Kwa mujibu wa taarifa ya jarida Maarufu Duniani la the Economists,Tanzania imepata alama 5.35 nakuifanya ishuke nafasi ya 12 kati ya Nchi 15 Zenye Demokrasia nzuri Afrika.
Alama hizo ziko Juu ya...
Wilaya ya Ilala na jimbo zima la Ilala tutasimama na mama yetu kipenzi Dr. Samia Hassan Suluhu , wana Ilala tulimpokea katibu Mwenezi taifa Ndg. CPA Amos Makala wilayani Ilala , alisindikizwa na...
Naibu Katibu Mkuu Chadema amemshauri Mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Priscus Tarimo asijaribu kutumia kiinua mgongo chake kwenye kampeni za uchaguzi kwani katika kipindi chake chote hakuna...
Hi
Kuna vitu ambavyo vipo na vilnaganyika lakini pia vilikuwepo na vikafanyika isipokuwa kwasasa ni kuboresha
Maana yangu ni hii kuwa serikali inatakiwa kufumbua miradi mipya ambayo haipo na...
Hivi karibuni Rais wetu mpendwa Dr Samia Suluhu alisafiri na wasanii Tamithiliya na sinema wa hapa nyumbani kwenda nao Korea kwa lengo la kuwawezesha kwenda kujifunza kwa wendao huko.
Sasa kama...
Mbinu pekee ambayo CCM wanaweza kuitumia ili kushinda uchaguzi ni kumtumia Mtaalam wa kubadili matokeo Abdulrahman Kinana, kwenda kuiba kura, tena baada ya kuteketeza labda nusu ya Wakazi wake...
NIDA wanachelewesha watu kupata huduma.
Wangepewa muda wakujitathimini.
Hiyo nafasi wapewe uhamiaji wapo smart sana kwenye kuandaa passport za kusafiria.
Sijawahi ona passport imekosewa
Japo binafsi napenda kusisitiza watu kulipa kodi kwa ajili ya maendeleo yao, Lakini mambo kama haya ndiyo yanayovunja mioyo ya walipa kodi wengi. Je, hii ni sawa?
Mlipa kodi baada ya kulipa kodi...
TISS, wanapoona taarifa zao hazifanyiwi kazi wanawapa wengine ndicho kinachotokea kwa Mhe Mpina na Bashe sakata la sukari
Mpira kaletewa ushahidi wote unaohusika na njama za upungufu wa sukari...
Serikali imesema inalichunguza sakata la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) la kugombea kiwanja Na.60 kilichopo Regent Estate...
Kwa miaka kadhaa Mimi natafakari mambo mengi juu ya nchi yangu Tanzania
-Mkapa alibinafisisha viwanda vyote nchini je hao wawekezaji nini walichofanya
Mkapa alibinafisisha mgodi wa Bulyannhulu...
Akichambua hali ya kisiasa ktk Gazeti Maalumu linalotoka kila wiki" Pambazuko" kwa njia ya mtandao Nguli wa Ushushushu na Ujasusi Huyo Evarist Chahali ameleeza.
Mtalaaam Huyo wa maswala ya...
Uongozi hupimwa kwa mambo mengi sana lakini kipimo cha juu zaidi kwa mujibu wa Carol S. Pearson, Mwandishi nguli wa masuala ya uongozi ni kipimo kitokanacho na uhalali wa kimaadili. Kwake yeye...
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?
Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini...
Kwa mfuatiliaji mzuri sana wa mambo ya siasa na Taifa ili tuna watu watatu ambao ni wa kuangalia kwa makini,
1.Makongoro Nyerere, Mzanaki
2. Muzamir kalokola - Mhaya
3. John Magufuli-...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema tayari Tanzania imeanza kutumia sheria ya mwaka 2015 sura ya 446 katika kumlinda mtoa taarifa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya nafasi za viongozi Serikalini Ikulu jijini Dares Salaam, leo tarehe 03 Januari, 2023.
Amesema “Mtakumbuka...
Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake.
Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna...
Nawasalimu Kwa jina la JMT...🇹🇿
Jana katika pita pita zangu nilikutana na Taarifa kutoka ikulu ikisema kuwa Rais amemteua Bw Hussein Massoro Kuwa balozi na kumuweka Balozi Ali Idi Siwa kuwa DG...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.