Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli! Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo. Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani? Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli. Me ni mwana CCM ili...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Tangu Jamuary Makamba awe Waziri wa Mambo ya Nje, hakika ameonyesha umahiri wake wa kuwapika viongozi. Humphrey Polepole ninayemuona, sio yule wa kipindi cha miaka kadhaa nyuma. Miaka kadhaa...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Mbunge wa Jimbo la Segerea, Bonnah Kamoli akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 leo Mei, 6, 2024 amesema ikiwa suala la fidia ya wananchi wa Kipunguni...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
WanaCCM walishageuza hili taifa kuwa la kisulutani. Nape, Riziwani na January Makamba wamerithishwa madaraka. Hii iko wazi kabisa. Mzee Lawi Sijaona Ngwanda ni mmoja wa waasisi wa taifa letu...
1 Reactions
1 Replies
858 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu huu ndiyo ukweli na lazima uwekwe wazi na msidai kuwa namfanyia kampeni Mheshimiwa January Makamba ndiye Waziri anayeimudu lugha ya Kiingereza kwa weledi...
4 Reactions
84 Replies
4K Views
Prof. Ndalichako elimu yake haina mashaka hata kidogo, wengi wao tumemjuwa tangu akiwa kwenye elimu nadhani vijana wengi Tanzania hii vyeti vyao vina sahihi yake, huyo mama hawezi kuwa chawa WA...
18 Reactions
74 Replies
6K Views
Mbunge wa Bukoba wa Mjini na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwa anaongea na wakazi wa jimbo wakati akikabidhi mkataba wa ujenzi wa Standi Kuu ya Mabasi hilo...
10 Reactions
126 Replies
13K Views
KAULI ya Waziri wa Mambo ya Nje, Mheshimiwa January Makamba aliyoitoa jana Ikulu ya Magogoni kwamba hata kama hatumkubali Samia ni wetu tu ina maana gani hasa kipindi hiki cha kuelekea 2025...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Baba na mwana katika hizi familia mbili za wapakwa mafuta zinatafakarisha. UKimchukua January Makamba na mzee wake Yusuf ukaweweka kwenye mzani,Yusuf atamzidi January kwa umri tu,ni dhairi...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Naandika haya nikiwa na uchungu mkubwa, sina hata muda wa salamu maana tutachoshana tu. Nilikua nikisikia maafisa wa serikali wanashauri vijana tujiajiri, nilidhani ni wanafiki, kumbe wanapitia...
2 Reactions
3 Replies
394 Views
SHIKWAMBI maana yake ni shinda kwa mbinu Kwa sisi wazee wa kwenye siasa za mchangani ukisikia mtu analalamika mambo magumu ujue kwenye siasa anafikiria mbinu mpya Shikwambi ya 2020 bado...
0 Reactions
4 Replies
716 Views
Tukumbuke tu kwamba kumekuwa na malalamiko mengi ya wateja wa mitandao ya simu, kuktwa salio pasipo kujiunga na huduma yoyote ile. Hivyo basi kwa kauli hii ya waziri, haina budi wahusika watoe...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Hili naamini liko ndani ya uwezo na maamuzi yenu. Kwa ridhaa yenu tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima , madeni yanayo anzia miezi...
3 Reactions
7 Replies
575 Views
Hapo beirut kimewaka! Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Naibu Waziri Abdallah Possi ateuliwa kuwa Balozi.
3 Reactions
404 Replies
49K Views
MWIGULU TUNAKUPUUZA WEWE SIYO NIPASHE. Mwigulu Nchemba, lawama zako usiwape NIPASHE. Umenukuu POST yangu. Sisi ni wamiliki wa pesa zilizopo (BoT). Tunahitaji ufafanuzi wa kueleweka. NIPASHE...
13 Reactions
21 Replies
1K Views
By Summary, Hawa watu wanao mtaja-taja Cde David Kafulila wanatumwa na nani hasa na nia yao ni nini hasa nini kipo nyuma ya hili? Je, huyu Cde David Kafulila ameshawahi kutangaza nia popote...
11 Reactions
128 Replies
2K Views
Ndg yangu Msigwa habari! Nimefuatilia kiasi kikubwa mikutano uliyopewa nafasi kutoa hotuba yako. Nindhani tutakuwa tumekuelewa. Sasa itakuwa ni vizuri utueleze na uzuri wa...
1 Reactions
3 Replies
288 Views
Back
Top Bottom