Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM. Naomba CCM mjitafakari Sana.
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Kutoka kona za ikulu asubuhi ya leo ni kuwa Mheshimiwa January Makamba atangaza kugombea uwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika (AU) kutoka nje ya Umoja wa Afrika Mashariki na SADC baada ya mgombea...
1 Reactions
4 Replies
933 Views
Kitakachofuatia punde ni kamata kamata ya Wezi wa Fedha za Umma waliojisahau baada ya Kifo Cha Shujaa Magufuli kwani ushahidi ulishakusanywa Huu mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi mkuu utakuwa mgumu...
8 Reactions
20 Replies
943 Views
Amani iwe nawe. PDF la kushtukiza limetoka usiku mkali, lakini limekuja kwa mshtuko wa kutosha hasa. Leo nakurudisha nyuma wakati wa uongozi wa presida John Joseph Pombe Magufuri, wakati anataka...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Huu uzi niwakuwachana wana JamiiForums haswa wale ndakindaki wa jukwaa la siasa. Niseme tu ukweli kushadadia kuteuliwa ama kutenguliwa kwa baadhi ya watu, humu ndani imekuwa ndio mada zinazo...
1 Reactions
10 Replies
433 Views
Achana na CCM, wateuane, watenguane. Chadema endelea na mikutano yenu. Fichua maovu ya CCM kama mlivyokazia kwa Nape. Nadhani kama siyo Chadema, Nape asingelitenguliwa. Erythrocyte
0 Reactions
3 Replies
212 Views
Kwenye nchi masikini watu smart huwa hawapewei nafasi ya Ku-shine hata siku moja. That is way umeondolewa kisa una wa-out smart viongozi. You deserve to be PRESIDENT At ur Age 49 bado naamini...
2 Reactions
14 Replies
654 Views
Uzi huu unamhusu Nape Nnauye kwa kuzuia vyombo vyote vya habari kurusha au kutoa machapisho ya waraka wa maaskofu wa "TEC" kutoka madhehebu ya "Roman Catholic" nchini Tannzania. Ninachotaka Nape...
17 Reactions
58 Replies
4K Views
Hao vijana waliolelewa na chama ni wazuri katika ushabiki wa chama na ni watoto wa vigogo wa chama ila uwezo wao wa kuwa Mawaziri katika wizara nyeti ni mdogo, watafutieni vitengo vingine ambavyo...
2 Reactions
0 Replies
224 Views
Imepita miaka 3 sasa tangu waliokataliwa na shujaa hayati Magufuli kurudishwa tena serikalini kwa kubebwa na Rais Samia lakini wameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi na sasa wako hoi kisiasa...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Rais Samia ametimiza miaka 3 tangu achukue madaraka ya urais lakini ukilinganisha na miaka 3 ya hayati Magufuli akiwa madarakani ni kama mlima na kichuguu kwa matokeo. Rais Samia amefanya semina...
34 Reactions
224 Replies
13K Views
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
37 Reactions
177 Replies
10K Views
Rais Samia ulianza kuugusa moyo wangu ulipomrejesha Paul Makonda kazini, na leo tena umeukuna moyo wangu baada ya kumteua kijana mchapakazi Ally Hapi. Sasa umebakiza kumrudisha ulingoni kijana...
14 Reactions
61 Replies
3K Views
Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani...
27 Reactions
110 Replies
7K Views
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Mh Doto Biteko amesema wakati anaingia kwenye wizara hiyo alikuta kila mara mafuta kuadimika na kusababisha usumbufu na foleni kubwa kwenye vituo...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
RAIS SAMIA, alikuja na falsafa ya 4Rs. Nape akampinga Rais kwa kauli isiyo ya wazi moja kwa moja. Lakini Nape ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri, ambalo kazi yake ni kumsaidia Rais. Baada ya kauli...
4 Reactions
6 Replies
980 Views
Hayati Rais Magufuli alikuwa anapenda kutumia kauli"msema kweli ni mpenzi wa Mungu..." akimaanisha vitendo viovu vilivyokuwa vinaendelea na waliopewa madaraka kukaa kimya bila kusema ukweli...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwanasaikolojia mashuhuri nchini Dkt. Elly amesema Afrika ndio Bara pekee ambalo Teuzi hufanywa kwa kuangalia Majina badala ya Weledi Kwa mtindo huu kamwe Maendeleo hayatapatikana na Amani...
7 Reactions
26 Replies
847 Views
Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live. January Makamba, akiongea, anaonekana yuko very intelligent upstairs kwa sababu anaonyesha ana think kabla ya kuongea. Kuna baadhi ya...
28 Reactions
348 Replies
37K Views
Naomba watanzania wenzangu mnisaidie jambo moja kila siku nikiamka kwenye mitandao nakutana na mijadala mbalimbali inayomkosoa Januari Makamba lakini mpaka sasa najiuliza Makamba amewafanyia nini...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Back
Top Bottom