Nilianza kupata mashaka urafiki wa Nape na Kinana siku ya uchaguzi wa wa wabunge wa Afrika Mashariki kwenye bunge lililoisha, uchaguzi ule tuliufanyia Karimujee, Nape akiwa Mwenezi na Kinana akiwa...
Mkurugenzi wa Taasisi ya GH Foundation, Godlisten Malissa tayari amefikishwa Mahakamani leo 18/07/2024, ambako anatarajiwa kusomewa Mashtaka kadhaa likiwemo la Uchochezi
Pia soma: Malisa aripoti...
Wakati fulani Mwenyekiti wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete aliwahi kusema kuwa ndani ya chama chao kuna uhasama kiasi kwamba viongozi wa chama hicho wakitoka kwenda msalani kama alikuwa na wenzake...
Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na Rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao...
Ningependa sana Waziri wa Utawala Bora wa Tanzania akakopa hii " Life Style" audit kutoka Kenya na kuwapima hawa Mawaziri wetu
Wakenya Sasa wanamtaka Rais Ruto kuagiza Taasisi ya kuzuia Rushwa...
MBUNGE NANCY NYALUSI: SERIKALI IMELETA BILIONI 1.8 YA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA KISING'A, IRINGA
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi amezungumza katika Kata ya Kising'a...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla amewataka Wananchi wanaopeleka kero kwa Viongozi wa CCM wanaoendelea na ziara kwenye Mikoa mbalimbali, kupeleka kero za ukweli badala ya...
Ndugu mwanajf, kwenye mada hii unakaribishwa kuelezea kitu chochote unachoona hukitaki kama ambavyo mimi sitaki haya:
1.Sitaki Serikali inayosahau ahadi zake kwa wanachi kama; Maisha bora kwa...
''Serikali wameomba tuwape muda ni sawa, lakini kwa muda ambao nimekadiria ili serikali iweze kufanya maamuzi, hili suala kweli wanataka kulichambua walione likoje nawapa miezi minne (4) huu ukiwa...
Hivi ndivyo alivyoandika kwa ufupi
Toa Maoni yako .
"President Ali Hassan Mwinyi, who died on Thursday & was laid to rest yesterday was a kindly man. When I was gunned down in Sep. '17 &...
MAELEZO MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) AKIWASILISHA USHAHIDI WA VIELELEZO KWA SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. DKT. TULIA ACKSON (MB) KUHUSU...
Mkurugenzi wa Halmshauri ya Ifakara ameandikia Barua Walimu wa shule kutaka walipe mchango wa kufanikisha shughuli za Mwenge. TAMISEMI mmeagiza Halmshauri kufanya hivi? Huo Mwenge hauna bajeti...
Amekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki.
Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni...
Wanabodi,
Angalizo. Neno dikiteta sio neno baya kama lengo la matumizi yake ni lengo jema. Tukisema Rais Magufuli ni dikiteta, hatumaanishi ni dikiteta katili kama Hitler, Musolini, au Iddi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Kaengesa – Chitete (km 6.4) sehemu ya Kaengesa - Seminari (km 3.4) kwa kiwango cha...
Kuna mambo Mawili muhimu sana,
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi...
Wanaoamini katika Biblia kwamba ni kitabu kitakatifu hakuna sehemu inasisitiza kuwa dini ya mtu kwa maana ya haya madhehebu itamfikisha mbingu bali wale wote wenye moyo safi na wacha Mungu
Na...
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana...
Freeman Mbowe licha ya chama kushindwa kila kitu kikiwa mikononi mwake, wabunge kukimbia kutoka 200 hadi kubaki mmoja, chama kushindwa kujenga ofisi yake kwa miaka 30, kulamba asali na kubadili...
AMOSI GABRIEL MAKALA, Mwenezi wa CCM Taifa umekuwa ukitoa sana matamko kuhusu mambo yanayofanywa na wabunge tumekusikia ulitoa tamko suala la Mbunge wa CCM aliyesema boom lipunguzwe kwa wanachuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.