa vitu vingapi? Kwa sababu jina la Daraja tayari Mojawapo ya Daraja...
Siku hizi Watoto wa Matajiri wako International School na hawa Watoto wa mama mboga wanasoma Kayumba school
Kwenye ushindani wa Ajira International School vs Kayumba school ni Sawa na Born Towns...
Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani .
Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania...
Ilikuwa balaa.Usalama wa Taifa waliingia na kuteka uhesabuji kura. Wakadai kuwa wametumwa kuilinda nchi na mipasuko. Lahaula! CCM imeshakuwa nchi tena? Sisi tuliokuwa na jukumu la kuhesabu kura...
Aiseee CCM ni wakongwe ndio maana wao wako busy mitaani kusajili wapiga kura wapya na wanachama wapya mitaani.
Lakini CHADEMA wamejikita kwenye mitandao tu kuangalia linalotrend wapinge au watoe...
Kauli ya NAPE Jana kuhusu wizi wa kura ilipaswa kuwa kwenye magazeti ya leo kama habari kuu kama ilivyotawala kwenye mitandao ya kijamii. Kutokana na kufinywa kwa uhuru wa habari, magazeti karibu...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema kulikoni kususia Uchaguzi ni Bora kuingia uchaguzini na kupambana Mwanzo mwisho
Mbowe amesema Wananchi wakiwa majasiri basi Chadema watashinda kwa Katiba...
Hakika Msigwa, naamini unafuatilia mitandao ya kijamii ili kujua mambo yanavyoendelea duniani. Nimeona na kusikia Nape akielezea mambo yanayofanywa na chama chako pendwa, CCM. Najua kwamba Roho wa...
Kwa sababu Peter Msigwa ni Mchungaji wa Dini ya Yesu Kristo basi ni vema Matendo yake yakapimwa kibiblia
Na Ili umfahamu vizuri lazima kwanza ujiulize je mchungaji Msigwa ameisaliti Chadema kama...
Kijana amkeni nchi inamalizwa na wazee tangu nimefuatilia siasa hao wazee naona wanastaafu na kurudi kazini chukulia mtu kama kinana, omben seifue n.k. hao ni baadhi tu nimewataja na nimewataja...
Kuna watu humu wanasema hamas/Palestina ni mashujaa.. Sidhani kama kuna sense katika usemi huo wakati watu wanateketea kama si binadamu. Why not release hostages and look for a new alternative to...
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh Mrisho Gambo a.k.a kiboko ya mafisadi, anampongeza Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara kwani sasa wanaume watapimwa jukwaani na si kwa mbeleko tena.
Bwana...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema maisha yamekuwa magumu sana kiasi kwamba kula Wali Nyama imekuwa ni jambo la kuvizia
Lema amesema Serikali iwaangalie kwa jicho la Tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.