Mh. RAIS SAMIA, ni Rais mpenda haki na mpenda ustawi wa jamii kwa ujumla, ameleta neema nchini ndo maana kila mtu anataka kumlaki pale anapotembelewa na Mh. Rais Samia.
Haya hapo chini ni baadhi...
Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro wakiongozwa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Saidi Yakubu leo wametembelea kiwanda cha maji cha Aden kinachomilikiwa na Mfanyabiashara mwenye asili...
Mh. Rais hivi sasa ni saa kumi na mbili kamili nina Imani umeisha amka na umeisha swali Dua ya Asubuh!
Mh. Rais shikamoo!
Mh. Rais nauliza swali dogo na mimi ni Mtanzania na Mkurugenzi wa...
Mimi ni mwanachama wa chama cha Mapinduzi CCM kindakindaki lakini ninaamini katika demokrasia, uchaguzi huru na wa haki katika kuijenga nchi na umoja wa kitaifa. Nimesikitishwa na kauli ya Waziri...
Wanabodi,
Tangu kuanza kwa pilika pilika za uchaguzi wa Serikali za Mitaa, sijawahi kuzungumza lolote kuhusu uchaguzi huu kutokana na kuwa bize na shughuli za kitaifa, kwanza ni Wiki ya Msaada wa...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi inazindua uboreshaji wa taarifa za wapiga kura na Uandikishaji wa wapiga kura wapya tarehe 20 July 2024.Viongozi wao wakuu akiwemo Mwenyekiti Jaji mstaafu ndugu...
Ukweli wa kwanza wa nape ni pale aliposema CCM itashinda hata kwa goli la mkono. Sio TU alitoa kauli hii Bali alishiriki kifanikisha goli la mkono,ingawa baadae yeye na wenzake walibatizwa kwa...
Mimi ni mmoja niliyevutiwa na falsafa ya 4R alizoziasisi Rais Samia. Na kwa vyama vya siasa, viongozi wa dini, mashirika ya nchi za nje, mabalozi na wananchi walianza kumwelewa na kuamini kuwa...
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo.
Kila mgombea...
1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida kimelalamikia ĥujuma za kukamatwa ovyo kwa viongozi wanaoendesha zoezi la usajili wa wanachama kidigitali unaoendelea kwenye majimbo...
Tatizo la wapinzani huwa kama kondoo wenye kujipeleka kwenye kundi la simba kuliwa au mbwa kujipeleka kwenye mdomo wa chatu bila kujitetea.
Acheni kulalamika tu mna mbinu gani za kufuatilia na...
Tume ya uchaguzi kumekuwa na ubabaishaji mwingi kwani yanayoendelea mengi ubabaishaji kuanzia upande wa vyakula mpaka malipo. Tukianza na upande wachakula kuna malalamiko mengi waseminishwaji...
Kiuhalisia ukitoa sehemu ndogo ya watu ambayo ni watumishi wa Serikali na wanasiasa Asilimia kubwa ya wananchi wanaamini katika Hayati Magufuli na wanampenda .
Ukiingia humu jukwaani ,ukiwa...
Katibu Uenezi wa CCM mkoa wa DSM mstaafu Alhaj Hajji Manara amesema Utani wa Simba na Yanga umesaidia kuleta Utulivu nchini na Serikali inauunga mkono 100%
Manara amesema unaweza kukuta Maji...
Tunakumbushana Tu Wakati gari lililowabeba Lowassa na Mzee Duni linaingia Viwanja Vya jangwani gari ya Nyuma kabisa ilikuwa Kinondoni Manyanya kwa akina Mrangi ova
Misafara siyo big deal 🐼...
Ndugu zangu Watanzania,
Kupata viongozi aina ya Mheshimiwa Paul Makonda Wenye ujasiri wa kiwango cha juu kama alicho nacho katika kuwatetea, kuwapigania, kuwasemea, kuwakingia kifua wanyonge ni...
Amelenga kutuma Ujumbe gani kwa wananchi, Kwamba alichokisema kimetokana na minong'ono ya Wananchi au ni nini hasa kimemsukuma? na Je nyinyi mnapata picha gani?
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU.
NB: Kama utaumia kwa andiko hili, pole ni advance.
Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.