ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania ( AICT) Musa Masanja Magwesela amejitokeza hadharani kuzungunzumia tukio la Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa...
Mhe Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu na Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Nakusalimia na pole kwa kazi.
Mhe. CJ tunafahamu jengo jipya la Mahakama ya Mwanzo Temeke limekwisha, kwa sasa mahakama...
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia...
Huduma za msaada wa Kisheria za Mama Samia ni aina nyingine ya kielelezo cha jinsi taifa lilivyo
Huwa nasema siku zote CCM hawako tiyali kuona vitu vifuatavyo vinatoweka katika hili taifa;
1...
Binafsi pamoja na mapungufu ya Awamu ya tano ambayo baadhi ya wanasiasa wanakiita kipindi cha giza, bado naamini ndio kipindi ambacho mambo mengi ambayo yalionekana magumu yalianzishwa na sasa...
Wanajukwaa hongereni kwa majukumu ya hapa na pale. Wenye changamoto nawapa pole na kuwatia moyo kwamba wasikate tamaa wakazane kupambana.
Hivi karibuni Kenya ililipuka kwa vurugu za vijana...
Ni kweli kwamba Watanzania kutokana na hali zao duni za kipato wanahitaji msaada wa hali na mali, lakini uduni huo usiwapelekee kudhalilishwa
Naishauri familia ya Sativa kukataa kabisa msaada wa...
Wana Iringa wote nawakaribisha katika maandamano ya kumkaribisha Mheshimiwa Dr Mchungaji Peter Msigwa kurejea CCM.
TAREHE: 28 Julai 2024,
MUDA: Saa 12 asubuhi,
MAHALI: Uwanja wa Samora - ofisi...
Nadhani Hospitali hii itakuwa imetumia weledi wa hali ya juu kama itarudisha fedha kwa SATIVA. Tayari Rais ameshalipia matibabu yote.
Hii pia itawaondoa wale wanaotumia fursa ya ugonjwa wake...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa illyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka...
Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa...
Matukio yote ambayo Vijana wanatekwa hasa Wenye mlengo wa kukosoa serikali, UVCCM haijawahi kutoa tamko la kukemea hata kinafiki tu. Tukio la karibuni zaidi ni la kijana Edgar Mwakabela @SATIVA...
ZIARA YA SIKU YA KWANZA TARAFA YA SUBA KATA NYAMUNGA KIJIJI CHA MKENGWA
Leo tarehe 03/07/2025, Mh Mbunge kaanza ziara tarafa ya Suba kwa kuzungumza na wananchi wa kijiji cha mkengwa juu ya agenda...
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema moto uliowashwa na chama hicho katika Operesheni Sangara utaendelea nchi nzima, lengo likiwa ni kuiondoa CCM madarakani na iwapo itasalimika mwaka...
Kundi la maafisa wa juu kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya, likiongozwa na Makamu wa Rais Thomas Östros, linatembelea Tanzania kuongeza uwekezaji wao nchini.
Wakati wa ziara hiyo, watakutana na...
Ukiangalia nchi inakoelelekea kwa kizazi kipya na cha kileo Tanzania, bila kujali itikadi ya chama chochote, dini, kabila na ukanda, agenda muhimu kwa sasa ni Katiba Mpya, Tume Huru, Ulinzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.