Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ukiweka Siasa Pembeni hatuna Watangazaji levo za kuwakaribia Wakenya, na tuna kwama sana kama nchi, kama umefuatilia mahojiano ya leo jioni ya Ruto na Watangazaji wa habari utagundua kwamba tuna...
43 Reactions
205 Replies
6K Views
Hakukuwa na sababu yoyote ile ya Maana au ya Kijinga ya kufanya hivyo . Hii ni kwa vile huko Korea hakuna anayemjua Samia, Wala hakuna Jimbo lolote la Uchaguzi wa Tanzania huko, kiasi cha hao...
18 Reactions
83 Replies
2K Views
1. CCM nao wanachekesha Sana aisee. Yaan eti nao wanajipanga Kwa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 mbona 2019 waliachiwa viti vyote nchi nzima? 2. Panic ya nn mwaka huu. Watulie kusubiri...
2 Reactions
2 Replies
213 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Uj1SB3vHgBU&ab_channel=GlobalTVOnline
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa...
13 Reactions
44 Replies
1K Views
Tumeishasema tangu awali humu JF na kwingineko kwamba, kwamba tayari ccm ishateketezwa Tarime, hili hakuna anayepinga, Sasa hivi kinachofanyika ni kukusanya mabaki na kuyapiga kiberiti. Hapa ni...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo Bado hatujafahamu kilichozungumzwa...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
Huko mitaani kushaanza kuwaka moto wa mabango, mmoja yuko kwenye bodaboda, huku mwingine yuko kwenye Bajaj. Jambo la kufurahisha ni tangazo la Waziri wa Tamisemi kwamba vyombo hivyo visiguswe na...
14 Reactions
67 Replies
2K Views
Wengi mmekuwa mkiamini kuwa kwa hali inayoendelea nchini,Samia ataogopa kugombea 2025 au hata akigombea atashindwa!!Niwaambie tu hili halitakaa litokee. Zifwatazo ni sababu kuu tatu... 1.Chama...
22 Reactions
152 Replies
6K Views
Umuhimu wa viongozi wa Dini wenye nguvu katika kunyanyua uchumi wa nchi case study ya Yesu,Mohamed,TB Joshua,Mwamposya na Mwasapile Israel alikozaliwa Yesu kunaingiza mabilioni ya Dollar kupitia...
0 Reactions
9 Replies
275 Views
"Rais Samia Suluhu Hassan ni mwana demokrasia wa kwanza katika Nchi yetu, kwahiyo ni wito wake kuwaomba watanzania na wana Dar es Salaam wote kuhakikisha Tunashiriki kwa kiasi cha kutosha ili...
0 Reactions
4 Replies
910 Views
Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ...
2 Reactions
6 Replies
302 Views
Jana Alahamisi jioni luninga ya Chaneli Ten ilionesha kikundi cha UVCCM wakiwa stesheni ya SGR ya Dar as Salaam tayari kwa kupanda treni kwenda Morogoro na kurudi, kikundi hicho kilipokelewa na...
8 Reactions
10 Replies
701 Views
Wakuu Habarini/salaam/Shalom Ukitazama kwa mwenendo wa siasa zetu ndani ya miaka takribani 10 mpaka sasa,utaona jinsi watu walivyo kuwa na mwamko mdogo sana kuhusu siasa,hii inakuja baada ya...
4 Reactions
2 Replies
454 Views
Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi. Profesa Mkenda amesema...
16 Reactions
128 Replies
9K Views
Nimekaa nikatafakari nikajiuliza hivi aliyekamatwa na kuwekwa korokoroni kwa sababu ya kuchoma picha ya Rais ameonewa? Je, emetendewa haki? Kisha nikajiuliza je, Rais kwa kuchomwa picha yake...
14 Reactions
50 Replies
3K Views
Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Ambureni Leo Tarehe 6/7/2024. Imemvua Uongozi katibu wa tawi la Ambureni Ndugu. Chales Tarimo, pamoja na nafasi zake zote za chama katika...
0 Reactions
4 Replies
277 Views
BODABODA WAMCHANGIA RAIS SAMIA 3,170,000/= ZA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2025 Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
0 Reactions
10 Replies
570 Views
Nakubalina kabisa na mdau huyo kuhusu amani. Nyimbo za tuidumisje amani, tuitunze amani wanufaikaji ni watawala ili waendele kula kwa amami na raha mstarehe. Raia wanacho fanya huuziwa uoga wa...
4 Reactions
7 Replies
280 Views
MJADALA wa Kashfa ya Sukari umezungumza sana ndani ya Bunge na nje ya Bunge hadi kusababisha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni baada ya kumtuhumu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
2 Reactions
10 Replies
486 Views
Back
Top Bottom