Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya...
Leo katika amka na BBC mmiliki wa ndege za Fastjet Masha ambaye ni kada wa CCM kwa sasa amelia na mamlaka za anga Tanzania kwa kunyimwa vibali vya kuingiza ndege mpya.
Pamoja na katazo hilo...
Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda.
Naomba nimpe Rais ushauri...
Hawa ni lile kundi la 4% linalotumiwa na 1% kuwakandamiza 5% wasithubutu kuwaamsha 90% waliolala usingizi wa pono..ili wasijue haki zao nchi iendelee kuneemesha kundi la wachache.
a) Wahandisi...
CCM na wana-Hai wameshafanya maamuzi, Hai mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Fuya .
Saashisha ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na...
Imani za kishirikina zimekuwepo sana kwenye chaguzi zetu kuu. Sana.
Huu ni mwaka uelekeo wa uchaguzi Mkuu 2025. Kumekuwa na wimbi kubwa la watoto kuibwa na kuuawa. Mara nyingi sana tunasoma...
Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku...
Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana.
Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi...
Huyu Dkt Hamis Kigwangala ni miongoni mwawatu muhimu sana katika Taifa hili.
Vijana hawa walisaidia kurejeshwa Serikalini zaidi ya TZS 300 pesa zilizochotwa toka Akaunti ya Tegeta Escrow...
Salaam, Shalom!!
Hongera kwa kuaminiwa na chama chako kwa nafasi ya Katibu Mkuu.
Kuna vurugu na wimbi linaendelea la watu ndani ya chama chako kuanza compaign mapema Kwa GIA ya kuchangishana na...
Tito Magoti
SUMMARY: Ni kuhusu vilio vya haki dhidi ya mfumo wa haki jinai nchini.
Mheshimiwa Rais, licha ya uwepo wa misingi ya kitaasisi na kisheria katika uwanda wa haki jinai, bado kuna...
Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa...
Naomba niwaase viongozi na wafuasi wa chadema wote kwamba; sisi nchi yetu ya Tanzania ni nchi ya aman umoja na mshikamano kamwe sisi Kama raia wakawaida hatutaruhusu vurugu ya aina yoyote ile...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka machifu nchini kote kujenga mvuto ili watu wakimbilie kwao wanapokuwa na migogoro badala ya kila kesi kupelekwa polisi na kisha mahakamani.
Amesema ili jamii...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Uhamiaji Nchini kutembelea na kufanya ukaguzi kwenye vituo vya uandikishaji na uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga kura ili kuwabaini Watu...
Salaam, shalom!!
Kwa mara ya kwanza, kuna viongozi wapo madarakani, KAZI waliyopewa kuikamilisha, Bado hawajaimaliza,lakini ghafula wamegeuka na kuanza kujitangaza wazi wazi Kwa nafasi ya VITI...
"Uchambuzi huu Kwa hisani ya Boniyai"
Mwaka huu 2024 pekee yake binafsi nime’ ripoti taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa.
Hawa ni baadhi tu ya watu waliopotea kwa kutekwa...
Tanzania ni hodari kwa propaganda.
Tumetoka juzi kwenye wimbi la maandamano ya wafanyabiashara. Tupo kwenye wimbi la watu kupotea, ghafla tunasikia mgogoro wa Yanga eti magoma ana kesi ya kuondoa...
Mpango mkakati wa CHADEMA nadhani umejikita katika kipindi kifupi na ndiyo mkakati ambao umetumiwa na vyama mfu vya upinzani kuindoa CCM Madarakani. Nilishangaa sana CHADEMA kumpokea LOWASA na...
Mwanasiasa maarufu siku zote huacha alama kama Simba aliye nyikani
Mh Mbowe hata akistaafu Siasa kesho tutamkumbuka kwa Siasa za Chopa na kubadili Gia Angani 😄
Ahsanteni Sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.