Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kuna vigogo wanatumia shida za wananchi kuishi kama wako peponi kupitia huduma za jamii. Mafuta ni tatizo lingine linalosumbua maskini na kufanya waishi maisha ya juu. Kwa sasa matajiri wanazuia...
3 Reactions
5 Replies
472 Views
Wanajamvi na kuja kwenu na uliza anayejua tumepata faida gani Tanzania kwa kuwa na vyama vingi atuambie Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayofata mfumo wa vyama vingi. Swali je tumepata faida...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Hili swali kidogo linanitatiza. Je, Rais mama yetu Dkt. Samia atakuwepo hadi 2035? Nauliza hivyo maana utaratibu wetu wa kuongoza nchi ni 10 years. Sasa hapa Rais wetu atakuwa ameongoza kwa 14...
0 Reactions
14 Replies
530 Views
CHATANDA: "IGUNGA MMEPATA MBUNGE MCHAPA KAZI" Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Mary Pius Chatanda Amempongeza Mbunge wa...
0 Reactions
0 Replies
340 Views
Kuna wakati inakera lakini ndiyo aina ya maisha waliyoamua kuishi CCM. CCM tangu mwaka 1995 wamekuwa wanaongoza nchi hii. Kwa ivo umaskini wa watanzania chanzo chake ni wao kuwepo madarakani...
14 Reactions
37 Replies
2K Views
NAHESHIMU KAZI YANGU, NDIO INAYONIWEKA MJINI Na Comrade Ally Maftah Nimpongeze Dr Samia Suluhu Hasan, kwani upendo wake unatupa amani kubwa sisi wajasiliamali kuendelea na shughuli zetu, Dr...
0 Reactions
10 Replies
393 Views
KAGERA MPOOO!! Baada ya Shughuli za Bunge kuahirishwa,sasa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa Kagera Mhe. Oliver D. Semuguruka (Twiga) anakuja kufanya Ziara katika Wilaya zote za Mkoa Kagera. “ Kiongozi...
0 Reactions
8 Replies
608 Views
Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu. Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi...
21 Reactions
183 Replies
9K Views
Wakati Rais Samiah akiwaapisha Viongozi Jana , Kuna mambo matano aliyasema kwenye hotuba yake ambayo yalinisikitisha. 1. Jambo la kwanza Rais kadai mikopo inaifanya Tanzania inyayasike...
133 Reactions
347 Replies
10K Views
Ruzuku ya chama inafika vyema na kwa uhakika sana hadi kwenye ngazi ya matawi na mashina ya CCM huku chini kabisaa kwa wananchi vijijini. Nyenzo na vitendea kazi muhimu, uwezeshaji wa hali na...
1 Reactions
38 Replies
664 Views
Buchosa. Maria Ikangila, mke wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Tawi la Majengo wilayani Sengerema amesimulia mume wake alivyojitoa uhai kwa kujinyonga kutokana na ugumu wa maisha uliosababisha...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Tangu mwaka 1995 sijawahi kuipigia CCM kura kwa namna yoyote ile, iwe katika nafasi ya urais, ubunge au udiwani. Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa CCM tangu 1995. Sisikilizi hotuba za...
17 Reactions
33 Replies
1K Views
Napenda watanzania waelewe vizuri kuwa CCM ndio adui yetu mkubwa. CCM ipo madarakani kwa miaka 60 sasa na bado tunahangaika na maji vijijini, madawati, chakula na magonjwa yanayotibika bado yanaua...
2 Reactions
3 Replies
716 Views
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, @DorothySemu akizungumza wakati wa kikao cha mashauriano kuhusu ziara ya ujenzi wa chama inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Kikao hicho kimefanyika katika...
0 Reactions
6 Replies
428 Views
Maisha yamekuwa magumu nchi inatafunwa, hakuna kinachofanyika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi. Fedha zinakopwa kwa ajiri ya miradi zinaishia kwenye mifuko ya wanasiasa. Kazi yao nikusema...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
FEBRUARI 8, 2017, ilikuwa Jumatano. Paul Makonda, wakati huo akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, alitaja orodha ya aliowatuhumu kuwa vigogo wa biashara ya dawa za kulevya Tanzania. Ilikuwa...
37 Reactions
62 Replies
3K Views
Video: Angalia chadema walivyosepa na Kijiji huko Rombo.
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kamanada anatakiwa kuwa jasiri --- Freeman mbowe akiomba hasira za vijana wa kenya iwafikie Watanzania Akiwa kwenye mkutano huo wa kisaisa wa CHADEMA Mbowe amesema: “angalia wakenya, watoto wana...
2 Reactions
9 Replies
706 Views
Biashara yoyote inafanywa kutafuta faida. Na mnaofanya hizi sinema za kubebesha watoto mabango ya Samia mnatafuta kuonekana kwake kwamba mnampigania ili awateue. Lakini watoto hawa Malaika wa...
2 Reactions
4 Replies
417 Views
Siku alipohama Dkt. Slaa, vijana wengi wa CHADEMA walivunjika moyo. Na ndiyo ikawa mwanzo wa kupungua kwa kishindo na nguvu ya maandamano ya CHADEMA. Hata walipofuata wengine akina Mashinji...
18 Reactions
85 Replies
2K Views
Back
Top Bottom