Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ...
0 Reactions
4 Replies
479 Views
Taarifa yake hii hapa Nimefika Ubalozi wa Tanzania Jijini Pretoria Afrika Kusini kuaga kabla ya kuondoka katika nchi hii na kupokelewa kwa heshima kubwa na Balozi wa Tanzani Mh James Bwana na...
7 Reactions
11 Replies
782 Views
My Take Naunga mkono hoja.Hawa matapeli waliojificha kwenye mgongo wa dini washughulikiwe. Kwanza wao wanataka kwenda Mbinguni Kwa nini wawe wanahangaika na Mali za Duniani? 😂😂😂 --- MKuu wa...
2 Reactions
9 Replies
725 Views
Akizungumza katika uzinduzi wa Kongamano la Kikanda la Maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Mwaka 2050 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema zaidi ya 81% ya waliotoa...
1 Reactions
4 Replies
971 Views
Hili ni tangazo likimuhitaji Daktari Bingwa katika hospitali ya serikali! Hivi kweli serikali imeshindwa kuajiri na sasa inataka watu wafanye kazi kwa kujitolea? Kwamba mtoto wa Rais, au Waziri...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
1. Wizi wa ununuzi wa RADAR (BAE system co.) Madalali walipata £ 12,000,000 2. Wizi wa Amatus Liyumba katika Ujenzi wa B.O.T twin towers .. Shilingi Billioni 400 3. Wizi wa akaunti ya EPA...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Nimeangalia na kusikiliza maelekezo ya Rais Samia jana pale Ikulu Chamwino Kwa wanaoitwa Machifu nimebaki nashangaa. Maagizo yalitolewa kwa watu wasio na mamlaka yoyote zaidi ya familia zào maana...
11 Reactions
32 Replies
1K Views
Twende haraka kwenye mada. Mama mwenye Upendo Kwa wanae, Yuko radhi ashinde njaa, ajinyime kununua kipande Cha kanga Ili mtoto wake apate kula chakula na kupata mahitaji muhimu, Watoto mashuleni...
10 Reactions
82 Replies
2K Views
Siandiki masimango! Sio hulka yangu... Hadhira hushangilia anguko la mtu kuliko mafanikio yake.... Washindwa wengi ndio huwa wa kwanza kunyoosha vidole vya lawama, kejeli, matusi, dharau nknk...
108 Reactions
208 Replies
34K Views
Nakipenda Chama Cha Mapinduzi Kwa; 1. Sera makini (utekelezaji 100%), 2. Demokrasia, 3. Uwajibikaji Kwa walipa Kodi (wapiga kura). NB: CCM itatawala milele na milele. Asanteni
2 Reactions
75 Replies
3K Views
Msomi (PhD) na Kiongozi mashuhuri dunian na Mbunge wa Same (M) karibu tena jimboni uhudumie wananchi kipindi cha 2025-2030. NB: safari hii TOA misaada ya pikipiki 3000 (Kwa mchanganuo ufuatao...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Bajeti ya Mwigulu Nchemba inayosomwa leo imependekeza tozo ya Tshs 382 kwa kila kilo ya gesi asilia inayotumika kwenye magari ikiwa na lengo la kuchangia mfuko wa kutengeneza barabara na kuleta...
13 Reactions
69 Replies
2K Views
Toka akoswe risasi Kawa kimya na Bunge linaendelea Dodoma. Yupo wapi huyu mzalendo
1 Reactions
4 Replies
623 Views
Tuhuma kuwa ndani ya Chama cha CHADEMA Kuna taasisi imeundwa inaitwa Mbowe Foundation lisichukuliwe kuwa ni Jambo la kisiasa, Hawa watu wamejitanabaisha kuwa wana uwezo wa kuongoza nchi, sio...
3 Reactions
9 Replies
626 Views
Puuzeni taarifa ya “Tanzanialeaks” Serikali haijafilisika, Ameandika hatujalipa Bwawa - Uongo mtupu, Bwawa la Mwl Nyerere hatudaiwi hata Invoice Moja na Wiki jana tumewasha na mtambo wa 7, ( Sasa...
62 Reactions
253 Replies
15K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimefurahi sana kuona Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha akijitokeza hapa jukwaani kuja kutoa ufafanuzi wa hoja ambayo ilikuwa inagusa wizara...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Shalom, Kazi ya uzushi ya kubweka, kubwaka na kubwata vyataka ule ushibe Nimewaza kuhusu kauli za mchungaji Msigwa hasa juu ya tuhuma za Mbowe kuwa fisadi na Chadema kuwa Mali binafsi ya Mbowe...
1 Reactions
6 Replies
383 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/tanzanialeaks-apuuzwe-hazina-haijafilisika.2236060/ Heshima kwenu wakuu wenzangu Kama mtambuka juzi kati member wa JF na Waziri wa Fedha alikuja humu kukana...
34 Reactions
67 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
20 Reactions
75 Replies
4K Views
unadhani ni zipi hasa sababu za msingi za kutokukubalika na kuaminika kwa upinzani vijijini? kwa ujumla wanapuuzwa sana vijijini, kwa mfano jimboni kwangu hawapo kabisa. sidhani kama wanaweza...
2 Reactions
23 Replies
564 Views
Back
Top Bottom