Mambo yote anayokosoa msigwa katika chama alichotoka kukihama kwa mtu mwenye akili timamu sioni hoja za msingi kuwaaminisha watu kuwa chadema ni chama dhaifu ni chama gani kwa sasa hii utakipima...
RAIA wa China, Xie Xiamao maarufu Celine, amehukumiwa kulipa faini sh. milioni mbili au kwenda jela miaka mitano , baada ya kutiwa hatiani kwa shtaka la kufanya biashara ya kubadilisha fedha za...
Hii nchi imekuwa ya risk sana and no one cares! Watu wanaibiwa fedha, watu wanatapeliwa kila siku , serikali imekalia kutuma meseji "usikubali kutumanfedha kwa namba usiyo ijua" who cares vijijini...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema video inayosambaa ikimuonyesha akisema kuna mbinu nyingi za CCM kushinda uchaguzi ikiwamo zisizo halali imepotoshwa na...
KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA SONGWE YAKUBALI MWALIKO WA MBUNGE WA JIMBO LA MOMBA CONDESTER SICHALWE
Na. Mwandishi Wetu-Momba
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe Radwall...
Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani...
Bila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu!
Sheria inataka...
Salaam wakuu.
KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha"
Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala...
Ameandika Lema katika mtandao wa X:
"Jana wakati nakemea kauli yako katika mkutano wa hadhara Murriet Arusha dhidi ya kauli yako na mipango yenu ya KIPUMBAVU juu ya wizi na uporaji wa kura katika...
Salaam wanajenzi.
Natambua kuwa nchi yetu ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa (UN), umoja wa kikanda (SADC na EAC) ambapo kwa pamoja wameridhia kuongoza kwa kutumia katiba za nchi zao ambazo...
Ni ushauri tu kwa Katibu mkuu Dr Nchimbi na Katibu wa Uenezi CPA Makalla
Ni vema CCM tukawa na Msemaji maalumu hapa JF mwenye uzoefu wa kutosha na anayekijua Chama vizuri sana
Na kwa maoni...
Professa wa sheria Issa Shivji wa Tanzania anayeheshimiwa duniani na aliyefundisha na kutafiti na kuandika vitabu vingi vya masuala ya ardhi anawakumbusha Watanzania: nchi inauzwa kwa kasi na...
Kwa maneno aliyoyazungumza waziri wa habari Nape Nhauye wakati akiongea na wanaccm huko Bukoba mkoani Kagera ni ishara tosha nchi hii inaongozwa na wahuni. Waziri mzima tena mkuu wa wizara ya...
Katika kurekebisha mfumo wa elimu ninashauri Rais aanze na hili nililolisikia leo ambalo sijaamini ,kuwa kila Halmashauti nchini Tanzania ina wakuu wawili wa idara za elimu ( Elimu msingi na...
Yaani raia anamtukana Waziri mkongwe huku akitamba " kama kuna Polisi hapa waje wanikamate"
Na hawakumkamata yuko anadunda tu
Nimeshangaa sana kwa kweli 🐼
Badala ya kuona kuwa Nape amekosea kusema aliyosema, tumwone Nape kama mtu aliyesema ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Ni kweli kwamba matokeo ya kura hutegemea nani anahesabu kura na mara nyingi...
Kumekuwa na tabia iliyozoeleka ya mawaziri kuagiza makampuni na mashirika yaliyo chini ya wizara zao kutoa fedha kugharimia miradi mbalimbali bila utaratibu wa kisheria. Lakini kuna uwezekano...
Tunakushukuru Mama Samia kwa kukataa Jina lako kuwekwa kwenye Daraja, huu ni mwanzo mzuri sana, na kwa kweli nimeamini kwamba kumbe ni kweli huwa unasoma JF, Maana uko uzi wangu kabambe humu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.