Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
RAIS DKT. SAMIA AIPA HONGERA NSSF Na MWANDISHI WETU, Katavi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)...
0 Reactions
3 Replies
387 Views
Ili chadema ionekane ni chama cha demokrasia nashauri mbowe aachie ngazi. Asigombee tena uenyekiti
3 Reactions
22 Replies
639 Views
Kiukweli ipo tofauti kubwa sana Kati ya Nyeusi na Nyeupe Waafrika Siasa inakuwa Uadui hasa tofauti na Wenzetu Nimemkumbuka yule Mbunge Mwarabu wa CCM aliyekodi Ndege kwa dharura kumuwahisha...
1 Reactions
2 Replies
305 Views
Dunia nzima ikiwa ni pamoja na viongozi kadhaa wastaafu wa Nchi hii, akiwemo Mzee Warioba na Kinana wanafahamu kwamba CCM haikushinda Uchaguzi wa 2020, Iwe kwenye Urais wala Ubunge na Udiwani kwa...
4 Reactions
22 Replies
993 Views
Kiukweli acheni Mbeya iitwe Lango la Maarifa Fikiria wakati huu Putin amepanga kukutana na Viongozi Wenye akili kubwa kawachagua Dr Tulia PhD, Kiduku, Mondi na Rais wa China Fikiria wakati...
12 Reactions
40 Replies
2K Views
MBUNGE ASSA MAKANIKA ATOA MSISITIZO KWA MABALOZI KUHAKIKISHA WATU WANAJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika akiwa katika ziara...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
MTATIRO ASHUSHA BEI ZA MAJI SHINYANGA VIJIJINI Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro, ameielekeza Mamlaka ya Maji Shinyanga (SHUWASA) kushusha mara moja bei za maji kwenye kata...
2 Reactions
40 Replies
2K Views
Ndugu wana-Jamvi Wakati Vuguvugu la Uchaguzi linazidi kupanda kuelekea mwakani 2025, wabunge matumbo joto kila kona na tayari sarakasi zimeanza. Wilaya ya Mufindi imekuwa kwenye dawati kwanza...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
1 Reactions
2 Replies
266 Views
Bila shaka MD wa NHC amepata experience ya nchi nyingine kuruhusu umiliki wa ardhi kwa wageni.kama hili ni kweli nawaasa mpeleke andiko kwa mhe.Rais la kuomba fedha za uwekezaji nje ya mipaka ya...
2 Reactions
1 Replies
340 Views
VIONGOZI CCM TAIFA MNAFANYA VIZURI SAANA KUTEMBELEA MIKOANI NA KUYASOMA MABANGOBAADA YA HAPOTURUDI OFISINI TUWE NA TAFAKURI NZITOKISHA TUCHUKUWE HATUA ZA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU Nilisikika...
1 Reactions
0 Replies
217 Views
Nimeona Vijana waliouawa kwenye Maandamano ya Gen Z nchi jirani wakizikwa na Bendera za Taifa kufukiwa Kaburini Sidhani kama Wanasiasa wa Hiyo nchi wanaelewa maana ya kuizika bendera ya nchi na...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Mbeya, Iringa, Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Mara, Kigoma, Dar es salaam na Pemba kisiasa hii ni mikoa ya kimkakati Watu wake Wana akili za kujitambua Mikoa hii ipewe Viongozi Wenye " Utulivu wa...
1 Reactions
9 Replies
513 Views
Hebu tushirikiane kuwaza mambo kadha wa kadha hapa na ya msingi; Mara zote kwenye mambo ya msingi nakuwa firm Kabisa utani pembeni hata Kama kuna nyuki wa mama wananikaba Kwa kusema labda...
91 Reactions
236 Replies
22K Views
Hiki kizazi tulichopo kinatokea kwa Nchi inayojiita ya kijamaa ila kimejaaa ubebari, Kimepandikizwa [NAFSI YA UMIMI] Na CCM hapo wametuweza sana Najua bado hujanielewa..Point yangu ipo hivi...
8 Reactions
59 Replies
1K Views
Anaandika, Robert Heriel, Mtibeli. Hakuna kazi rahisi kama kuuondoa Umaskini. Rahisi Sana. Ukisikia mtu anakuambia kupambana na umaskini na ikazidi ngumu basi jua huyo ni muongo au anazungumzia...
12 Reactions
23 Replies
1K Views
Mimi ni mwanachama wa CCM ila mwaka huu 2020 Sijali chama, sijali itikati bali nitajali nia yake dhidi ya Mabaya yoote anayofanya Magufuli. Bado nawapima Lissu? Membe? Zitto? Lakin angalizo sera...
26 Reactions
62 Replies
6K Views
Kuna kila Dalili Mh Mpina wanataka kumuumiza ili kuzima hoja zake. Wanataka tumia hoja yakutoa jalada kwa wananchi wakati aliagizwa na spika. Hoja hii haina mashiko kwa sababu Mh Mpina bungeni...
1 Reactions
5 Replies
591 Views
IGUNGA: UWT TAIFA YAHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO 📌 MHE. HAWA GHASIA ASISITIZA USHINDI KWA CCM HAUEPUKIKI SERIKALI ZA MITAA NA UCHAGUZI MKUU. 📌 MBUNGE NGASSA ASEMA "TUMEPOKEA MAELEKEZO...
1 Reactions
2 Replies
235 Views
Back
Top Bottom