Wadau nadhani mmemjua vizuri sasa Mpina. Siku zote anastrugle kuungusha utawala wa samia. Kumbe ile skendo yake na bashe ni ili ahakikishe sukari inaadimika mtaani halafu wananchi wailaumu...
Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji...
Nimesikitishwa sana na kauli iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu iliyo chini ya Jaji anayeheshimika kuhusu hukumu ya RC wa Arusha na kwamba mpaka dakika hii hujachukua hatua yeyote.
Huku ni...
https://www.youtube.com/live/_FwGHaI_fuI?feature=shared
Rais Samia ameilekeza wizara ya utamaduni, sana ana michezo kukamilisha mwongozo wa utambuzi wa machifu na viongozi wa kimila katika wilaya...
Naombea iwe ndoto tu tena ya mchana isiyokuwa na uhalisia wowote
Ndoto hii naikemea kwa nguvu zote, maana! Mmh! Iwapo itakuwa kweli mbona itakuwa mwisho wa nchi hii kuwa na matumaini yoyote ya...
Wanasiasa Peter Msigwa na Upendo Peneza wamehamia CCM hivi karibuni kutoka CHADEMA chama kulichowalea na kuwakuza hadi kufikia ngazi ya ubunge na kuwa miongoni mwa wanasiasa maarufu hapa nchini...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba...
Nchi inapoweka Rehani Rasilimali zake zote Ndio tunaiita Mufilisi kwa sababu inakuwa haikopesheki tena.
Kuchelewa kulipa makandarasi na Wazabuni wengine hilo ni jambo la kawaida sana Ndio sababu...
Hayawi Hayawi yamekua sasa!
SGR imeanza kazi na inaenda kufunguka zaidi.
wapo baadhi ya Watanzania walishirikiana na majirani zetu kuhujumu mradi huu muhimu.
Wahujumu hawa walitumia mbinu zote...
Waziri mstaafu wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dr Kigwangala amesema Gen Z wa Tanzania ni wa hovyo sana
Kigwangalla amelalamika Ukurasani X
Mlale Unono 😀🔥
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amehitimisha ziara ya Kiserikali katika kata 21 za Manispaa hiyo ambapo amezungumza na kutatua...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndg Shamsa Mohammed ameongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu na kujadili Mambo Makuu yafuatayo:
1. Utekelezaji wa Sera za CCM: Halmashauri Kuu...
Salaam, shalom!!
Ikiwa lango la Nchi, lililo na makusanyo makubwa kuliko yote, tumemkabidhi mgeni atukadirie mapato baada ya Kutoa gharama zake za uendesgaji na ukusanyaji tutakwepaje kuwa...
Sera ya nchi yetu kwa wakulima ni KUWAWEZESHA ili wainuke kiuchumi.
Wakulima wa Kilombero wamelima miwa yao, wamevuna miwa yao na hwana pa kuuzia. Viwanda vya sukari vimejaza sukari matani na...
Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche
Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari
Muktasari:
Baada ya kushutumiwa kwa...
Nape Nnauye
Huko duniani Huduma mbalimbali zikiwemo za Usafiri wa Ndege na Treni, Huduma za kibenki, Upasuaji hospitalini, nk zimesimama kutokana na matatizo ya teknolojia.
Kwa sababu Tanzania...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM -Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewaomba Watanzania kutokujitokeza kwenye maandamano yanayoitishwa na upinzani kwani maandamano hayo hayatabadilisha...
Ndugu zangu Watanzania,
Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu...
Wakati watu wanahimizwa kusoma tangu utotoni na kujiendeleza hata wakiwa makazini, ila ukweli ni kwamba, kusoma sana na kupata ma-degree mengi, sometimes huwa hakuna maana sana na hii ni kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.