Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Leo nimeona wahandisi wamempa Rais helikopta ya kampeni yaani wamemnunulia means ni yake hata akimaliza urais anaweza ondoka nayo, hongereni sana ma engineer. Rais si kila jambo lazima...
3 Reactions
5 Replies
385 Views
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Kego Masha atangaza Kujivua Uanachama wa CHADEMA. - Adai upinzani hauna nia ya kutafuta fursa ya kuunda Serikali
34 Reactions
671 Replies
96K Views
Katika Mkutano wa Msigwa unaofanyika leo Julai 20, 2024 Iringa Mjini Lusinde amesema; "CCM na vyama vya upinzani ni kama babu na mjuu, hakuna ugomvi kati yao. "Mjukuu anaweza kucheka anavyotaka...
2 Reactions
4 Replies
273 Views
Mwanasiasa mkongwe aliyehamia kwenye Chama chetu CCM kutoka CHADEMA hatumwoni kama mwenzetu. Kila akiongea namwona kama hajajua miiko, mtoto unajaa mate, anaropoka tu. Alivokuwa CHADEMA alikuwa...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa, kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga kura wapya 5,586,433 wataandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga...
1 Reactions
7 Replies
296 Views
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni Mchungaji Peter Msigwa amemshauri Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji...
11 Reactions
163 Replies
5K Views
Natoa tu angalizo Kwa Jamii ya Wanasiasa na Wafanyabiashara kwamba Kafara ya Damu ya Binadamu ni machukizo mbele ya Mungu wa Mbinguni. Baba wa Imani alishabatilisha Kafara ya Damu ya Binadamu kwa...
3 Reactions
8 Replies
720 Views
Hii sheria ilitungwa na Bunge mwaka 1969 na kifungu cha pili cha sheria hii kilizuia na kukataza Machifu kufanya shughuli zozote za kiutawala. Sasa leo nimesikia mkuu wa nchi akiagiza machifu...
1 Reactions
10 Replies
563 Views
Kutoka kwenye kinywa chake, siyo mimi 1. Ametembezwa mikoa 10 2. Muda wote alikuwa amefungwa kitambaa cheusi machoni for all 29 days 3. Ameteswa kishenzi 4. Amevunjwa vidole 5. Mlo mmoja per day...
15 Reactions
82 Replies
5K Views
Hilo Ndio ombi langu kwenu Wapendwa Bila CCM imara Nchi yetu itayumba Nawatakia Dominica njema 😄
2 Reactions
10 Replies
417 Views
Kwa matamshi ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape aliyoyatoa majuzi huko Kagera, kuhusu mbinu anazozijua yeye ya namna ya kupata ushindi Kwenye chaguzi zetu na mbinu hizo...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari wana-JF Kama mnakumbukumbu vizuri wakati wa awamu ya Magufuli kipindi cha mwanzoni kulikuwa na uhuru mkubwa sana wa kuongea na hata vyama vya upinzani vikawa vinafanya shughuli za mikutano...
12 Reactions
108 Replies
3K Views
Mwaka 1995 Mwalimu Nyerere akisimama na kuhutubia mkutano mkuu wa kuteua Mgombea Wa CCM bara katika nafasi ya Urais . Alizisitiza "Watanzania wanataka mabadiliko , wasipo yapata ndani ya CCM...
4 Reactions
9 Replies
523 Views
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi mkuu wa 2025 watanzania wameamua kwa kauli moja kuja na kaulimbiu ya kishujaa ya "TANZANIA NI CCM NA CCM NI TANZANIA", ni...
1 Reactions
3 Replies
239 Views
Mm binafsi sipendezwi na huyu peter msigwa,hasa baada ya kuhama chama,swala la kuhama chama ni haki yake, siwezi kukataa ila tatizo linakuja swala la kuanza kutoa siri za chama, Wala halipendezi...
2 Reactions
4 Replies
571 Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Machifu wa Tanzania. 🗓️ 20 Julai, 2024. 📍 Ikulu Chamwino.
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Kamati ya maadili ya mawakili wa Tanganyika[Zanzibar hawahusiki] imekuwa sumu, mwiba, jehanamu kwa mawakili. Kamati badala ya kulinda, kutetea na kurekebisha mawakili yenyewe imekuwa kichaka cha...
0 Reactions
3 Replies
401 Views
Haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika uongozi wa nchi. Hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru...
2 Reactions
128 Replies
2K Views
mwenye ufahamu anisaidie?
6 Reactions
72 Replies
2K Views
Back
Top Bottom