Historia itakihukumu kizazi hiki kwa ubinafsi na umimi uliokithiri. Kila kiongozi analinda ugali wake, na hakuna anayejali maslahi ya taifa.
Wako wapi akina Mkwawa na Nyerere wa kizazi hiki...
Mh Tundu Lissu amekuwa akinyooshea kidole kitendo cha Mwenyekiti wake kushiriki katika maridhiano na CCM. Amekuwa akisema kuwa CCM hawaaminiki.
Kwakuwa Lissu anakiri kuwa anamwamini Mchungaji...
Hapa Tanzania kuna watu wamefanya siasa kwa miaka mingi hasa kupitia vyama vya Upinzani.
Kiukweli kufanya siasa za upinzani Tanzania na maeneo mengine kama Afrika sio kazi rahisi
Hata Hivyo...
Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru...
Kweli dunia ya Sayansi na technology, CEO wa taasisi unaenda kupitisha utaratibu wa Kuwapata wadaiwa Sugu kwa njia ya fichua?
This is total embarrassment to the government na hii ni ishara hatuna...
Taarifa za ndani kabisa ni kwamba mama hakubaliki lakini Nani atamfunga paka kengele kilichopo ni kwamba madaraka ni matamu! Mama hata yeye anajuwa hakubaliki anategemea vijana wake wamfanyie kazi...
Wanabodi,
Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!.
Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezungumzia kukamatwa kwa watuhumiwa mbalimbali wa sakata la utekaji ambalo limekuwa likizungumziwa na vyombo mbalimbali vya habari katika...
Ripoti mpya ya Baraza la Utalii Duniani (Travel & Tourism Council,WTTC) iitwayo “ Travel and Tourism: Economic Impact Research 2024,” iliyotolewa Juni 26, 2024 jijini London, UK, inaonesha...
Kuna msemo wa Kiswahili unasema hivi, Nanukuu "KILA LENYE MWANZO HALIKOSI MWISHO"
Kwa Taarifa za Uhakika nilizonazo ni kwamba muda wa ccm kuwatumia wakazi wa Tanga kama Tambala la kudekia...
Akihotimisha Hotuba ya Bajeti, Waziri wa Fedha De.Mwigulu Nchemba amesema Nchi inakopa Kwa sababu ni Tajiri Kwa kuwa maskini hawezi kopa,kukopeshwa maana haaminiki.
Dr.Mwigulu amesema Nchi zote...
Habari wakuu?
Naomba kujua tofauti waziri wakuu wasitaafu wengine kuonekana kwenye shughuli mbalimbali za serikali na hupewa heshima kubwa!
Sijawahi kumuona mh sumaye akiwepo kwenye shughuli...
Uwepo wa hofu na uoga umetajwa kuwa sababu ya vyombo vya habari nchini kushindwa kutekeleza majukumu yake na hivyo kugeuka vyombo vya habari vya propaganda na kuishia kuwasifu viongozi.
Waziri...
Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Uchaguzi ikiwemo Kugombea Nafasi mbalimbali na Kupiga Kura ni hatua muhimu za Kidemokrasia na huchangia kuleta Mabadiliko ya Mifumo ya Utawala
Je, huwa...
Labda kama mimi ndio sielewi, Kanda za Chadema ni kubwa mno kuliko Mkoa au Wilaya yoyote ya Tanganyika, kwa vyovyote vile kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kanda na kwenda kuwa DC au RC ni anguko la...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika ukurasa wake wa Mtandao wa X, waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana...
Wala haihitaji akili kubwa sana kuona kwamba Spika wa Bunge Tulia na jopo zima la uongozi wa serikali wametambua kwamba Mpina amewaumbua kwa kuweka wazi uongo wanaoufanya kuwahadaa Watanzania. Na...
Maandamano ni stahiki iliyowekwa na katiba na mara nyingi yanakuwa dhidi ya watawala. Kwa mantiki hiyo napendekeza sheria ibadilishwe ili yeyote anayetaka kuandamana afungue kesi mahakamani dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.