Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
WAZIRI AWESO AANZA ZIARA YA MOROGORO Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewasili Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara yake ya Siku moja ya kukagua na kufuatilia hali ya huduma ya upatikanaji...
0 Reactions
9 Replies
871 Views
Maandamano ya CHADEMA yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z. Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha...
5 Reactions
57 Replies
1K Views
Jumapili wakati Nappe akigawa Tuzo Mlimani City na mkewe akiwa kitandani anamsubiri arudi nyumbani, alitenguliwa na hakuna sababu zilizotolewa na Rais kwa utenguzi huo. Mashirika aliyofanya Nape...
17 Reactions
129 Replies
11K Views
Katibu mwenezi wa CCM Taifa bwana Paul Makonda akiwa analia kwenye kaburi la Hayati Magufuli wilayani Chato ameapa hatakuja kumkana wala kumsaliti Hayati Magufuli hata kama atawekewa bastola...
36 Reactions
216 Replies
19K Views
Hii kwa kweli inashangaza, tangu mwezi February mwaka 2024, jamaa wanasambaza maji kwa wananchi yakiwa hayajatibiwa (treated). Kwa hiyo kwa muda wote wananchi wamekuwa wakinywa maji yenye vimelea...
6 Reactions
30 Replies
934 Views
Baada ya Steven Byabato kuupata uwaziri, aliacha kabisa kupokea simu kutoka jimboni kwake. Akaanza kufurumusha maghorofa Mwanza na kwingine, akasahau palipompatia kura. Sasa uwaziri umekwenda, na...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Ushauri wa Bure kwa Waajiriwa wote wa Serikali hasa wale wa Vimemo vya Uteuzi kutoka Kurugenzi ya IKULU kuweni makini zaidi pengine kuliko awamu yoyote ya Uteuzi wenu. Huenda Rais...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Katika kitabu chake cha THE 48 LAWS OF POWER, muandishi Robert Greene ameeleza kinagaubaga tahadhari muhimu sana, mila, desturi, utamaduni na maisha ya viongozi dhidi ya mamlaka za juu yao...
3 Reactions
1 Replies
281 Views
KWa sasa Mada kuu ni Tengua hamisha, Tengua badilisha, tengua, teua, tengua baada ya mwezi tengua. Nchi za Ulaya Mashariki baada ya kuanguka kwa Ujamaa zilijikuta katika hali mbaya ya kiuchumi na...
4 Reactions
11 Replies
604 Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi teule na nchi yenye kuonesha njia kwa Africa na Dunia katika nyanja zote. Wapo maadui wengi dhidi yetu wenye mbinu mbalimbali lakini Tanzania ni babalao...
13 Reactions
86 Replies
8K Views
Mwanzo walikuchukulia poa, kwa sababu ya huruma ya mama wakadhani wanaweza kufanya mambo with impunity. Sasa unavyowanyoosha namna hii unatuma meseji kwa umma kuwa rais sasa hacheki na "kima"...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Baada ya seke seke lililomtoa madarakadi bwana David Jairo pale wizara ya nishati na madini, ndugu Eliakim Maswi aliteuliwa kuchukua mikoba yake. lakini pamoja na mambo mengine mengi, ningependa...
1 Reactions
62 Replies
18K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba radhi wananchi na wapenda demokrasia nchini kutokana na kauli aliyoitoa kuwa si lazima CCM ishinde kura kwenye boksi...
7 Reactions
62 Replies
4K Views
Tuache unafiki Mbowe hapedwi na watu wa CCM kwasababu moja tu anajua kuongoza, street smart, haongeki, ana heshimika na anajua kuongoza. Kuna wanasiasa wengi sana ni wazuri wa kuongea tu lakini...
5 Reactions
21 Replies
448 Views
Ujumbe huu kutoka Kwa Waziri wa mambo ya nje mstaafu mh January Makamba nimeukuta huko X Kwa Ayub Madenge "Uongozi ni koti la kuazima kuna siku utalirudisha tu, kama ulikuwa Unawakoga Watu...
5 Reactions
12 Replies
689 Views
Nauliza tu kama Chawa wako katika ngazi mbalimbali ukiachilia mbali Wasanii wa Bongo fleva na maigizo Mlale Unono 😀 Kwako Lucas
1 Reactions
4 Replies
309 Views
katika hali ya kushangaza , leo akihutubia mkutano wilayani Chunya Katibu Mkuu wa CCM A . Kinana , amesema sera za ardhi zipo ni nzuri lakini zinashindwa kutekelezwa na ndio maana anawashangaa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe...
6 Reactions
111 Replies
6K Views
Waziri Nape anasema wanashauriana Serikalini ama kupunguza Kodi Kwenye Simu Janja au kuweka Kodi Kwenye Vitochi (viswaswadu) Ili Watu wote waweze kumiliki Simu Janja. Huko tunakoelekea teknolojia...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Ashukuriwe na kukumbukwa Mzee wetu Lowasa. Aliwaza kitajiri na hakuwahi kuabudu umaskini. Alianzisha shule za kata lakini alipofaulu kwenye Mradi huu alitoka adharani akatueleza madhara ya...
1 Reactions
4 Replies
244 Views
Back
Top Bottom