Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii ...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limefuatilia kwa kina taarifa zilizosambazwa leo July 22, 2024 kwenye mitandao ya kijamii na kuzua taharuki na hofu kwa Wananchi eneo la...
January makamba ni mmoja ya kati ya mbunge aliyekwiba kura uchaguzi wa 2015 /20 .
Hivyo january kwa wizi huo saa hii alitakiwa awe amejiuzulu na tume ya taifa iwe imetengua ubunge wake,
Takukuru...
Januari na Nape kuondolewa sio faraja kabisa kuelekea Uchaguzi,
Hivyo tutafakari ya mwaka 2015 walio yafanya tunaweza kujiuliza ni kweli wameondolewa au watanzania wamefanyiwa kiini macho,
Hao...
Jina la Madaraka Nyerere(pichani) sio geni miongoni mwa watanzania. Ukiachilia mbali ukweli kwamba yeye ni mtoto wa sita wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (kitu ambacho...
Nashangaa tunajiulize kwanini hasa Tanzania rushwa haikomi
Utafit mdogo niliofanya ni huu
1. POLISI TANZANIA
Hapa wanaongoza kwa kutengeneza mazingira ya Rushwa. Ukiwa na kesi inayohusisha madai...
Mwezi wa 12 nilitoka huku nikaenda Tanzania na uzuri nineamua tu kwenda vijijini
1.kijiji Bugandika
2.Kijiji Musibuka
3.Kishanda
4.Kijiji Kyamulaile
5.Kijiji Katoma
6.Kashasha
7.Kitendagulo...
Waliosoma course za uchumi na sheria ndo huwa wazuri kwenye siasa mana siasa inataka mchumi au mwana sheria.
Tuwe wakweli, hivi engineer, mwalimu, mhasibu etc unaenda kuzungumza nini kwenye siasa...
Wakuu habari zenu,
Naanza kwa kutoa shukran kwa mwenyezi Mungu ambaye ametufikisha siku ya leo,
Baada ya kuwepo habari za chini chini juu ya VATICAN- YA WARUMI na UTAWALA WA TANZANIA, kwa miaka...
Wanabodi,
Hii tumbua tumbua majipu ya Rais John Pombe Magufuli, japo inafanyika kwa nia njema, swali la kujiuliza ni Jee mtangulizi wake, Jakaya Mrisho Kikwete anajisikiaje pale watu wake...
Sisi wengine tulikuwepo wakati Rais Mkapa (1995-2005)anatukanwa kila siku kuwa "anauza nchi Kwa makaburu".....ilifikia wakati hadi nyimbo zilitungwa zikimuimba naukumbuka wimbo mmoja .."Kama sio...
Wanabodi,
Hili ni swali, Jee, huu Utumbuaji Majipu wa Rais Dr. John Pombe Magufuli: Which is which?!
A: Is He Doing The Right Thing, at The Right Time, And Doing It Right?
B: Is He Doing , The...
Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, na Wateule wote wa Eais, ni wasaidizi wake Rais.
Hao wateule wa Rais hawakuchaguliwa na wananchi kwenye hizo nafasi zao bali Rais amewateua ili...
Kwanza naanza kwa kutoa salam za dhati na uchovu wa safari mheshimiwa Rais hapo katavi ulipo ngoja niende moja kwa moja kwenye mada chokozi
Rais yupo Ziarani Mkoa Katavi, kaambatana na manaibu...
Askofu Dr Bagonza amesema Kati ya Wanasheria waliojadili Mkataba wa Bandari ni wachache sana ndio wameeleweka
Tatizo Wanasheria wetu Ujanja wao unaishia Kisutu na Wachumi wetu Ujanja wao unaishia...
Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong.
Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa...
Mimi kwa ushauri wangu Ccm kama Chama kikubwa kinapaswa kutoa adhabu kali sana dhidi ya kiongozi aliyetenguliwa Uwaziri kwani kauli kama hizo hazifai katika jamii yetu Ili iwe kama fundisho kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan, Rais na kipenzi cha waTanzania uongozini.
Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia afya njema, bidii, ubunifu na nguvu tele katika kuongoza nchi yetu Tanzania..
Hamasa na...
* Mama akikuteua acha kauli na maneno ya dhihaka dhidi ya watanzania
* Uchaguzi uliisha kwa kuacha makovu na majeraha kwa baadhi ya watanzania
Tutashinda kwa mkono au boksi haifai
Vijana...
Waziri wa Mambo ya Nje ni bosi wa Mabolizi wote Duniani. Bolozi ni vituo vya kazi ambavyo Waziri anavisimamia.
Uteuzi wa DGIS umeenda sambamba na kuondoa mabosi wake wa zamani ofisini yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.