Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana.
1. Fidel Castro- miaka 46, Communist...
Yaani ukitofautiana kidogo tu na Mbowe uje nje. Haya yametokea baada ya kuwaengua wabunge wote wa CUF na James Mbatia katika baraza la mawaziri vivuli bungeni yeye kama mnadhimu mkuu wa kambi...
Gen Z tupo?
Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli?
Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini...
Katika kudumisha uhusiano wa Kimataifa wanachama wa Chama cha Mapinduzi tawi la Mazimbu wanakusudia kufanya maandamano ya kumpongeza mgombea wa chama rafiki ANC Kwa kupata kuchaguliwa Tena...
Kwanza niseme nakubali kabisa Rais anafanya kazi kwa ratiba alizopangiwa na wasaidizi wake. Siku 4 zilizopita Mh. Samia Suluhu Hassan katika ziara yake mkoani Katavi ameonekana katika msafara wake...
Vijana wa miaka 20s wako CitizenTV muda huu wakijadili masuala yanayohusu nchi yao, na wanafanya hivyo kwa weledi mkubwa sana.
Vijana wa miaka 20s wa Tanzania hawajui chochote na wala hawaelewi...
Kile Kilio Cha kusema Elimu ya Tanznaia haimsaidii mtoto kimemalizwa na kuzikwa rasmi na Serikali ya Rais Samia.
Ikumbukwe Samia ameasisi Mageuzi ya kuandika upya Kwa sera ya Elimu ambapo Sasa...
Usipange kukosa mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini tarehe 20 July
Mengi ya Chadema usiyoyajua yatawekwa hadharani siku hiyo
Ahsanteni Sana 😂😂
Kwako Mzee Mgaya
Rejea: Kuelekea 2025 - Mbowe: Nitajiuzulu siasa 2025 endapo Chama cha Mapinduzi (CCM) kitashinda angalau kiti kimoja tu cha jimbo mkoani Kilimanjaro
———
Katibu wa NEC - Itikadi, Uenezi na...
Miongoni mwa vijana wachache majasiri, ambao Tanzania imebahatika kuwa nao, ni huyu Mwaipaya, Huyu alimpiga Spana Jiwe hadi Jiwe akamtumia Watekaji, Jiwe alikuwa muoga sana! Kijana mdogo kama...
Kama hii line up ikitiki, nadhani Kisarawe itatosha kutengeneza content wanazopenda watanzania, ila mpaka karata za kisiasa ziende sawa, wote tuseme ameen.
Sasa ole wenu watumishi msiojua kubana...
Habari Wana JamiiForums.
Kauli tata inayodharau wapiga kura na mchakato wa kupiga kura,uchaguzi na demokrasia naona una uhusiano mkubwa na matokeo ya Mitihani.
Nilitembelea Data base ya Baraza...
Ni kitu gani ambacho bado Mbowe hajakamilisha kinacho muweka kwenye kiti cha uenyekiti hadi sasa? Naomba nitajiwe.
Upi mbadala wa Mbowe katika kiti cha uenyekiti wa chama?
Uenyekiti wa Mbowe wa...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe ameanza Ziara ya Siku 4 katika Majimbo 30 ya Kanda ya Kaskazini akitumia Usafiri wa helicopter
Tuzidi kumuombea
Dominica njema 😄
Nadhani kuna haja ya Mahakama kufanya tathimini katika hili jambo. Majaji wengi hawaandiki hukumu kwa mkono wao na fikra zao binafsi, wanaandikiwa hukumu!
Ukifanikiwa kumjua anayemuandikia hukumu...
Natoa tu tahadhari kwa Wanasiasa wetu waliozoea Kuhojiwa Clouds na Wasafi kwamba Wasikariri mambo yamebadilika
Ukialikwa na Salim Kikeke basi ni lazima ujipange sawa sawa
Huyu ananikumbusha Adam...
Mbowe amesema Wananchi wa Kaskazini walisomesha Watoto wao kwa gharama kubwa Ili waje wasimamie Rasilimali za Taifa lakini cha kushangaza Uwanja wa KIA wamepewa Waarabu
Mbowe amelalamika sana...
Salaam, Shalom!!
Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.