Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Naona mama anapiga katafunua kali kali sana, yaani hii ndio "ubaya ubwela" kwa rangi zake, nadhani amepiga miksa na kurujuani ya Mzee Magoma, yaani hata aliyewaza kama Maharage, aliyeshiriki...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu wa Tanzania najuwa weng wenu mtakapo isoma post hii mtaibuka na maneno meng sana ila nitasema kile kitatoke either utaniuliza wewe nabii ama umetumwa jibu langu litakuwa subiri uwone...
8 Reactions
107 Replies
10K Views
All potential advisers and decision makers kamwe tusiruhusu Rais wetu na viongozi wote kutishwa na wahuni.Tanzania bado ipo stable sana tu.all what is prevailing has been planned! Viongozi wa...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Hapo zamani za kale, miaka zaidi ya 4000+ iliyopita katika nchi ya Israel walipewa agizo. Agizo hilo la kuwatenga wakoma mbali na Kusanyiko la wana wa Israeli. linapatikana kitabu cha Hesabu 5:2...
0 Reactions
2 Replies
196 Views
Nipende kutoa wito, maoni na ushauri adhimu na wa kipekee. Kama nchi lazima tubuni mikakati mipya ya kukabiliana na maadui watatu muhimu waliotajwa hapo awali yaani umasikini, ujinga na maradhi...
2 Reactions
6 Replies
559 Views
Ni lini tumbua tumbua zilibadilisha hali ya Taifa? Zaidi ya watu wenye chuki na hao viongozi kuwa na furaha. Hakuna proper procedures na vetting katika uteuzi, hivyo hata tenguzi tenguzi hazina...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Tume hii ni Idara huru ya kiserikali iliyoanzishwa kwa mujibu wa Katiba (rejea Ibara ya 129 (1)). Ina wajibu wa kuhakikisha, pamoja na mambo mengine, haki za binaadamu na utawala bora...
12 Reactions
56 Replies
2K Views
Nikikumbuka zama za kina nchimbi walipokuwa na makundi ya uraisi walichofanyiwa na mzee wa msoga sitosahau. na nukuu "Mimi nilikuwa mpole Sana sasa nawaletea mkali". Mama Samia kwa jinsi...
10 Reactions
151 Replies
4K Views
Kwa akili gani ya kawaida unaweza kukubali kuwa Mahindra Tech walilipwa bilioni 80+ eti kuboresha ufanisi wa Tanesco? Ufanisi wenyewe eti kuboresha softwares na huduma za kidigital za Tanesco ili...
1 Reactions
4 Replies
501 Views
Dah! Mpaka naona kizunguzungu. Tengua teua hizi nyie mnaziona ni jambo la kawaida tu kuongoza nchi? Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya...
11 Reactions
24 Replies
864 Views
Viongozi wengi wa kisiasa Tanzania hasa wa chama tawala hakuna kumbukumbu zao za kumiliki biashara wala ofisi au kampuni. Mfano Nape na Makamba tofauti na kazi ya ubunge qwalipaswa kumiliki...
2 Reactions
6 Replies
413 Views
Waungwana hamjambo,? Naomba niende kwenye hoja Yangu Hivi karibuni kuliibuka maigizo ya mheshiwa Nape Nauye mbuge Wa Mtama kwenda kuomba msamaha kwa Mh Rais Magufuli, binafsi nilipenda hali ya...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Nadhani kuna jambo halipo sawa, kuna baadhi ya watu wanakonekti doti ya TCRA kutoa pongezi kwa nape ila nadhani ni beyond to the point. Nadhani kimbelembele cha Ridhwani kuhangaika na mambo ya...
1 Reactions
8 Replies
893 Views
Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe...
10 Reactions
70 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta...
21 Reactions
325 Replies
40K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mzazi yeyote anajua mojawapo ya kanuni kubwa za kumfunza mtoto; ni kumuacha wakati mwingine aanguke. Sasa humuachi aanguke mahali pa hatari au ambapo anaweza kuumia vibaya...
14 Reactions
61 Replies
4K Views
Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei. Since then, ametulia na...
14 Reactions
55 Replies
2K Views
Mwaka mmoja na miezi yakutosha niliwahi kuwajulisha juu ya njama za kutaka kuua eGA, Watu kadhaa inadaiwa walikua nyuma ya carpet wakiandaa mikakati hio. Hivi karibuni inadaiwa watu hao walifikia...
3 Reactions
4 Replies
720 Views
Kwanza kabisa lazima tujiulize je serikali hii ina mpango wa kupunguza matumizi yasiyo na ulazima wowote au yenyewe Haina huruma na pesa za walipa Kodi, Kwasababu action za serikali zinaitia...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Nimeona na vijana wa Uganda wametaka kuwaiga wenzao wa Kenya, kwa video kadhaa nilizoziona zinaonesha wazi vijana bado wana uoga sana, kitendo cha kuwaona tu polisi ni nduki !! wachache sana wana...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom