Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ukiimpenda mwanamme sana atakutia wazimu, jifanye kama humpendi ili yeye ndio akupende. Ukiwa CCCCMM sana halafu huna cheo ni ngumu kupata uteuzi. Ukiwa mpwinzani sana utapa cheo na ukirudi...
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Wakuu salaam, Kwa uelewa wangu kampeni huanza rasmi kwenye tarehe inayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na hii huwa ni kwenye mwaka wa uchaguzi kwa ngazi ya Wabunge. Lakini pia baada ya...
5 Reactions
22 Replies
649 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Kamishina wa PPP,Msomi wa BBA,Kijana Mchapa kazi,mzalendo , muadilifu na akili kubwa amewahi kusema ya kuwa CCM inabadilika kulingana na wakati...
0 Reactions
7 Replies
257 Views
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa chama tawala CCM na pia Vyama vya Upinzani, nimegundua hakuna chama kinachoweza kutuletea mabadiliko ya kweli. Matokeo yake akina Msigwa, Mwita Waitara, Prof...
2 Reactions
23 Replies
475 Views
Huyu ni mojawapo ya Binadamu niliopata kuwafuatilia kidogo, tangu niliposikia jina lake lilitajwa kuwa amepewa dhamana Nchini. Hebu Tazama; 👇🏾👇🏾 DISEMBA 2015 - Aliteuliwa kuwa KAIMU Kamishna Mkuu...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Chalamila ameyasema hayo katika ufunguzi wa maonesho ya biashara Dar Saba Saba ambako Rais Nyusi wa Msumbiji alikuwa mgeni rasmi; "Sisi wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam kama ambavyo tunayo hamu...
2 Reactions
8 Replies
641 Views
Hii ni Kitu muhimu sana kuitafakari na Watu wa mpira wanajua madhara ya kumsajili mchezaji aliyegombana na timu yake ya zamani na kuamua kuondoka kwa hasira Akiwa Ndanda Shujaa Magufuli alimuona...
7 Reactions
18 Replies
558 Views
Mh mbunge wa Jimbo la Moshi Mjini Heri ya kwaresma. Nije kwenye hoja, kuna uwezekano mkubwa wananchi wa Jimbo la moshi mjini tena kupitia ticket ya ccm kukosa Kura Za maoni kama walivyofanya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba chama cha mapinduzi ndio chama ambacho kina historia kubwa hapa barani africa,,na hii ni kutokana na historia ya viongozi wake kuwa mstari wa mbele kutoka enzi za...
3 Reactions
38 Replies
900 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki...
0 Reactions
2 Replies
429 Views
Usome mwenyewe --- Siku chache tangu Mchungaji Peter Msigwa kutimkia Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu ameeleza kusikitishwa na uamuzi huo akisema: “Kwa...
10 Reactions
77 Replies
3K Views
Msigwa hakuwa mwanachama wa kawaida Chadema, alikuwa kiongozi mwandamizi mwenye dhamana ya kusimamia makamanda na wanachama wa Chadema kanda ya Nyasa, na alikuwa pia mjumbe wa kamati kuu Chadema...
6 Reactions
119 Replies
3K Views
Usiku wa kuamkia leo tarehe 03 Julai 2024,Waziri wa maji Jumaa Aweso (Mb) ametembelea na kukagua Hali ya uzalishaji maji katika mitambo ya Ruvu juu na Ruvu chini iliyopo mkoani Pwani. Ziara hiyo...
0 Reactions
10 Replies
452 Views
Tuliposema mchango wa Lissu ni utapeli wa kuzima ishu yake ya kuomba Gari kutoka kwa CCM watu waliona ni jambo la uzushi tu. baada ya kuvuja taarifa ya Lissu kuomba Nissan Y622 walikuja na...
5 Reactions
18 Replies
579 Views
Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia...
7 Reactions
34 Replies
952 Views
Ushahidi huu hapa Baada ya siku 4 Unabii ukatimia! PIA SOMA - Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Mkoa wa Mjini Magharibi ni moja kati ya mikoa 31 ya Tanzania na unapatikana ndani ya Kisiwa cha Unguja. Mkoa huu una wilaya tatu ambazo ni Mjini, Unguja Magharibi A na Unguja Magharibi B. Mkoa...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
CHATANDA ASHIRIKI MJADALA WA UANZISHWAJI WA DAWATI LA JINSIA KATIKA VYAMA VYA SIASA Mwenyekiti wa Jumuiya UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda, tarehe 3 Julai, 2024 ameshiriki Mjadala wa...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Kuna mtu aliweka hapa namba ya Mheshimiwa Kangi Lugola. Document ifuatayo ina namba za wabunge na mawaziri wote wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania
0 Reactions
5 Replies
15K Views
Back
Top Bottom