Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hii ni kwa sababu, ametangaza Wizi wa kura 2025,ili kumnufaisha Byabato, Waziri ni kiongozi wa serikali, na kwamba kauli yake inawakilisha serikali . Mara kadhaa tumemsikia Rais na viongozi wa...
12 Reactions
81 Replies
4K Views
Nimepitia mitandao karibu yote you can think of. Jerry Slaa hakuna anayemjadili. Kulikoni? Jerry Silaa, amefanya kosa gani/amekosea wapi mpaka akatenguliwa/amehamishwa? Amefanya hitilafu gani...
6 Reactions
102 Replies
4K Views
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo amefanya Mkutano wa hadhara katika Vijiji vya Endakiso na Arri na kusikiliza kero mbalimbali...
1 Reactions
2 Replies
255 Views
Katika Ulimwengu wa Roho hakunaga jambo Dogo Waislamu husema Mtu akifa basi hunenwa Mema yake na yale mabaya huachiwa yeye mwenyewe na Mungu wa mbinguni Uzi huu si kwa ajili ya hawa Watumbuliwa...
28 Reactions
65 Replies
3K Views
Jeshi la polisi makao makuu limetoa taarifa ya kupinga taarifa za taharuki mitaani za watoto kutekwa ,kuuwawa na kunyofolewa viungo.
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Zamani mtu akila uteuzi basi ukoo mzima ni full shangwe,huko mtaani majirani wanaisoma namba kama sio plate number,lakini siku hizi ni tofauti kabisa Mtu akiteuliwa hakuna shangwe kama zamani...
1 Reactions
4 Replies
318 Views
Bunge la India limeahidi kutoa fursa zaidi za mafunzo ya kuwajengea uwezo Watumishi wa umma kupitia Taasisi yake ya Utafiti na Mafunzo ya Kidemokrasia (PRIDE) inayoendeshwa na Bunge hilo. Ahadi...
0 Reactions
4 Replies
284 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa kuwa Mwakani ni uchaguzi Mkuu wa udiwani ,ubunge na Urais. Na kwa kuwa Fomu ni moja tu ya Urais ndani ya CCM kwa ajili na maalumu kwa Mama yetu mpendwa na Jemedari...
2 Reactions
115 Replies
3K Views
MBUNGE OLIVER SEMUGURUKA: WANAWAKE CHUKUENI FOMU MGOMBEE SERIKALI ZA MITAA Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwezi Novemba mwaka huu, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Wale watu ambao kwa miaka mingi walikuwa wasindikizaji kwenye nchi zao na kuitwa majina ya kuwafariji kama Wanyonge na majina mengine ya kichawi, Sasa wameamka na wameanza kuliamsha polepole...
1 Reactions
4 Replies
330 Views
Miaka ya nyuma tulijitahidi sana kuwa waaminifu kwenye chama chetu. Na lengo la uaminifu wetu ni kukifanya chama kiendelee kuwa madarakani, kwakuwa viongozi wetu walikuwa wazalendo sana hatukupata...
7 Reactions
10 Replies
628 Views
Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu. Elimu ya...
21 Reactions
73 Replies
5K Views
Mimi katika kazi zangu hata ya kizibua vyoo, Makonda ana mapungufu yake tena sana ila ni kiongozi safi sana na mimi natabiri atakuja kuwa mkubwa sana. Nape hata kama ningekuwa Rais angenisaidia...
0 Reactions
3 Replies
626 Views
Moja ya makosa makubwa aliyofanya January Makamba ni kutaka kuwania kuwa Mwenyekiti wa African Union huku akifahamu fika kuwa nafasi hiyo inawaniwa na Raila Odinga ambaye anaungwa mkono na Rais...
11 Reactions
44 Replies
4K Views
Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes, Faiza foxy na kina Lucas Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi. Je, wengine huwa mnamuelewa?
14 Reactions
57 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika leo 22/07/2024 amezindua Mafunzo ya mapitio na tathmini ya sera ya Jinsia, Walemavu na ushirikishwaji wa Wanawake, Washa...
3 Reactions
5 Replies
369 Views
NI wazi kuwa hawa vijana wamekuwa wakitazamwa kwa makini kabisa na kiongozi wa nchi jinsi wanavyofanya kazi tangu awateue kumsaidia kazi amekusanya ushahidi wote juu ya utendaji wao, haya...
1 Reactions
4 Replies
388 Views
Kuelekea Uchaguzi mkuu 2025 Prof Kitila Mkumbo ameweka wazi kabisa Boniface Jacob wa Chadema aendelee kuuza Mayai swala la Ubunge pale Ubungo asahau kabisa Majibishano yao wameyafanya Ukurasani X...
3 Reactions
7 Replies
369 Views
Mambo ambayo hayajafanyiwa kazi katika ilani ya CCM ya miaka 2020 hadi 2025. Ni muhimu ili ilani mpya ya 2025 hadi 2030 iweze kutekelezwa vizuri. Herehapa mapendekezo yangu: 1. Ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Tukumbushane zile kelele zenu za DP world ziliishia wapi? Na zile kelele za report ya CAG ziliishia wapi? Kwa ufupi watanzania wengi ni wasahaulifu na bendera fuata upepo, Ni vyema vijana...
3 Reactions
3 Replies
667 Views
Back
Top Bottom