Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bwana Shedrack Salmin Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF kuanzia tarehe 03 Julai...
Kama Mh. Samia Suluhu Hassan aliwahi kutamka hadharani kuwa hata watanzania wakipigia kura vyama vya upinzani CCM ndio itaunda serikali, watanzania tutegemee nini katika chaguzi zijazo?
Na katika...
Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.
Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji...
"Kuna madini kwenye baadhi ya hifadhi zetu,Kule Serengeti na kwingine kuna aina za madini zimegundulika. Lakini TANAPA waligoma kabisa yasichimbwe ili kutunza uhifadhi. Lakini nataka sasa...
Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa...
Rais Samia tunakupenda, tunakuheshimu, wewe ndio Dereva unayeendesha gari la Tanzania, sijui kama kweli hujui hila zinazoendelea ndani ya Serikali yako.
Wakati wa Magufuli makumi ya watu...
Wananchi tuko kwenye mtanziko kilichopo hasa ni nini. Twende na kipi, Serikali imetumia pesa nyingi kutunga sheria mpya ya uchaguzi, mikutano ya Mabaraza ya vyama na kadhalika. Lakini sasa...
Mimi huwa najiuliza sana kwanini hawa CHADEMA kila ikifika uchaguzi ni kuiponda Serikali halafu baadae kura zikishahesabiwa wanalialia wameibiwa. Hivi wana akili timamu kweli kila siku mnalia...
Asubuhi ya Leo majira ya saa 5 hivi nimepishana na msafara wa Rais ukitokea mkoa wa Rukwa kuelekea Songwe. Binafsi kama Mwandishi wa habari za mazingira naelekea mwambao wa ziwa Tanganyika kikazi...
Habari wadau,
Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya uwezekano wa laini za simu tunazotumia katika simu zetu kutumika kukusanya fedha zinazoweza kugharamia matibabu ya karibu kila mtanzania na pia...
Anaandika
MOSES MACHALI
Ni Askofu gani Mtenda haki anayeweza kuwa mkosoaji wa upande mmoja tu? Ni Askofu gani aliyesimama kiimani anayeishi na kuhubiri kanisani huku akitengeneza vitu...
CHADEMA na kale kakundi ka @MariaSTsehai wanapush hushtag #KataaEACOP kwa lengo la kudhoofisha ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda mpaka bandari ya Tanga. Acheni kutumika kiboya...
Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele.
Watanzania walioaminishwa na...
Sio siri huku tunako ishi mitaa ya Goba maji yamekuwa bidhaa adimu kiasi kwamba unalazimika kusubiria maji utadhani maji ya msaada.
Hali hii inanikera sana huwa najiuliza hivi kazi ya chama...
Wanabodi,
Huu ni uzi elimishi kuhusu aina tatu za kuomba msamaha, kama zilivyo aina tatu za ndoa.
Lengo la kutoa elimu hii ni kulinda heshima ya fani ya watu ambayo imetakwa kudhalilishwa kwa...
Kila kitu kichachofanywa na wanasiasa mara nyingi huwa kinakuwa na sababu nyuma yake, tayari kinakuwa kishapigiwa hesabu kuona nini faida yake na hasara yake.
Kauli au taarifa za kuwepo kwa...
Bila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi...
Ukisikia dharau, hii imepita kiwango cha kawaida cha dharau.
Rais Samia na 4R zake Kila anakopita anahimiza Wananchi kujitokeza kuboresha Taarifa zao kwenye daftari la Wapiga Kura na àmbao hawana...
Mara nyingi Nape akilewa huwa anasema " sisi ndo tunamweka Rais na tukiamua tunamwondoa, sisi ndo CCM."
Haya maneno watu wake wa karibu wengi pia watakuambia. Ni mtu anayependa sifa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.