Wakili Boniface Mwabukusi amefungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya Chama cha Tanganyika Law Society (TLS) kumuengua kugombea Urais wa TLS.
Pia soma: Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
Riba ya mikopo ya mabenki imepanda kwa sababu ya ukosefu wa shilingi,wateja wa mikopo wamelalamika kukubaliana riba ya 17% lakini wamepewa riba ya 20% wakipewa sababu ya ukosefu wa shilingi.
Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970.
Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani...
Wanabodi,
Katika zoezi la kusaka vyeti bandia, kuna watu wanashindwa kutofautisha kati ya vyeti bandia na majina bandia, Vyeti vya Mwigulu Nchemba sio vyeti bandia, yaani vyeti fake, ni vyeti...
Inasikitisha sana kuona Mama zetu wanadhalilika hospitali za Umma. Yaan huduma mbovu na hakuna anayejali kwa sasa. Wakati ni sasa kuwapa utu na huduma stahiki Mama zetu hawa.
NB: Ama hamna pesa...
Wanabodi,
Hii ni tetesi ya habari mbaya kwa wapenzi wa kipenzi cha watu, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kuwa pamoja na Mhe. Lowassa kuwa ndie mtu anayekubalika sana kuliko mtu mwingine...
Mheshimiwa Mwenyekiti Freeman Aikael Mbowe na Makamu mwenyekiti Tundu Antipas Lissu nianze kwa kusema ninawaheshimu sana.
Mmepigwa mawe mengi sana ya maneno ya kisiasa, mmevumilia mengi sana...
Hii nchi iko hapa ilipo kwa sababu ya Wakusanya kodi wa hii nchi, chini ya CCM. hawa ndio wanafanya maisha yawe magumu sana.
Hawa wakusanya kodi ndio wanao dalalia nchi kwa Waarabu na Wazungu na...
Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT.
A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be...
Ni angalizo tu sisi tunaoangalia kwa jicho la rohoni tunaiona mbali sana
Uchaguzi ujao kila tutakapojikwaa tutategemea Ushauri na Uzoefu wa mstaafu mmoja tu aliyebaki Mzee wetu mpendwa JK...
Baada ya kuona matamanio ya baadhi ya watanzania juu ya kuwa na kizazi cha Gen Z kama cha Kenya, nimejikuta najiuliza ni kwa nini tuwatamani vijana wa kenya wakati na sisi tuna vijana wetu wasomi...
Tanzania ndiyo nchi pekee duniani inayotawaliwa na marais wawili kwa wakati mmoja, mabunge mawili, nyimbo za taifa mbili, majaji wakuu wawili, katiba mbili, bendera mbili, maspika wawili, makamu...
Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa...
Aliyekuwa Mwanachama, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge kwa kipindi cha miaka 10 kupitia chama hicho ambaye hivi...
Dar es Salaam. Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu aliyekuwa akishughulikia Walemavu, Dkt. Abdallah Possi amemuandikia Spika wa Bunge barua ya kujiuzulu.
Uamuzi huo wa Dkt. Possi umekuja siku tatu...
Salaam, Shalom!
Ziku chache zilizopita, palitokea taarifa njema za uwajibikaji Kwa waziri wa Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuadimika Kwa Pombe visiwani humo...
Tukiacha mapungufu mengine Rais Samia amefanya kazi kubwa kwenye Kilimo cha Tanzania.
Kwa taarifa tu, Hakuna Rais aliwahi kutoa ruzuku ya mbole kwa wakulima mill3.67 kwa mwaka mmoja tangu nchi...
Asalaam ndugu zangu!!!
Ifahamike;Mimi ni Mwana CHADEMA tena sio Mwana CHADEMA wa kuhamia lahasha!!! Bali ni Mwana CHADEMA wa kuzaliwa…….nimezaliwa nikamkuta mzazi wangu mmoja ni Mwana...
miradi ya maji, barabara, vituo vya afya, zahanati na hospitali; vyumba vya madarasa, maabara, ofisi na nyumba za watumishi wa umma, masoko ya kisasa na vituo vya polisi, miradi ya umeme, kilimo...
Salaam, Shalom!!
1. Umeajiriwa sehemu Fulani na hupendi kukaripiwa au kufokewa juu ya mapungufu Yako kazini, unafokewa Kwa kuchelewa kazini, unafokewa Kwa upotevu na matumizi mabaya ya pesa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.