Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ikumbukwe kuwa wakati hayati JPM alipokuwa anazindua daraja la Kijazi Ubungo aliahidi kuanza na ujenzi wa barabara za Kimara lakini mpaka sasa hakuna barabara moja iliyotengenezwa. Ukienda Temeke...
1 Reactions
6 Replies
638 Views
Nape akiwa Waziri na akiwa amevaa kichwani kofia ya CCM amesema anataka kumfundisha Byabatto namna ya kushinda uchaguzi hatakama hapendi na wananchi wake. Amezitaja mbinu anazozifahamu na...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Wakenya wasema sababu ya Makamba kuondolewa uwaziri ni kwa sababu aliunga mkono maandamano ya vijana Kenya ya Gen Z. Wasikie wenyewe
0 Reactions
9 Replies
732 Views
Tume huru ya uchaguzi ilitoa nafasi za kazi kwenye kuboresha daftari la mpiga kura na wazalendo waliomba kulitumikia taifa lao! Cha kusikitisha Mtendaji kata wa Loya akaanza kushawishi waombaji...
0 Reactions
4 Replies
268 Views
Nampongeza Rais wangu ni mtu mtulivu, anakupa muda usipojirekebisha anakuchapa, hongera mama. Nnape ana tabia ya kujisahau, alishaanza kibri kauli ya juzi ni ushahidi, ni mropokaji, anajidanganya...
14 Reactions
44 Replies
3K Views
1. Lack of Tangible Achievements: - Despite being the Special Seats MP for 20 years, the Kilimanjaro chapter of UWT (the CCM women's wing) has not been able to point to any clear benefits or...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Viongozi waliokulia CCM kila siku wanatumbuliwa kwa utendaji mbovu. Viongozi wote waliokua chadema na vyama vingine wakanunuliwa na kujiunga na CcM hakuna anayetumbuliwa bali wanapata uhamisho wa...
2 Reactions
11 Replies
485 Views
Tar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri. Hivyo...
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Wanabodi Mimi ni mwalimu wa somo linaloitwa karma humu jukwaani. Karma ni kuhukumiwa kwa mawazo yako, maneno yako na matendo yako, wazungu wanasema, what goes around, comes around. Nashauri...
27 Reactions
71 Replies
4K Views
Wazo Maridadi: Viongozi ni lazima muwe na misimamo. Misimamo thabiti inaonekana unapokuwa na madaraka. Kwamba madaraka hayakufanyi uje na misimamo ambayo usingekuwa nayo kama usingepata madaraka...
29 Reactions
90 Replies
9K Views
Kuelekea uchaguzi Mkuu Mama ameubutua sana hadi umechana nyavu. Waliosema siasa ni sayansi hawakukosea. Leo Wale walioitwa sukuma gang ni shangwe tele. Wamefurahi balaa. Furaha in Vain (bure...
22 Reactions
66 Replies
3K Views
Wakuu, Tumeona mkeka wa mama, kamla kichwa Byabato, Makamba na Nape, huku baadhi ya watu wakikisia ni matukio yaliyotokea hivi karibuni ndio yamewaondoa kwenye nafasi walizokuwa wakikalia. Pia...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu binafsi ninavyoona, Uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 unapokaribia, hali ya kisiasa nchini Tanzania inazidi kuwa na changamoto. Ninavyo ona ni kama vile...
1 Reactions
3 Replies
336 Views
Vijana hawa, Nape, Mwigulu, Juliana na Mwampamba kwa sasa ndio vijana wanaoidhalilisha na kuitia aibu CCM. Vijana hawa wamepewa uhuru mkubwa wa kusema na kutenda lolote ndani ya CCM kana kwamba...
21 Reactions
492 Replies
43K Views
Pamoja na yote yanayoendelea bado ukweli unabaki Nape na January Ndio walifanikisha Ushindi wa CCM kwa namna Moja au nyingine mwaka ule 2015 Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni 😄😄 Yesu alipofika...
0 Reactions
1 Replies
208 Views
Ndugu zangu, Jana usiku tumepokea taarifa kupitia ukurasa wa Ikulu mawasiliano juu ya Utenguzi na Uteuzi. Habari kubwa ni kuhusu kutenguliwa kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya nje ndg January...
3 Reactions
67 Replies
2K Views
Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa. Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa...
42 Reactions
119 Replies
12K Views
Tamthilia ya Jumong inaelezea mengi, magumu kwa mepesi ya kiongozi anayokutana naye anapotaka Kujenga nchi yenye nguvu. Na haya ni baadhi: I. Atakutana na kukosolewa vikali na kupingwa na hata...
0 Reactions
1 Replies
501 Views
Yawezekana tuna elimu ya kutosha sana na tumewazidi hata watangulizi na mabosi zetu, yamkini tunafahamu mambo mengi, ni wabunifu na wenye ushawishi mkubwa maeneo fulani kulingana na nafasi, vyeo...
2 Reactions
2 Replies
327 Views
CHAMA IMARA NI KILE CHENYE UWEZO WA KUJISAHIHISHA NA KUTOA NAFASI KWA VIONGOZI WENGI KUTUMIKIA TAIFA LAO Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Kwanza nampongeza sana Dr Samia kwa hamasa...
0 Reactions
1 Replies
183 Views
Back
Top Bottom