Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mwaka fulan ilimlazimu mheshimiwa mkubwa Kwenda kutoa ushahidi mahakamani kutokana na ujenzi wa nyumba ya ubalozi Ulaya , gharama zikawa mara Tatu ya uhalisia! Nikajiuliza swali, Kwanini sasa...
3 Reactions
10 Replies
577 Views
Kwa kifupi ni kwamba aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje January Makamba na Manaibu wake Wawili wote wamepoteza Uwaziri Hii inanikumbusha baada ya Lowasa Kujiuzulu Uwaziri mkuu kuhusiana na Kashfa...
1 Reactions
5 Replies
583 Views
Kwa mwenendo huu wa kisiasa ni dhahiri sasa anahitajika kupatikana Mwenyekiti mpya wa kuitoa CHADEMA kutoka sehemu moja kwenda mbele zaidi . Fikra zilezile na mawazo yaleyale ya Mwenyekiti wa...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Kipindi hiki kuelekea uchaguzi kuna mambo mengi tutaona. Leo nimesikia sauti ya watanzania wakihamasishana ili kumshinikiza Mbowe aachie ngazi. Mara kadhaa Dr Slaa ametoa tahadhari kuwa kitendo...
9 Reactions
79 Replies
2K Views
Historia inaeleza jinsi Makamba alipokuwa ofisi ya Makamu wa Rais chini ya Mama miaka hiyo kwamba alikuwa kati ya vijana waliokuwa wanaaminika sana na ndio maana baada ya Mama kuwa Rais ameendelea...
2 Reactions
10 Replies
471 Views
Habarini wanajukwaa, Kwa wenye uelewa wa namna gani nafasi za maafisa ofisi ya Rais Ikulu ambao kila uchwao tunaona wakipangiwa majukumu mengine, zinajazwaje naomba aniambie. Ni utaratibu gani...
0 Reactions
3 Replies
474 Views
Huu mkeka wa mama tumeona Wateuliwa na Watenguliwa, binafsi Niko na shauku ya kumuona Mhe Nape ambaye ni Mbunge wa Mtama akikabidhi ofisi.. sijui hiyo siku atakuwa kwenye hali gani,, nasikia Jana...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Mchambuzi nguli wa Masuala ya Siasa wa Clouds media mh Sam Sasali amesema Hakuna uhusiano wa Moja kwa Moja Kati ya kauli ya Nape kuhusu Uchaguzi na kutumbuliwa kwake Sasali amesema kwa uzoefu...
6 Reactions
10 Replies
835 Views
Wakati unaingia ulidhani sukuma gang ndio adui yako ukawafyeka sukuma gang wote. Ukaja kugundua bila kanda ya ziwa huwrzi kufika kokote ukaanza kuneutralize kwa kuwapromote makonda,Biteko na...
2 Reactions
16 Replies
964 Views
Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa...
28 Reactions
283 Replies
19K Views
Yaani nchi maskini kama Tanzania yenye uchumi mdogo wa kumudu changamoto za nyumbani kwake mwenyewe, unatoa tena hicho kidogo na kukipeleka nje kuzijenga na kuendeleza nchi za wenzetu. Hii sio...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Maskini. Wameamua tu kumdhalilisha. Wakimaliza kumtumia ataachwa ajiozoee somewhere. Wameamua kwa makusudi kumpiga picha wamemshikisha picha Hakutegemea kwa kudhalilishwa hivi. Mwangalie usoni...
49 Reactions
126 Replies
6K Views
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi Je, ni Maombi ya Mtume Mwamposa au Mchungaji Msigwa yamesikika Ngoja tuone 😂😂🔥
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Mwaka Jana Serikali ya Tanzania ilisema inaenda kufufua Mradi mkubwa wa kujenga Ukumbi mkubwa wa Mikutano ya Kitaifa Kwa jina la Kilimanjaro International Convention and Exhibition Centre-KICC...
6 Reactions
61 Replies
3K Views
Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo...
5 Reactions
46 Replies
1K Views
Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa. Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99% Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo...
14 Reactions
115 Replies
5K Views
"Suala la ukusanyaji wa kodi za jengo kwa kutumia mita za LUKU ulishahamishwa kutoka TRA kwenda kwenye halmashauri na manispaa na majiji, imerudishwa serikali za mitaa. TRA haihusiki tena na...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
1. Aliyezinunua na kuzisambaza atalaaniwa kuanzia miguuni mpaka kichwani. 2. Kila atakayepokea na kuzitumia Pikipiki hizo laana ya Watanzania itakuwa juu yake, kwa hiyo mishe mishe zote...
2 Reactions
5 Replies
453 Views
Nape Nnauye , mwanaccm na Waziri wa Habari , umesikika Bungeni ukipiga porojo kuhusu Mbowe na Maridhiano badala ya kujadili kuuzwa kwa aibu kwa bandari za Tanzania . Umefika Mbali sana kwa kusema...
21 Reactions
131 Replies
8K Views
Sisi tunatoa tu maoni yetu hatujui yataisaidiaje nchi yetu leo na kesho, lakini ni heri kusema kuliko kunyamaza. Nchi yenye watu zaidi ya 60m hawakosekani watu safi wenye sifa ya kuongoza wenzao...
3 Reactions
5 Replies
435 Views
Back
Top Bottom