Wamachinga wa Simu 2000 wamemtaka RC Chalamila kutumia Lugha za kistaarabu anapozungumza na Wananchi badala ya Kutukana
Wamemtaka awaombe radhi kwa yale maneno aliyowaambie na iwe mwisho...
KINYOMI CHA LISSU,NI KITONE KWENYE NYOMI LA LOWASSA 2015.
Leo 20:15pm 27/07/2020
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya Mzee Lowassa wa 2015.
Leo nimeona Mapokezi ya Lissu, na wafuasi...
JUST IGNORE HIM, MSIMJIBU, MPUUZE, MPOTEZEE (vijana wa mjini wanasema)
What power is there in ignoring someone?
1. Ignoring someone can have a powerful impact since it sends the message that you...
Hapa Africa nimeshuhudia Marais wengi ila huyu nahisi anapendwa zaidi ya wengine wengi.
Hakika, Sijawahi kuona Rais anagawa Love bites kwa raia wake kama hivi,
"Rais Samia, People do love You...
CCM, kiuhalisia, kamwe haiwezi kuheshimu demokrasia wala haki za wananchi kuwachagua watu wanaotaka wawaongoze.
CCM inaamini katika kupora kura au kupora maamuzi ya wananchi. Inaamini zaidi...
Rais Samia akizungumza na wananchi wa kata ya Laela ,Wilaya ya Sumbawanga Vijijini Rukwa mesema leo tarehe 17 Julai 2024 ikiwa siku ya mwisho ya kukamlisha kwa ziara yake ya siku tatu "Wengine...
Kwanini nauliza hivyo?
1. Yale yale yaliyokuwa yanatokea wakati wa Siro ndiyo hayo hayo yanatokea wakati wa Wambura eg..kupoteza, kutekwa watu, kubambika kesi etc etc. Ben Saanane, Sativa and...
Stendi ya mabasi Chato, yenye maduka ya kisasa zaidi ya mia moja, naona kama ina hali mbaya sana. Stendi iligharimu karibu bilioni 30 lakini zinapaki daladala nne au tano, na mabasi yasiyozidi...
Ninafahamu Uchaguzi unapofanyika wenye wajibu wa kutenda haki ni Tume Serikali na vyombo vya dola na wala siyo CCM yakulaumiwa.
Ebu safari hii fuateni maelekezo ya Amir Jeshi Mkuu wenu Samia...
Kuna jambo mmoja watu wengi hawajamuelewa Rais wetu au mfumo mzima wa CCM. Hawataki kuonekana kuwa wafanyalo linatokana na Wazo la wapinzani hata kama wazo hilo lina manufaa kwa taifa 💯 %.
Hivyo...
Wanabodi.
Kila siku najiuliza sipati jibu sahihi kuhusu wasomi wetu wa Tanzania..
Kwa mujibu wa data za World Bank na IMF Tanzania ipo kwenye kundi la nchi 20 maskini wa kutupwa duniani.
Baadhi...
Tukio la jaribio la kumuua Aliyekuwa Rais Wa Zamani wa Marekani na Mgombe wa Kiti Cha Urais Mh Donald Trump limeibua taharuki na sura mpya ktk siasa za Marekani.
Hata hivyo kama Nchi na Kama...
Mh. Magufuli your doing amazing job kweli Prof Kabudi anaonyesha mwanga wa kukurithi pasipo majivuno ila utumishi ulio tukuka. Nisije toa siri zaidi ila muda utajibu haya.
Ile nyota ya mh Prof...
Taarifa hii Nyeti imefichuliwa leo kwenye Hitimisho la Mikutano hiyo mikubwa ya kisiasa kuwahi kufanyika katika ngazi za vijiji, lililofanyika Mjini Arusha, Kata ya Murrieth, Idadi ya mikutano...
Kuanzia leo, sitamlaumu tu aliyehujumu uchaguzi bali hata aliyehujumiwa kisha akakaa kimya bila kuchukua hatua stahiki.
Kwa miaka mingi, vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamika kwamba wameibiwa...
Ukweli ambao utawaumiza wazee wa matusi pale ufipa ni juu ya picha za mikutano ya Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe katika ziara ya mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia Manyara...
Hivi nilimsikia vibaya yule aliye kuwa shirika la NYUMBA la taifa ndugu Nehemia msechu yakuwa Kuna wizi mkubwa na upotevu wa mamilioni ya fedha kwenye mradi wa usafirishaji wa abilia Udart?
Je...
Wakuu,
Tangu nimezaliwa sijawahi kuona sherehe za kisiasa zimepangiliwa kisayansi na zikawa na watu wengi kama nilizoona mwaka huu katavi kwenye maadhimisho ya wiki ya wazazi 2024.
Viongozi...
Wanabodi.
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii...
ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY (ACT WAZALENDO)
TAARIFA KWA UMMA
VIONGOZI WAKUU WA ACT WAZALENDO KUFANYA ZIARA KWENYE MIKOA 22 TANZANIA BARA
Kuanzia tarehe 22 Julai 2024, Viongozi Wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.