Suala la watu kukamatwa na Kutoeka (a.k.a kukamatwa na wasijulikana) limekuwa la kawaida miongoni mwetu. Kwa yanayoendelea nchini huwezi kujua kama mtu kakamatwa na polisi au majambazi coz style...
Wajumbe, naomba niwathibishie kwamba maneno aliyoyasema Waziri Nape Nnauye kuhusu ushindi katika uchaguzi siyo mzahaa. Hatanii, Nape ni jambazi la kura.
Katika uchaguzi wa 2020 aliyekuwa mgombea...
Ujumbe wake huu hapa
---
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema...
Wakuu,
Mwaka huu 2024 tutafanya uchaguzi wa serikali za mtaa na mwakani 2025 tutafanya uchaguzi Mkuu ambapo tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais.
Kwa kuzingatia chaguzi za nyuma mpaka...
1. Video ya kwanza Rais Samia akihimiza wafanyabiashara watoe kodi kwa moyo kwani kodi haziingii mifukoni mwa Viongozi. Hapa anamaanisha serikali iko vizuri katika kubana matumizi.
Rais katika...
Mutatis mutandis: Lat. With the necessary changes in points of detail, meaning that matters or things are generally the same, but to be altered when necessary as to names, offices, and the like...
LEO: ccm yaendelea kufumuliwa na Mbunge Msigwa
akifungua tawi la kihesa.
Msigwa akiwahutubia wakazi wa kihesa maeneo ya semtema jioni ya leo
akina mama wakipanga foleni kuchukua kadi...
USALAMA WA MTANDAO NI MUHIMU KWA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAHUNDI
Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam
NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca...
Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amememtaka Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bw Abdulrahman Kinana kutokusubiri muda wa siku 21 alizozitoa Wakili wake kumfikisha...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
MALENGO
Kurahisisha maisha ya watu katika uzalishaji na shughuli zao za kila siku.
Kukuza uwezo wa mtu mmoja mmoja kuchangia nguvu, maarifa, ujuzi na kipaji...
Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa zamani wa Iringa mjini na waziri kivuli wa maliasili na utalii ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Nyasa amesema...
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda ametoa tahadhari kwa wafanyabishara na walipa kodi wote kwa ujumla wake kutambua kuwa hakuna ofisa yeyote wa mamlaka hiyo mwenye...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amesema lengo la Serikali kutoa ruzuku ya ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini ni kuwaunganisha na kuwasogeza...
Mkoa wa Katavi ni miongoni mwa mikoa minne mipya (Katavi, jombe, Simiyu na Geita) iliyoamuliwa kuanzishwa na serikali kwa lengo la kusogeza huduma za ki- utawala na Ki-uchumi kwa wananchi.
Katavi...
Kwa ukubwa wa Mchungaji Msigwa alitakiwa awe kwenye msafara wa Mwenyekiti wa CCM Taifa Mpendwa Wetu Mh Rais Samia huko Sumbawanga kwa akina Lucas Choicevariable
Sijajua kwanini kabakia Dar chini...
Wakuu
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi la viongozi kutoa kauli za kutisha, kuogofya na kutia mashaka lakini ajabu ni kwamba hawachukuliwi hatua si kwenye vyama vyao wala Serikali wanayoiwakilisha...
JAMHURI YA MUUNGANO WA KOREA TANZANIA DOLA BILIONI MOJA..
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Korea kwa kutenga kiasi cha dola za Marekani...
Kamati ya maboresho ya Soko la Simu 2000 chini ya mwenyekiti wake pamoja na wafanyabiashara na wadau wa stendi wa Simu 2000 wameongea na waandishi wa habari leo Julai 17, 2024 kuhusu yaliyojiri...
Amos Makalla Katibu Mwenezi wa CCM, Ambaye ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA (siyo Vijana Jazz wala TOT), amebuni mbinu mpya ya kuandikwa na magazeti uchwara ili avume.
Sasa hivi...
Rais Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kuhusu mtoto mwenye ulemavu wa mguu kufanyiwa mchakato wa kupewa mguu wa bandia kwa gharama ya Ofisi ya Rais.
Ametoa maelekezo hayo kwa Mkurugenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.