Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Dkt. Slaa anasema Viongozi mkishindwa kuelewana wewe ambaye unaona Wenzako hawako sahihi ndio unaondoka tena kwa amani bila kuwachafua wanaobaki na hii ndio kanuni ya Siasa duniani kote Dkt. Slaa...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Mgogoro wa kimajukumu umeanza kuibuka ndani ya chama kipya cha ACT-Wazalendo ambapo mwenyekiti wa taifa wa chama hicho bi Anastazia Mghwira jana alitishia kuachia ngazi. Habari zilizopatikana...
10 Reactions
493 Replies
48K Views
Changamoto ya ubovu wa miundombinu ya barabara katika eneo la Kiruweni, Kata ya Mwika Kusini, Wilaya ya Moshi, imewalazimu wananchi wa eneo hilo waishio maeneo mbalimbali nchini kuchangishana...
10 Reactions
189 Replies
10K Views
Amani iwe nanyi wanabodi! Hata tuwe na makusanyo kikodi ya trilioni 100 kwa mwezi kama hatutakuwa na nidhamu katika matumizi ya fedha za wananchi nchi yetu itaendelea kuwa maskini milele! Ukweli...
17 Reactions
50 Replies
1K Views
Heshima sana wanajamvi, "Serengeti shall never die" Huo ni usemi wa enzi na enzi ukitumiwa hasa na watafiti wa hifadhi za mazingira na wanyama waliotumia muda mwingikufanya tafiti mbali mbali za...
5 Reactions
11 Replies
593 Views
Najua nyie mpo loyal KWA taifa hili,mmelilinda tangu kuasisiwa kwake, Najua nyie Ndio mmeiruhusu ccm kuwa Chama Tawala tangu kuanzishwa kwake hadi leo,bila nyie CCM isingekuwepo madarakani Hadi...
1 Reactions
9 Replies
724 Views
KATABA CCM MOMBA AMPA MAUA YAKE MBUNGE SICHALWE. Na Mwandishi Wetu- Momba Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Momba Ndg. Kataba Sukuru amewataka wananchi wa Jimbo la Momba kuendelea...
0 Reactions
2 Replies
277 Views
Ninaomba kuelemishwa kuhusu nafasi ya Mhe. Spika wa Bunge la Jammhuri ya Tanzania. Je, kikatiba Mhe. Spika anatakiwa atokane na wabunge wa majimbo au kwa njia yoyote nyingine?
1 Reactions
7 Replies
393 Views
Kero za hii nchi zitatuliwa kwa mifumo Imara ya ufanyaji kazi na Serza nzuri. Sasa ni Vipi Mkuu wa wilaya anaweza tatua Tatizo la Ajira labda wilayani kwake bila National Policy? Mkuu wa Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Habari Mwanajukwaa. Nimewaza sana tena sana nikagundua hili tukio linaonesha tu kwa namna gani watu hawakubaliani na baadhi ya Mambo na kwa namna yanavyotokea tu yanatoa ujumbe kabisa kwa Rais...
17 Reactions
90 Replies
4K Views
Akizungumza kwenye mkutano huo, Mwamba wa siasa za Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe amewashukuru wakazi wa Himo kwa kuikataa ccm kwa miaka yote. Ametoa pole kwa wananchi...
2 Reactions
3 Replies
521 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amosi Makalla amemshauri aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msigwa...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Huenda ulikuwa unawakubali mno awali, lakini kutokana na mambo mbalimbali kufanyika na kubadilika bila utararibu na kufanya upinzani kupoteza dira na uelekeo, imefikia mahali umekosa imani na...
7 Reactions
171 Replies
3K Views
Kuna habari Leo BBC Swahili Malawi wanaanzisha ule ugomvi wa mpaka kule ziwa Nyasa hivi wanatambua kwamba kwa sasa tuna Mr Presida ambaye hajaribiwi ============================= Wengi...
2 Reactions
72 Replies
11K Views
Kwamba hata yule kijana aliyekamatwa Rungwe kwa kosa la kuipiga kiberiti picha ya Rais Samia, hana kosa lolote na hata wakamataji hawajui wampachike kesi gani, maana kwa katiba ya Tanzania kitendo...
24 Reactions
199 Replies
7K Views
Ndugu zangu wana Mara katika Utafiti wangu nimegundua kuwa Mo aka Metl group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills, Lengo la mkopo...
45 Reactions
127 Replies
9K Views
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee. Dua...
19 Reactions
154 Replies
12K Views
Zamani mawaziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa walikua wa moto sana wakiwemo mheshimiwa hayati Benjamen William Mkapa, Jakaya Mrisho Kikwete, Bernard Camilius Membe. Hata mawaziri wa...
1 Reactions
12 Replies
945 Views
Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu, amepokea ujumbe wa Meya wa Mji wa Nsujini Mstahiki Andoir Maoulana ambaye amefika ubalozini kwa lengo la kupata fursa za ushirikiano baina ya eneo...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Na Laudence Simkonda-Momba Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Momba imemshukuru na Kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Michael Sichalwe (Mundy) kwa mchango wake...
0 Reactions
0 Replies
208 Views
Back
Top Bottom