Tofauti ya binadamu na wanyama, ipo kwenye ustaarabu, lakini kwenye mambo mengine mengi, tunashabihiana.
Wanyama wanakula kama tunavyokula wanadamu.
Wanyama wanajamihiana, kama ilivyo kwa...
Caption: Mmoja wa Mashabiki wa January Makamba, akibusu picha ya Mbunge huyo aliyoitumia wakati wa kampeni za Ubunge mwaka 2010.
UMOJA wa viongozi wa wanafunzi wa Vyuo Vikuu Tanzania...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amefungua Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Visiwa...
Salaam!
Kipekee sijawahi kuandika kuhusu Mhe. Rais ila kwa leo naona nimpongeze kwa teuzi na tenguzi alizofanya kipindi hiki.
Haya ni moja ya maamuzi bora sana na ya heshima ameyafanya, katika...
Mwishoni mwa utawala wa Mkapa kuna hoja ziliibuliwa na watawala walio kuwa kazini na wastaafu nchi hii kuhusu hatima ya kizazi chao kwenye utawala wa nchi hii, Hofu yao ilikuwa ni kwamba huenda...
Hili jukwaa linaloheshimika sana !
Bwana mkubwa wa hapo beirut Kachukua maamuzi na ku freeze Pesa yooote ya Mauzi ambayo ilikuwa kwenye bank Dubai, account imekuwa freezed kwa maagizo ya Serikali...
Tanzania na Afrika kwa ujumla hatuna tabia yakukiri kushindwa au kukosa uungwaji mkono. Tumejaaliwa kiburi kinachoambatana na kujipendekeza.
Mawaziri kama Januari Malamba na Nape Nauye...
Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu.
Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu...
Shujaa Magufuli aliwatumbua wote Wawili na baadae Wote Wawili akawapa Ubunge bila kupingwa
Jana tena Mpendwa Wetu Mh Rais Samia amewatumbua tena kwa pamoja baada ya kuwarudisha baada ya Kifo Cha...
Mbunge wa Jimbo la Momba Condester Sichalwe ametoa wito kwa Taasisi za kifedha Mkoani Songwe kutumia Takwimu za Sensa kutoa mikopo kwa wakulima.
Ametoa wito huo katika Kongamano maalum...
Pamoja na Nape kuwa bomu bingwa wa uropokaji, Chama changu kitukufu tuwe macho na Peter Msigwa staili yake ya kuzungumza bila kupima kauli zake inaweza kukiponza chama.
Ana speed kali juzi Kawe...
Anapoikosoa chadema chama kilichompa utajiri alionao Leo anakosea sana. Hata CCM lazima wawe makini na mtu kama Msigwa. Iko siku atayachukua ya madhaifu ya CCM na kuyapeleka kwingine maana...
MWANASIASA mkongwe na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa amesema anamuunga mkono Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe kuhusu uamuzi wa kutangaza kushiriki katika chaguzi zijazo hata...
Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk 21.07.2024 alijiuzulu ubunge wa kuteuliwa na Rais, akiwa Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Jumapili, 21.07.2024 usiku, Balozi Mahmoud...
Taarifa za uchunguzi wetu zimebaini kwamba hakuna Mkandarasi hata mmoja atakayetoa hela kwa ajili ya ununuzi huo wa kinachoitwa chopa ya kampeni ya Rais, hakuna na hatakuja kuwepo.
Bali kipo...
Mimi binafsi nimekuwa nikikerwa na utendaji kazi wa Nape,Makamba,Makonda na Slaa kwa kushindwa kuzielewa 4R za Rais kwa vitendo. Rais anataka utendaji kama ifuatavyo:
1. utendaji wenye...
Tabia aliyoianzisha Lema ya kujifanya ni nabii aliyetumwa na Mungu kutabiri mambo mbalimbali sasa inashika kasi na wameanza kuibuka watu mbalimbali maarufu na walio wa kawaida tu nao sasa...
Nyuki wa mama tulieni na mapovu yenu kidogo, nimekuja kuwakumbusha tu katika one and wtp za viongozi kipindi hiki ambacho tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu 2025.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.